Тёмный

Mwamko Mpya Somalia 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 73 тыс.
50% 1

Baada ya kukomboa miji 18 kusini mwa Somalia, wanajeshi wa amisom wakiongozwa na jeshi la kenya sasa wanapanga mikakati ya jinsi watakavyokomboa miji zaidi ambayo bado inatawaliwa na kundi haramu la Alshabaab. Haya yanajiri wakati ambapo mabadiliko yanatarajiwa katika ngome walizokuwa wakidhibiti usalama wanajeshi wa Kenya ambao watakuwa wakihamishiwa katika sehemu nyingine nchini Somalia. Lakini ni vipi wanajeshi hao wameweza kudhibiti maeneo wameyakomboa? Leo katika makala yetu ya mwamko mpya somalia, mwanahabari wetu Philip Murutu anatupa fursa ya kujua jinsi oparesheni zao hufanyika.

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@ephraimomudaki3866
@ephraimomudaki3866 5 лет назад
best jesh
@tugalegaleboxinggym5064
@tugalegaleboxinggym5064 5 лет назад
Amna hata tishio kwa al shabaab..mmeshindwa miaka ishirin sasa imepita mambo hayo hayo..that is powerful of allah..umuwez shindana
@kelvinkaranja9228
@kelvinkaranja9228 3 года назад
Allah hapendi vita
@tugalegaleboxinggym5064
@tugalegaleboxinggym5064 5 лет назад
Je wanapata wap silaha na chakula kama sio vyakwenu wenyewe so mmezidiwa
@kevinwerunga6242
@kevinwerunga6242 4 года назад
Nkt
Далее
Kinshasa yawataka M23 kujisalimisha
4:29
Просмотров 228 тыс.
KDF kills 34 Al shabaab militants in 2 days
1:38
Просмотров 432 тыс.
KDF officers assault police officers in Mombasa
0:59
Просмотров 109 тыс.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
Просмотров 367 тыс.
SIMANZI: KUAGWA KWA MIILI YA WANAJESHI 3 LUGALO
34:09
Просмотров 204 тыс.