Тёмный
No video :(

MWAKINYO ATANGAZA PAMBANO LAKE LINGINE/TWAHA KIDUKU AMEPOTEZA BAHATI YA KUPIGANA NAE ?/AMESHASAINI 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@ZuberiHatibu
@ZuberiHatibu 6 месяцев назад
Mwakinyo champion 🏆
@boniphacegervas8118
@boniphacegervas8118 6 месяцев назад
Sema unakili sana ! Namna unajibu mzee 🙌🙌🙌
@Husseinpenta-dh6ej
@Husseinpenta-dh6ej 6 месяцев назад
Allah atakusimamia katka kila hatua unayopiga inshaAllah
@saimongilala8938
@saimongilala8938 6 месяцев назад
Nakubali sana kaka Mimi naerewa kaz yako sana
@user-zs4xz1vv4o
@user-zs4xz1vv4o 6 месяцев назад
Mogadishu famil pmj broo
@khamismwande8330
@khamismwande8330 5 месяцев назад
Nakukubali sana mwakinyo
@salimmtanga8230
@salimmtanga8230 6 месяцев назад
Nakukubali sn mwanangu somba
@kellybreezytz2491
@kellybreezytz2491 6 месяцев назад
Champez Onetyme hata akisema amechoka Kupigana Tunapgana kwa ajili yake 💪
@jkifutu7936
@jkifutu7936 6 месяцев назад
Somba and mwakinyo na wakubali sana munaenda sana
@MuslimNgomandodo
@MuslimNgomandodo 6 месяцев назад
Mwakinyo mungu ndo anajuwa how naelewa mchezo wako mungu akuongezee uwezo kaka
@Gabrielhudson-pc8vp
@Gabrielhudson-pc8vp 5 месяцев назад
Naungana na ww❤❤❤
@chitwangandembo6302
@chitwangandembo6302 6 месяцев назад
Champezzzz👊🏾
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 6 месяцев назад
Kaka hebu kamchape huyu jamaa ili tuache ubishan huku mtaani
@mohammedjumanne7207
@mohammedjumanne7207 5 месяцев назад
Very professional answers
@user-er2kv6sp6p
@user-er2kv6sp6p 5 месяцев назад
Uakika champion mwakinyo piga huyo kiduku hana chochote ili Tanga tupae
@MikidadiNgokwe-ui6oi
@MikidadiNgokwe-ui6oi 6 месяцев назад
Kamanda pongezi kwako, mashabiki zako tuko nyuma yako
@joeledson3862
@joeledson3862 6 месяцев назад
👍👍
@AbasiMbega-xk8mh
@AbasiMbega-xk8mh 6 месяцев назад
Ivi jamani awa mashabiki wa twaha awaoni kma wanapoteza muda kumshabikia yeye cz kiduku amna kitu,,kiduku lamda miereka anaweza akapafrom
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 5 месяцев назад
Perform sio perfrom
@ramadhanikhalfan4272
@ramadhanikhalfan4272 6 месяцев назад
Mwakinyo hakuna ki2 kilicho nitoa machozi kwako kama pambano lako la Liverpool niliumia sana
@petermboya3105
@petermboya3105 5 месяцев назад
Champez one time
@bongomastory791
@bongomastory791 6 месяцев назад
Mandonga kapotelea wapi😅😂
@RASHIDIKASOMA
@RASHIDIKASOMA 6 месяцев назад
twaha eti ndio Tyson wa bongo hahaha kwl watu hamjui ngumi ila Kwa mitandaoni balaa huyo ni yeboyebo wa bongo
@user-pz8zf1gh9g
@user-pz8zf1gh9g 6 месяцев назад
Mti wenye matunda huo.
@MuddyIpemba
@MuddyIpemba 5 месяцев назад
Tuondoke vairooooo
@mdosephayta8075
@mdosephayta8075 5 месяцев назад
Mtangazaji huyu jau 😂😂😂
@mkonojr53
@mkonojr53 5 месяцев назад
Mashabiki inabidi tuwe na akili ukitaka kumpambanisha kiduku na Mwakinyo hapo umemkosea mwakinyo cz kama unataka mwakinyo apigane na Kiduku kwanz mnatakiwa muawambie mapromota wa twaha wamtafutie mabondia alopiganao mwakinyo na akawapiga na yy akiwapiga ndo akapigane na champeziii 😂😂😂😂 Huwezi sema kiraisi rais Yanga or simba acheze mpira na chalinze United hiyo ni ndoto
@funditwahafurnitures302
@funditwahafurnitures302 6 месяцев назад
Mtu kamili mtu makini mtu hatar nkbl kk
@karimsewando1407
@karimsewando1407 6 месяцев назад
Me anachonikela na anafanya nimuone choko kwasababu ya kutajataja majina watu, fanya kazi acha kutaja taja majina, uwenda ni kweli unamuhema kiduku maana uwez kuongea bila kumtaja kiduku
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 6 месяцев назад
We ndo unachangamoto ya uelewa kaongea kulingana na maswali aliyoulizwa😂😂
@karimsewando1407
@karimsewando1407 6 месяцев назад
@benedictinelusambo069 uwalisia ni kwamba binadam wengi tuna changamoto ya uwelewa, ludia kusoma nilipoandika jina lako au kukuuliza swali lenye kunipa jibu wewe, acha kujibu usichoulizwa, punguza kujibia maswali yasiyokuelezea wewe sawa ndugu? By by
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 6 месяцев назад
Boxing asili yake no maneno mikwara vitisho Ila sio uadui na ndio maana pambano likiisha mabondia huongea maneno huleta chachu ya as mashabiki kupenda pambano lifanyike
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 6 месяцев назад
​@@karimsewando1407kwenye mitandao ukitaka usijibiwe basi dawa nikuto comment. Lakini ukiona ume comment halafu watu wakaona ulichoandika nikama kinachangamoto lazima utajibiwa tu. Kwahiyo uwe unakaa hivo
@emmanuelndanu8424
@emmanuelndanu8424 6 месяцев назад
Kweli unaweza kuongea vizuri lakini kuongea kwako vizuri siyo uhakika kwamba unaweza kumpiga TWAHA.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 6 месяцев назад
Kiduku anapigwa tena KO tumewaona wote huyu jamaa anambinu na nguvu zaidi Kiduku ni nguvu tu.
@allykawambwa
@allykawambwa 5 месяцев назад
Mwakinyo ndio bondia wa Taifa.
@emmanuelndanu8424
@emmanuelndanu8424 5 месяцев назад
@@allykawambwa vyovyote vile ila ngumi ni ulingoni Hapo ndo mwisho wa maneno.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 6 месяцев назад
mwambie asipigane na twaha kiduku ni tyiso wa bongo amuurize waukaee dula mbabe anamjua mzee wa show show afaii
@mtazycomedy
@mtazycomedy 6 месяцев назад
Ww ujui chochote
@mwanashomary9244
@mwanashomary9244 6 месяцев назад
Twaha nimpaka pili tu hawezi kupambana na hili jitu maan hili ni JINIIII
@mwanashomary9244
@mwanashomary9244 6 месяцев назад
Twaha nimpaka piko tu hawezi kupambana na hili jitu maan hili ni JINIIII...........
@user-bn6we3nj6t
@user-bn6we3nj6t 6 месяцев назад
Kuma lamda Tyson wa mamaaako
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 6 месяцев назад
Atapigana na asmahle kiduku hamna kitu
Далее
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 164 тыс.
RASMI YANGA YAANZA LIGI
Просмотров 55