Тёмный

Mwanamke mwenye asili ya Brazil ameishi nchini kwa zaidi ya miaka 40 

KTN News Kenya
Подписаться 2,9 млн
Просмотров 1,2 млн
50% 1

Mwanamke mmoja mwenye asili ya Brazil ameishi humu nchini kwa zaidi ya miaka 40 katika eneo la likuyani kaunti ya kakamega. Elvis kosgei alimtembelea mwanamke huyu nyumbani kwake kongoni ambapo anaishi tu kwa amri ya mungu kutokana na mazingira alimokuwa. Mbali na hayo amedai kujaribu kutafuta usaidizi kutoka kwa balozi ya brazil bila mafanikio yoyote.
Watch KTN Live www.ktnnews.com...
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 320   
@peacefulabdhulhakeem3032
@peacefulabdhulhakeem3032 8 лет назад
FOR ALL THOSE WHO VOLUNTEERED TO HELP HER,MAY THE ALMIGHTY GOD HAVE MERCY ON YOU TOO DEARS! I TRULY LOVE PEOPLE WHO HAVE MERCY UPON THEIR FELLOW HUMANS AND ALL HARMLESS CREATURES OF GOD!!!
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 3 года назад
Halloo kenyans lets help this family .haki hii kenya tunaishi maisha tofauti but ningeliomba serekali ya country ya kakamega bwana gavana oparanya pliz saidia hawa wananchi wako kwa matibabu badan huyo mama mpendwa anaonyesha ni muungwana na hawezi kuuza tu wake na aliamuwa kuishi na maana mulembe kwa shida na raha so its time to honor her with anykind of assistance so that they cant shape their destiny.
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 лет назад
Alhamdulilah InshAllah mungu akujalie na subra iko siku utafika Brazil
@bobrudala3784
@bobrudala3784 Год назад
Kazi nzuri hakika nI hadithi ya kusisimua,Mungu abariki wale wote walioshiriki kuandaa taarifa hii
@jessendegwahmusic488
@jessendegwahmusic488 4 года назад
Kuishi ugenini ni changamoto sugu...shukuru Mungu uko nyumbani
@joerichards1000
@joerichards1000 6 лет назад
Why should she be taken to Brazilian Embassy? She deserve to have Kenyan citizenship for havens sake, and be assisted by Kenyan government. She has been around in Kenya for 40yrs and the inept govt leaves her undocumented, really?
@topestamohammed3538
@topestamohammed3538 6 лет назад
Seriously africans we don't love each other that's y we are not blessed.
@raffraffie7799
@raffraffie7799 6 лет назад
kenya is corrupt like hell
@paulinepolly1750
@paulinepolly1750 6 лет назад
very sad I wish her quick recovery
@bulimosavatia3639
@bulimosavatia3639 5 лет назад
She says, she's here to stay. Nostalgia, you know.
@nichoominor1593
@nichoominor1593 5 лет назад
Opiyo, our government is very rotten indeed. I pray these leaders can be gone in our lifetime
@geddygeddy5308
@geddygeddy5308 6 лет назад
One of her child will make her dreams cone to pass...in my prophetic visions and thoughts, I decree and declare abundant blessings full of joyful life and better health
@gordonokumu1337
@gordonokumu1337 5 лет назад
hizo decree and declare ni zako...this family needs help and nothing else right now...enda u decree uko...nugu!
@maggiejomomugoofficial
@maggiejomomugoofficial 5 лет назад
Amen
@florencewainainalucy745
@florencewainainalucy745 5 лет назад
Amen
@Naomie2023
@Naomie2023 Год назад
Nothing like decree here. Falsehood
@elsielsee1529
@elsielsee1529 8 лет назад
too painful may God Almighty hear your cry and Grant your wish
@dekharashid8629
@dekharashid8629 6 лет назад
Latifah Jay
@emillyzeeh1173
@emillyzeeh1173 2 года назад
Pole sana mama Brazil , ako wapi huyu mama Brazil kwa hivi sasa?🙏🙏🙏🙏❤🇩🇪
@phil5689
@phil5689 6 лет назад
The daughter should apply for a Brazilian passport and travel to Europe with her kids and claim refugee.
@naseemnareja4708
@naseemnareja4708 4 года назад
Very nice thanks you from naseem UK
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 4 года назад
Reporter anatumia lugha ya kifasihi mashallaaaah waswahil tuko vzury nassi
@rydaartashastar7472
@rydaartashastar7472 8 лет назад
Oh God same story to me, touched, i wish i was near i would help
@mapendoimani2462
@mapendoimani2462 4 года назад
Still you can love knows no Distance
@myself4128
@myself4128 6 лет назад
Mpeni uraia acheni roho mbaya...40 yrs is too much for God's sake plus added bonus she is black she is one of us
@zannesmarie728
@zannesmarie728 3 года назад
Mbona ameji achilia hivi, & she's very beautiful.
