Тёмный

Mvua yaleta kilio Dar " Sina ndugu sijui naelekea wapi, Wapangaji hawajulikani walipo ..." 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 73 тыс.
50% 1

Mvua iliyonyesha takriban kwa saa saba kuanzia saa tisa alfajiri ndani ya mkoa wa Dar es Salaam, imeacha maumivu kwa wakazi wa mkoa huo ambapo baadhi ya nyumba zimesombwa na maji, huku mawasiliano ya barabara yakikatika.
Wakazi wa Tegeta Nyuki na Mbezi Beach jijini hapa wamesema wako katika hali mbaya baada ya maji ya mvua inayoendelea kunyesha Januari 20, 2024, kutuama na kubomoa makazi yao.
Mwananchi Digital, leo imefika Mbezi Beach na Tegeta Nyuki kushuhudia wingi wa maji hayo, huku wananchi wakieleza kilio chao.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@anjelinamwinga
@anjelinamwinga 8 месяцев назад
Watanzania wenzangu ni hizi ni nyakati za mwisho turud kwa yesu wa msalaba ndio tutakuwa salama zaid
@DeanaRaphael
@DeanaRaphael 8 месяцев назад
Tuache maasi ushoga uasherati wanawake kutembea uchi nk tumrudie Allah atunusuru na majanga haya😢
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 8 месяцев назад
Umesahau wanaume kulawit watoto kuwabaka na kuua umeona wanawake tu
@ShadiyaSalim-v1b
@ShadiyaSalim-v1b 8 месяцев назад
Polen sana Mungu azid kuwakinda na kuwafanyia wepes in Shaa Allah
@rashidsimba3680
@rashidsimba3680 8 месяцев назад
Dada kaongea Ukweli sana ,Dar watu wamehodhi Mapori na hayaendelezwi
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 8 месяцев назад
Viongozi kujali MATUMBO kuliko wananchi Africa hovyo
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 8 месяцев назад
Watanzania tumuombe mungu atusaidie
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 8 месяцев назад
Dada umesema ukweli,viongozi waachie maeneo waliojilimbikizia.ufisadi kila kona
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 8 месяцев назад
Dada umeongea mantiki sana, tamaa za viongozi kuhodhi maeneo kwa kutumia vibaya ofisi za umma waache kabisa!
@JoelTangas-g4k
@JoelTangas-g4k 8 месяцев назад
Mungu akasema nuhu ajenge safina
@ashamohamedy8637
@ashamohamedy8637 8 месяцев назад
Mungu awape subra waathirika wote
@SATZ-news
@SATZ-news 8 месяцев назад
Mwachieni mbarikiwa😢
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 8 месяцев назад
Kuna umuhimu pia wananchi kujitahidi kuwa na uelewa
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 8 месяцев назад
Hakika dada umeongea vitu vyamsingi Sana.🙏
@RehemaMakuka-q4e
@RehemaMakuka-q4e 8 месяцев назад
Wakubwa Wana hodhi mpaka nyengine hawajui wafanyie nn muwape na wenanch
@ErickKilipamwambu
@ErickKilipamwambu 8 месяцев назад
Nawapa pole sana watu wategeta
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 8 месяцев назад
WEWE UNAMSHUKURU KAFANYA NINI MNASOMBWA NA MAJI ETI NAMSHUKURU
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Poleni sana
@morjanoman5181
@morjanoman5181 8 месяцев назад
Kilaeno ni serikali itavyotokea. Maafa kama aya wanawaumiza watoke wakakae wapi kateni maeneo ya kujenga watu ambao wameasirika na mafuriko
@TatuZuberi-qq9yu
@TatuZuberi-qq9yu 8 месяцев назад
Pole dada
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 8 месяцев назад
Maji yana tabia ya kuchimba chini kwa chini kama umejenga karibu na mto.unaweza hisi upo salama lakini chini ya nyumba kulishakuwa shimo
@erickzephania1030
@erickzephania1030 8 месяцев назад
Siasa za Afrika zinaumiza sana
@saidkhamisi9592
@saidkhamisi9592 8 месяцев назад
Laahaulaa walaaquuwata illa bil laa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 8 месяцев назад
Subuhanallah
@HIDACHAPILE
@HIDACHAPILE 8 месяцев назад
Lieitishia mvua kupeleka mahakamani yupo sahihi kwani MTU toka elfumbili na mbili Maji yanaingia lkn hachukui hatua wapo wakusaidiwa wapo wakuachwa
@HappyAdrian-l8q
@HappyAdrian-l8q 8 месяцев назад
Pore sana dada
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 8 месяцев назад
Du mwandishi mshape huo jamani hata waasilika wanafarijika kukuona hongera sana.
