Тёмный

Mwanzo Mwisho Tundu Lissu Azifanyia Uchambuzi Kanuni za Uchaguzi 

The Chanzo
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja kutoka Kibamba! Leo, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anatupasha ujumbe mzito akiwasha moto wa kisiasa. Je, Lissu ana nini cha kusema kuhusu hali ya siasa nchini, masuala ya haki za binadamu, na mustakabali wa Tanzania? Usikose kufuatilia hotuba yake kali na uchambuzi wa kina wa masuala mbalimbali yanayowagusa wananchi.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@amenya-bl5md
@amenya-bl5md 6 дней назад
Kuna tatzo la kunyakua watu fom na kukimbia nazo au kutekwa ,,chadema mmejipangaje hapo
@RICHMINDEDSKILLS
@RICHMINDEDSKILLS 6 дней назад
Wanaokubali elimu ni bora na wanakubali wanasheria gonga like apa
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 5 дней назад
Kwa maelezo hayo navisihi vyama vya upinzani vimtake waziri kuhakikisha kwamba anatoa maelekezo kwa wasimamizi wa uchaguzi kuwa na Fomu za kugombea / uteuzi zinapatikana kwa wasimamizi kuanzia tarehe 5/10/2024 na atangaze kwa umma kupitia vyombo vyote vya habari. Asipofanya hivyo viongozi wa vyama vya upinzani mlazimisheni afanye hivyo. Na akisha fanya hivyo kuanzia tarehe 6/10/2024 wagombea waanze kwenda kuchukua form na kuzijaza na kuzirudisha, na pia waziri atangaze tarehe ya mwisho ya kurudisha Fomu.
@BarakaIsmail-p4w
@BarakaIsmail-p4w 6 дней назад
Nakubali sana mheshimiwa tundu lisu mwanasheria nguli.
@MuseiMeleki
@MuseiMeleki 6 дней назад
Huyu mh wangemtunuku uprofesa isee ni kichwa sanaa na izi semina zingefanyika nchi nzima na pia vyama vingine vya upinzani viige wapeni semina mapema wagombea wenu
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 6 дней назад
Hii elimu mpeleke timu ya wanasheria nchi nzima vinginevyo kwa nilivyosikia wengi wakishindwa kutoa majibu sijui kama mtaweza kupata wagonbea kwani mapingamizi yatawahusu
@feruzmato4422
@feruzmato4422 6 дней назад
Nakuunga mkono mheshimiwa lisu
@MwatijaFikoti
@MwatijaFikoti 6 дней назад
Kaka lisu toa elimu na hii ifanyike nchi nzima.
@daviddsouza735
@daviddsouza735 5 дней назад
Lugha tete
@beinafuu6219
@beinafuu6219 6 дней назад
Mpiga picha mbona kamera hapo hapo tu.
@harunamtiko117
@harunamtiko117 6 дней назад
Ubaya ubwela 😂😂😂
@beinafuu6219
@beinafuu6219 6 дней назад
Lakin hamkutoa elimu zaid au sana kujiandikisha wanzenu wsmeisha maliza hii kazi
@LamsonMalenga
@LamsonMalenga 5 дней назад
Ccm kuma zao woooote
Далее
Beautiful Military 🏅
00:10
Просмотров 2,1 млн
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Просмотров 20 тыс.
Beautiful Military 🏅
00:10
Просмотров 2,1 млн