@MartinsAgufana
@MartinsAgufana 4 года назад
Heart wrenching!!! God have mercy on the lady
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 года назад
Aisee kayakanyaga vibaya mpaka mashambani Africa hatari, Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
@centmichael4814
@centmichael4814 7 лет назад
Allah Akbar, Allah Akbar..Hiyo ni mitihan IPO siku itakwisha
@marynjoroge325
@marynjoroge325 6 лет назад
Maria ahuta ama mama waaa nilikuwa jirani wakati alipokuja hapo kawangware na aknunuliwa nyumba mzungu .kama shukrani ya kumfayia kazi ya nyumba miaka almost 32 .its a long story but familia ya bwana ndio alimfanya masaiu haya yote she was very very rich
@hannahwanjiku4665
@hannahwanjiku4665 5 лет назад
I used to see her coming from Lavington, I had even forgotten about her. May God see her through.
@susanmureithi1964
@susanmureithi1964 4 года назад
Have mercy God
@naseemnareja4708
@naseemnareja4708 4 года назад
Very nice 👍 thanks you from naseem UK
@shannycateringservices..
@shannycateringservices.. 4 года назад
You are indeed Godly people.God bless you all
@maryhessel1376
@maryhessel1376 8 лет назад
may the Lord bless her and heal her with her Husband God have mercy
@phennykelly3369
@phennykelly3369 8 лет назад
Elvis kosgey God bless u
@sharonwanush5408
@sharonwanush5408 5 лет назад
Wah 😭😭😭 Hadi nimelia Nilikua nadhani me nina mashida mob but hii imezidi
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 4 года назад
Poleni sana
@Brendakamau123
@Brendakamau123 4 года назад
Our Lord remember Mercy
@essieamonde6282
@essieamonde6282 8 лет назад
Lord, have mercy on them!!
@deusjuma708
@deusjuma708 4 года назад
Pole sana
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 Год назад
Pole san
@prettylittlething6367
@prettylittlething6367 6 лет назад
How can we contact this lady,am mary 25 years old and am ready to help her in whatever way
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 4 года назад
Mungu ni mwema atasikia kilio chenu pole sana
@martinkinotigituma6677
@martinkinotigituma6677 4 года назад
Any follow ups on this case??
@anaquinones7383
@anaquinones7383 8 лет назад
YA Allah please help for. All. human
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 2 года назад
Is she still there how can I help her ? Contacts please
@eileenkihula3754
@eileenkihula3754 4 года назад
dahh,huruma saana,hata msaada hana jamani loohh
@lylychris6553
@lylychris6553 3 года назад
God have mercy.
@alphonsinesingirankabo6274
@alphonsinesingirankabo6274 5 лет назад
Wende kwa Alp Alp Loukao Alleluia minister utapona mama yangu
@nancykiberenge5597
@nancykiberenge5597 2 года назад
How is she now
@chrisogonas
@chrisogonas 5 лет назад
Amazing work KTN!
@marypendo3595
@marypendo3595 8 лет назад
pole jamani MUNGU atakusaidia
@KayoleKnight
@KayoleKnight 5 лет назад
Anakaa willian Borges wa Chelsea......ama Marcelo
@dianahcheropngaina9496
@dianahcheropngaina9496 4 года назад
Mungu ambaye mume muabudu miaka nyingi amesgidwa Leo hau amalala wamuombe
@brownbabygirl1284
@brownbabygirl1284 5 лет назад
Why can't the government help her out. My goodness 😳. So shameful
@soniasouza1619
@soniasouza1619 5 лет назад
Obrigada Meu Brasil
@سلطانسليمانبنجمعة
Ornestly speaking that reporter killed it with the language swahili sanifu
@guikjhhjujj2278
@guikjhhjujj2278 7 лет назад
Mungu atakusaidia mama Kwa afya na uzima
@hellenraphaelkulaya4075
@hellenraphaelkulaya4075 6 лет назад
Ooooh sorry mummy God may help you one day will be happy
@christde1
@christde1 8 лет назад
tupeni jina lake kamili na jina la town na kijiji anachotoka hapa brazili ..inshallah twaweza kumsaidia
@philipndungu544
@philipndungu544 8 лет назад
Tafuta email address ya KTN uwasiliane nao. utakuwa umemsaidia sana na Mungu atakubariki
@gideonkangogo4675
@gideonkangogo4675 8 лет назад
mwanamizeelvis@gmail.com nipigie kwa hi nambari 0723539060
@christde1
@christde1 8 лет назад
Philip Ndungu3. niko nje ya kenya
@Elvis-Kosgei
@Elvis-Kosgei 8 лет назад
0720534332
@Elvis-Kosgei
@Elvis-Kosgei 8 лет назад
piga hapo tafadhali
@barick
@barick 4 года назад
So sorry
@bishopfelixnyariki8855
@bishopfelixnyariki8855 8 лет назад
may I know full information please?