@kjb_user0077
@kjb_user0077 8 месяцев назад
Yaani wewe unawaza mshape wakati watu wapo kwenye kilio?! Duh
@jonathansolomon456
@jonathansolomon456 8 месяцев назад
Jamani dada hadi wewe pole sana Mungu akuyie nguvu
@chuguletheodos3342
@chuguletheodos3342 8 месяцев назад
Ndugu mwandishi ilo nyonyo jamani mbona nimedata apo❤
@naturelle1097
@naturelle1097 8 месяцев назад
😂surely
@vickysteven1172
@vickysteven1172 8 месяцев назад
Maji ni kama tembo yanakumbukumbu na njia zake
@anwarmusic17
@anwarmusic17 8 месяцев назад
HII NCHI YA TANZANIA NI NGUMU SANAAA
@AnnaSanga-bs7pl
@AnnaSanga-bs7pl 8 месяцев назад
Njoon mnunue viwanja homboza hakunaga mafuriko
@omanoman2044
@omanoman2044 8 месяцев назад
Rudin vijijin kwenu am hamna vij8jin kwenu kam mim
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 8 месяцев назад
Kuna watu wanaishi hapo kutokana na kupenda kuishi mjini. Wengine ni kipato kidogo hakuna sababu ya kuoneshana vidole. Duniani kote maafa yanatokea. Jambo kubwa ni kusaidiana baada ya janga.
@AbdullyAlly-k6t
@AbdullyAlly-k6t 8 месяцев назад
Duh😭😭😭😭
@valenakomba9218
@valenakomba9218 8 месяцев назад
NA HAO WATENGENEZA MATOFALI NAO NDO WANAIZISHA MAPOLOMOKO.
@ELIZABETHWAGARA
@ELIZABETHWAGARA 8 месяцев назад
Mbona ni hatari sana
@dudemussa6715
@dudemussa6715 8 месяцев назад
Tuwe na subira kutokana na maafa haya. Aamin.
@saidmabanga388
@saidmabanga388 8 месяцев назад
Serikqlii itengeneze ii mitoo mitoo inafuhata raia tofautii na serikalii inavo sema raia watke mqbndenii c kwelii
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 8 месяцев назад
ATA HUYU MWANAMKE KAONGEA KWELI LAKINI YULE MWANAUME KAONGEA KAMA SHOGA ETI NAMSHUKURU
@anwarmusic17
@anwarmusic17 8 месяцев назад
Mvua imetoka juu 😂 kwani huwa inatokea chini?😂😂
@rajabushedafa6397
@rajabushedafa6397 8 месяцев назад
Kweli??? 😢hili tukio linachekesha ndg😢
@ditmahdeejay
@ditmahdeejay 8 месяцев назад
Bro tumeskia
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 8 месяцев назад
Itajulikana wakati ukifika Wacha wahodhi maeneo nchi nzima hivihivi
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 8 месяцев назад
Samahani wahodhi ndio nini ?
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 8 месяцев назад
@@fettyrashid9042😂😂😂😂
@panadomadola3064
@panadomadola3064 8 месяцев назад
Hao wahouthi wa Yemen wameingiaje humu kwenye mafuriko?
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 8 месяцев назад
Polen sana wapendwa
@magrethkapinga1811
@magrethkapinga1811 8 месяцев назад
Maskini 😢
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 8 месяцев назад
Kodi za wananchi zinaenda wapi?
@morjanoman5181
@morjanoman5181 8 месяцев назад
Apo sasa serikali inashindwa kujenga maema kwaniaba ya kuwasitiri wananchi wao. Apo KAZI yakusema watoke waendewapi na family'a inasoma
@panadomadola3064
@panadomadola3064 8 месяцев назад
Baadhi ya wajinga eti wanailaumu serikali !! Kwani serikali inakosa gani? Na baadhi ya wajinga wametishia kuipeleka mvua mahakamani ili ikajibu shtaka la kuharibu na kubomoa nyumba za watu.😮😮 Bado sijajua kesi hiyo itasikilizwa kwenye mahakama gani?! Tunasubiri mwenyekiti aseme neno😊😊
@hamoudyahya7635
@hamoudyahya7635 8 месяцев назад
Serikali isiseme tu watu wahame. Hii mito kingo zake ziboreshwe maana hayo mafuriko yanatanua mito
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Ilitakiwa waweke mawe makubwa kuyadhibiti kama walivyodhibiti kule kwenye ufukwe wa Ikulu mpaka Aghakhan Hospitali.
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Wanatakiwa wazuie kwa majabali laa sivyo mmomonyoko maji yanatanua wakicheza Dar yote itakuwa bahari ya maji
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 8 месяцев назад
Walisha ambiwa wahame na wengine walisha pewagwa mpaka maeneo huko mabwe pande wakayauza kisha wakarudi tena.. sasa wafanywaje?? Wakitolewa na virungu watasema Serikali ina uwonevu wakiachwa huru hawajiongezi
@TheKing-m4g
@TheKing-m4g 8 месяцев назад
Pooole saaana dada angu
Далее
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
Helene's Aftermath - 96 Hours in Asheville
24:27
Просмотров 778 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн