Thank you Lord. We need family deliverance in many villages kwa watu ya Mlima. Family nyinfi ziko na mashida mingi ata jiggers, poverty and alcohol with young bot child wasted. God have mercy. Wanyoike I need to take a young man to rehab kaa huko mulipeleka Murigu. Give contact pls. God bless Yr team.
Sahii ndio wameona ni mzee wa maana baada ya kuoshwa nakutegezewa makao na msamaria mwema kupitia msaada wa wanaichi, hao wachugaji wako hapo ni wanafiki Ata watu WA hicho kijiji pia wengine ni wanafiki, kujifanya vile mnapenda mtu akiwa Hana shida, ila wakati WA shida Hakuna Ata mmoja alie jitokeza huu ni unafik mkubwa alafu unasikia watumishi akihubiri upendo Nani wamejaa unafiki
@monawambui8027 don't judge them hata labda ni wanyoike aliwatafuta wakuje wabariki hio nyumba ikifunguliwa labda hata sio wa huko Kwao.😮Ni ihinda ria rirakinyire ria gutuma aume Kiara ini.Kama wakati wa mtu haijafika huwezionekana.
@@roxana309 Sawa ila inauma kuona mzee kama huyu akilala inje hiyo miaka yote nakuna makanisa, majirani ni aibu kubwa, alafu pia majirani wakienda hapo, bibilia imewaita wanafiki mafethuli
These Pastors are the ones who have been supporting Murigu with the help of his son Macharia. From kumchua kwa streets, rehabilitation, construction project up to this far.