@mariammohamed8322
@mariammohamed8322 7 лет назад
Bishop Felix Nyariki hi
@phillsnafuna5962
@phillsnafuna5962 4 года назад
God remember her
@leilaomar5540
@leilaomar5540 5 лет назад
😭😭 naomba no ya uyu mama tafadhali jamani
@vickiekenyan5356
@vickiekenyan5356 5 лет назад
huyu mama halizahitiwa kweli naomba number yake plzz kogoni primary school dio home kwa my mum naeza muzahitiya
@joskyshams4758
@joskyshams4758 4 года назад
Maria alifaulu kwenda Brazil au la?
@upendosanga7500
@upendosanga7500 6 лет назад
pole sana jaman
@norahnorah577
@norahnorah577 4 года назад
Mama mungu akuonekanie
@lenakisuza6574
@lenakisuza6574 6 лет назад
Nigependa kumsaidia lakini tunaanzia wapi?
@samanthaali873
@samanthaali873 5 лет назад
Pole sana mama yetu
@Salachou
@Salachou 4 года назад
Plz we need this woman number ...we would like to help her. Tafadhali
@sharifaallan2386
@sharifaallan2386 5 лет назад
In shaa Allah all will be well my dear......don't cry
@daimavlog
@daimavlog 6 лет назад
Kwa nini hamuwekagi hata namba jamani tukawasaidia?
@onyapidi5174
@onyapidi5174 5 лет назад
Kiswahili hicho Kizuri Sana!
@chedamoraadaisy316
@chedamoraadaisy316 8 лет назад
God is on your side one day the closed doors will be opened
@mfalmekali
@mfalmekali 8 лет назад
If that was true she wouldnt be in the situation she is now.
@sambosco11
@sambosco11 5 лет назад
If 10000 Kenyans sent her 100 ksh she would have a million bob tumsaidie
@rehemasharriff7494
@rehemasharriff7494 8 лет назад
elvis ww paka umeamua kushika jembe.kweli unaufaham wakazi yako brother
@eriminahmshai
@eriminahmshai Год назад
Hiyo ni wetu
@yusilyimo6826
@yusilyimo6826 4 года назад
Karibu Tanzania. Nitafute tuongee.
@omanoma5446
@omanoma5446 4 года назад
Wewe, ni, nani
@theworldthroughmyeyes024
@theworldthroughmyeyes024 6 лет назад
Any updates on this lady's situation
@bintikiziwi4600
@bintikiziwi4600 5 лет назад
Hiyo more than 40yrs nobody is alive mumy, pole woiyiee
@janesarah6711
@janesarah6711 7 лет назад
So sad nakutakia maisha mema
@austinekesa7217
@austinekesa7217 6 лет назад
Excuse me Kenyans???huyu mama alisaidiwa kweli??c tumtafute tafadhali
@Mikeleathalshooter
@Mikeleathalshooter 5 лет назад
Stupid...kasaidie ndugu zako turkana
@sierrakamau1510
@sierrakamau1510 6 лет назад
Why can't the news casters release a contact for all the viewers who would like to participate in assisting this horribly poverty stricken family.Just telling us the terrible tales of what's what's going on with them shouldn't be an end in itself. It makes you all seem SHALLOW.PLEASE LEARN FROM OTHER NEWS BROADCASTERS and up your shallow game! lol
@leahchelimo5342
@leahchelimo5342 8 лет назад
God bless you
@knightwamalwa7587
@knightwamalwa7587 6 лет назад
am sorry God with you
@snangstargal9924
@snangstargal9924 8 лет назад
may God open door for u .mama
@reginakimani9817
@reginakimani9817 3 года назад
Pastor exekiel jamani
@dorice123jalango4
@dorice123jalango4 8 лет назад
eiiish pole mungu atakusaidia mamangu
@behonestyeah9029
@behonestyeah9029 8 лет назад
I hate irresponsible government...whats the difference of Kenya Somali and Brazil
@zeyechmahir1020
@zeyechmahir1020 5 лет назад
Your are not ashamed of yourself stating war controlled country like Somalia
@dianahcheropngaina9496
@dianahcheropngaina9496 4 года назад
N'a champa mungu mimi
@akhousesolutionsltd9433
@akhousesolutionsltd9433 8 лет назад
"from Canada"mimi nomba numba zake ili nimsaidie please mimi nninaongea lugha yake fr
@roseshiombo1450
@roseshiombo1450 6 лет назад
Asumani Kasimu Mungu akubariki
@Kqueen_bellla
@Kqueen_bellla 6 лет назад
did get her number
@ruthkemunto7470
@ruthkemunto7470 6 лет назад
This is so sad
@fezafataki5311
@fezafataki5311 6 лет назад
Asumani Kasimu hi
@fathmamohamed3476
@fathmamohamed3476 5 лет назад
Naomba nijue Kama alisaidiwa Huyu mama piiz
@lindagitari
@lindagitari 4 года назад
What happened to this Lady?Did she ever get help?
