Тёмный

MWIJAKU Atoboa SIRI HARMONIZE kudaiwa MILIONI 120/Alidharau MAHAKAMA? 

Rick Media
Подписаться 875 тыс.
Просмотров 59 тыс.
50% 1

DC wa Instagram MWIJAKU amefunguka kuhusu sakata la HARMONIZE kutakiwa kulipa zaidi ya Shilingi MILIONIO 100 na BANK ya CRDB
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 140   
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x 25 дней назад
Nakupenda sana mwijaku wewe unajiamini sana...ndio inavyo takiwa ktk kazi...hasa nampenda ukiwa na baba levo mnapendeza sana Kwa mambo mambo yenu ya kuchekesha nawakubali sana sana...mwija malichui zidi kimwombea Kwa mungu NAMI namuombea yuko vzr sana kielim mungu amtunze milele kwenye ukweri tuamboane.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 25 дней назад
Usijimalize sana mwinjaku mana huwez kijua kesi yako itaishaje kaka...ila mim nakuombea heri mana matatizo sio mazur sana...
@KingCanny.
@KingCanny. 25 дней назад
Nakuja kugundua platnumz anaakili sana that's why akadate na zuchu!!
@djalasaleh
@djalasaleh 25 дней назад
Yeye pia ana madeni Chungu Zima. Kusaga anamdai pesa nyingi.
@joyhylton7901
@joyhylton7901 25 дней назад
That's rt Diamond is very smart.
@Myplusbee
@Myplusbee 25 дней назад
​@@djalasaleh HAKUNA Mfanyabiashara ASIYEDAIWA! Ujinga ni kudaiwa hadi unafikishwa mahakamani tena na watu ambao kesho na kesho kutwa ungeweza kufanya nao kazi! ACHA KU-JUST UJINGA kwa kusukumwa na ushabiki!! Hii kitu kwa mtu kama Harmonize sio kitu kizuri kwa sababu tayari itakuwa ameshawekewa Red Flag kwenye Credit Reference Bureau, na hivyo kesho na kesho kutwa akienda benki yoyote kutaka kukopa, ATAPATA UGUMU, na huenda AKANYIMWA!!
@kwisa4899
@kwisa4899 25 дней назад
​@@djalasaleh kusaga mwenyewe madeni yalitaka kumuua hadi akalazwa SA
@JuliusMahinya-wl7mq
@JuliusMahinya-wl7mq 24 дня назад
​@@djalasalehKusaga yupi? Huyu alitaka kufa kisa madeni?
@Nikita_8017
@Nikita_8017 25 дней назад
Haiya! Kumbe hiyo 1.2 tz million ni kama 50,000 ya kenya, hiyo pesa ni kidogo sana, Harmonize hawezi shindwa kulipa😮
@Kastahbray
@Kastahbray 25 дней назад
Ukweli ndouyo... Salut mwijaku
@hanifamziray277
@hanifamziray277 25 дней назад
Acha kumtetea konde ametia aibu sn.miaka yote hayo kwa nn hakupeleka rejesho ameumbuka vibaya
@KingCanny.
@KingCanny. 25 дней назад
Harmonize anakosa washauri wazuri..watu wanaomzunguka ndio kama hao wanampurusa tuu😮😮
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 25 дней назад
Bangi mbaya
@williamuaza7541
@williamuaza7541 25 дней назад
Tajiri atashauriwa nn muacheni mond na umaskini wake
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 24 дня назад
​@@auntiemylee3157Management pia mbovu
@user-co5bc1id7q
@user-co5bc1id7q 23 дня назад
Jamani uyumwijaku anakichwa chakutafuta pesa sana alafu nimuongeyaji mzuri sana.
@jaylazorschannel5681
@jaylazorschannel5681 25 дней назад
Kajala 1 and 2... Tena zote ni range.😂
@scolatoftofu1201
@scolatoftofu1201 24 дня назад
Ela ndogo Sana Kwa harmonize
@katibampya8442
@katibampya8442 24 дня назад
Vere nice kwesheni, bvere nice kwesheni. Anajiita msomi
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 25 дней назад
Mnapenda ku-fake life mwisho wake mnaumbuka Harmo sijui ataificha wapi sura yake..!!!
@luckyluchano1
@luckyluchano1 25 дней назад
🎶Kajala 1 and 2, kumbe vyote ni deni🎵🎷...huu mwaka naona kikoozi cha bangi kitaisha💀😂😂
@doreenfrank3508
@doreenfrank3508 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 23 дня назад
😂😂😂
@ianbryse1417
@ianbryse1417 20 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾
@shabanimpalazo2695
@shabanimpalazo2695 25 дней назад
Hamo kazingua sana 100 m anashindwau
@svt3
@svt3 25 дней назад
Mimi nilipo ona Ibrah ana kipaji na bado kijana ila lebel aliko wanakosa pesa za Branding, marketing, promotion nikajuwa tu hakuna pesa hiyo upande
@dinahkimario3361
@dinahkimario3361 25 дней назад
Ahise maish ya kistaa ni changamot sanaaaa jmn..
@ChireGriffin
@ChireGriffin 25 дней назад
Hapo kwenye kamari kweli kabisa ...Yani ata mm imeniangysha sana...lakini nimeanza kurudi pole pole na kamar nimeacha
@jadevevo96
@jadevevo96 25 дней назад
Aaah harmonize hapana anyway from 254
@vincej9275
@vincej9275 25 дней назад
Poor investment plans, kununulia girl friends magari kisha kuwachana nao.
@kingkendrickk
@kingkendrickk 25 дней назад
Mwijaku fala sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 24 дня назад
Harmo kajishusha sana pesa ndogo km hii kwann asilipe mpk ifike Mahakamani
@Nkinda_org
