Adam Nakupenda buree movie zako ni hatarii haujawahi kosea alafu tunaomba uturudishie amanda jamani yule dada kiboko kama kweli kwenye sita kwa sita yuko vile bc nomaa sanaaa 🙈ila adam we nomaaa sanaaa
Huyu dada muuza baa kanichekesh kwel et pesa yako tu nilidhan malaki kumbe kitita cha ef 8😂😂😂😂 Ila kitendo anachokfanyia mama ake daah😢😢 akalale choon kimeniuma tu yeye anatamka kawaida tu
ADAM MAKANDE....Una story nzuri nzur xna kaka...kuna kitu cha kujifunza ukiangalia lazma utoke na kitu.....sio lazma uwe boss ndio utowe msada.....hicho hicho kidgo kitu...kinaweza badilisha mfumo wa maisha yake au yao😢😢...movie ilivyo anza nmesikitika xna ....amtowa mama alale na waume...juu wapate masilahi ya kuishi..😢😢
Subhana Allah 😢mama akalale cooni duuu iyi kali ya mwaka atakama wendo musada kwa mm yako sikwa kumlaza cooni mama kweli he mi sipati pica kabisa Mungu nili'diye mm yangu nauninusuru nisije nikamunyanyase mama yangu nampenda sana ❤asante Adam kwa mafunzo mazuri🎉🎉🎉yako ayo
Ukweli movie nzuri sn na hata km tunatokea kufanya makosa ya zinaa lkn jambo zuri sn la kutoa msaada bila ya kuhitaji chochote kutoka kwao lkn kwa upande wng nisingeweza kuingia chumbani kulala nikamuachia mama mtu mzima tena kipofu atoke ili nizini na mwanawe au kulala nje kabisa.
NINAVYOMUPENDA MAMA YANGU ZAIDI YA NINA VYO JIPENDA ATI NIMULAZE INJE KHA NINA WAZIMU WEW UNAONAJ UKALAL CHOONI NAAO MABWANA ZAKO UNA LAANA NAPEND ❤MOVIE ZAKO ADAM FROM BURUNDI
Kama una mamaako mzazi yupo hai hata kama chizi muheshimu sana mpende sana mamaako kunanyakati ngumu sana tunapitia ambao hatuna mama msiwatese msiwatenge msiwanyanyase uza hata maandazi umlee vizuri kukosa wazazi kitu kibaya sana nalia sana leo sijui kwa nini naangalia hii move moyo umeuma mno