@sweetyfaridahsweety8700
@sweetyfaridahsweety8700 7 лет назад
Naomba number yake binafsi kakamega ndio nyumbani
@mstaafumanga125
@mstaafumanga125 8 лет назад
so sad
@mercymwaura4798
@mercymwaura4798 5 лет назад
I pray she gets help
@charlesmayilla2926
@charlesmayilla2926 4 года назад
Duh
@anaquinones7383
@anaquinones7383 8 лет назад
YA Allah you help. for. All Human
@marthamusyoki5819
@marthamusyoki5819 8 лет назад
Don't worry God is the helper
@marthangima3293
@marthangima3293 5 лет назад
Martha Musyoki xxx
@marthangima3293
@marthangima3293 5 лет назад
Martha Musyoki perev
@dianahcheropngaina9496
@dianahcheropngaina9496 4 года назад
Pinya Pinya
@deemuli4072
@deemuli4072 6 лет назад
Oooh lord..its painful to watch this
@sabinahabimana8240
@sabinahabimana8240 6 лет назад
kwanini aukuweka number yako ya simu weka please
@christde1
@christde1 8 лет назад
Elvis kosgei asalaam aleykum naomba mawasiliano nanyi,
@husseinmunga9591
@husseinmunga9591 5 лет назад
Am also work brasil and its like kenya😐, mas aqui esta bem🙄
@msibocharity4300
@msibocharity4300 Год назад
She needs to go back to her family because she's suffering so much her country helps old people
@sahromohamed4375
@sahromohamed4375 6 лет назад
Kutoka Australia pls number yake nimsaidye
@leengugi1196
@leengugi1196 6 лет назад
May she find her way
@samuelgatheru8641
@samuelgatheru8641 5 лет назад
EMBASSY YA BRAZIL AJE HII MANENO?
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 3 года назад
KTN ingewatafuta na kuwainganisha.
@angelmbise7676
@angelmbise7676 6 лет назад
Jamaniiiiiiiiiii
@bulimosavatia3639
@bulimosavatia3639 5 лет назад
I personally met her and husband in Kawangware.
@lizwandii
@lizwandii 5 лет назад
Recently? I realise this video is 2yrs old so i was hoping she got help 🤔
@bulimosavatia3639
@bulimosavatia3639 5 лет назад
Yes. I followed up the story on other Videos and saw like the Brazillian Embassy took over the matter. They both got passports to travel to Brazil for treatment and meet with her family. So beautiful. @@lizwandii
@hawioselu1186
@hawioselu1186 8 лет назад
God have mercy on them
@sierrakamau1510
@sierrakamau1510 6 лет назад
hawi oselu God have mercy on these newscaster s who have access to these stories but make these stories an end in themselves! They do not even attempt to give a life line!!! Almost everyone who hears this WANTS TO HELP!!!!Goodness!!!!
@rashidabdalah7672
@rashidabdalah7672 5 лет назад
hawi oselu m
Далее
Kifo cha nyuki kinaacha maswali mengi Mombasa
5:15
Просмотров 1,2 млн
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Kijana auwawa kufuatia kisa cha mapenzi
3:55
Просмотров 1,6 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
Daktari Episode 19
22:05
Просмотров 1,8 млн
Joka la ajabu linalovalia kipuli huko Kwale
3:38
Просмотров 2,2 млн
Madagascar, the Corridors of Satan | Deadliest Journeys
48:53