Nilijifunza kuimba nantimbo za emachichi..nanitazifanya cover naomba mungu anipee uwezo na sauti pia.. rest in peace emachichi namungu aitunze familia yako
Basically he is saying (chorus) Talk to Jesus ask him what you need and he will help you and give you rest. The rest of the song urges us to trust in God and in him alone, not our friends
Oh yes! mwambie Yesu omba kile utakalo, akusaidie, and He`ll surely provide you with all good things according to his riches in glory! I didn`t know Emachichi passed away!! RIP bro! from germany
josgitahi..u r just right!! this chap had a golden voice"ile ya kumtoa NYOKA pangoni(shetani manake) I wish ningejua wapi pa kuzipata cds au dvd zake! Mungu amweke pema siku moja tukajimwike pamoja katika kutendeleza nawapa pole wazazi,ndugu na marafiki zake pia wale walihusika katika utengenezaji wa nyimbo hizi..machozi yenu atayafuta Mungu mwenyewe!
not worry about ask to some kenyan or tanzanian i 'll help you to got cds, if you'll miss it contact me lakini sema uko wapi maana mimi niko dubai, nitakusaidia kupata