@Nkinda_org 25 дней назад
Ila harmonize
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 25 дней назад
Kama huyu ndiye mshauri wa hamo basi kweli atafeli vibaya sana
@FidelisBanga
@FidelisBanga 23 дня назад
Its a part of journey of life,someone's life is hard to define.
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k 23 дня назад
Mwijaku kweli una point, issue ya kamari ni kweli kabisa. Talking sense and truth hapo
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 23 дня назад
Aliyesikia hana U T I gonga like 😂😂😂😂😂
@erickmuli1030
@erickmuli1030 23 дня назад
Kila siku nasemaga uyo makonde cyo N'TU hantaki kuamini ila leo sasa meamini! Na uyu aneyehojiwa ndo kabisaa hamna ktu ipo cku yatakuwa wazi subirin muone! Madish haya Tz n hasara kwa Taifa.
@AmosMchiwa-ub8qq
@AmosMchiwa-ub8qq 23 дня назад
Dangoteeeeee🎉 simba
@alsam4881
@alsam4881 25 дней назад
Huyo mwanamke tajiri kawekeza ila kawezeshwa na mume wake mjerumani na ndiyo maana ana pesa.
@benotayari5970
@benotayari5970 25 дней назад
Wwe mwijaku kila kitu unajifanya unajua two murch toka huko
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 25 дней назад
Ati CPA holder wako wachache sana hawana nafasi. Tupo wengi ingawa hatutoshi na hiyo haina maana kuwa hatuwezi kujiwekea ratiba za mapumziko na mambo mengine binafsi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 23 дня назад
Ila mwijaku napenda sana vituko vyako😂
@zaikokingnil7727
@zaikokingnil7727 22 дня назад
Ukimuiga Diamond Platnumz maisha anayoishi lazima ufilisike, Diamond Platnumz ni mjanja sana na ana akili nyingi sana
@shemmtrue254
@shemmtrue254 23 дня назад
Mr Mwijaku Usiogope Apia Huyu Reporter Deni Haifungi Ila Bora Akubali Alafu Alipe Chenye Anataka
@ramayonline2281
@ramayonline2281 25 дней назад
Vyoo 27😂😂😂😂😂😂
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 23 дня назад
Umri wake na hiyo mijimama anayoipanda tofauti inamfilisi na kuondoka
@kassimmtepele5986
@kassimmtepele5986 21 день назад
Kwahiyo Tanzania kuna Waislam na Wakristo pekee
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 21 день назад
😂😂😂simita lazima aache hela hapo
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 25 дней назад
Mwinjaku naiyomba iyo tishet yako nimeipenda
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 25 дней назад
Ipo siku mwijaku utaumbuka
@user-ds9gc3wx4n
@user-ds9gc3wx4n 16 дней назад
Eti n iyi utaniachia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 23 дня назад
huyu mtangazaji anamuingilia sana interviewee..mwache Mwijaku aongee aliemzoefu na mahakama..sss ww nikuongea kuingiliza kumubia wee mbona uko hivi...SIKILIZAAA..namuongelea Rick Media...
@MARCEL_BOY9
@MARCEL_BOY9 24 дня назад
Kuna gorofa na godown😂😂😂
@ReubenNgoka-uh3dj
@ReubenNgoka-uh3dj 22 дня назад
Harmonize anahonga sana pisi namjua vizuri sana
@JuliusMahinya-wl7mq
@JuliusMahinya-wl7mq 24 дня назад
Huyu msanii toka nilipoona anapigania hela na akina baba Level! Nilijua pale maneno mengi lakini hela aahaa!
@Cavachanel
@Cavachanel 24 дня назад
mwanamke wa mburahati ahahaah kmk mwijaku
@MagomaPato
@MagomaPato 25 дней назад
Harmonize Mzee Popo anategemea uchawi hadi kwa mikopo....Harmonize ni laana kwa Taifa yetu 💯😭👹🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 25 дней назад
Magoma kwani una ttz gani 😅😅😅😅 hii comment naikutaga media nyingi😅😅😅
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 25 дней назад
Acha kuandika upumbavu wew unaonyesha unamjua san kiundani
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 25 дней назад
We Kumaweee tuta Kuta futa wauni wa konde gang tukufile kumaweee
@azizayassin3623
@azizayassin3623 25 дней назад
Baba kiruwasha si ulisema ana pesa kama MO 😂😂 atalipa tu deni ni million 300 na sio 120 m😂😂😂😂😂😂😂
@WemaYohana-fe2ec
@WemaYohana-fe2ec 25 дней назад
Acha ujinga wewe
@eddyempire9797
@eddyempire9797 25 дней назад
Jamaa ana mdomo sana
@YousraNjokiMGHAZA-rq7wz
@YousraNjokiMGHAZA-rq7wz 23 дня назад
Ataa serikali zetu zadaiwa banaa.hamna cha ajabu
@MarrylinellyMshana
@MarrylinellyMshana 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂Mwijaku shikamoo hapo una tega maokoto
@jeffjafari2440
@jeffjafari2440 23 дня назад
King kiba ndio maana anaga mashauzi kama ao wasanii wenu mzigo anao lakini kama fala flani kimya sasa wanaumbuka
@ChampionDullah
@ChampionDullah 25 дней назад
Tutamchangia tu sisi ni wamoja pesa nn kikubwa uhai ndo atuwezi kuludisha sio pesa jeshi tuko pamoja kaka
@GadsonLukumay
@GadsonLukumay 24 дня назад
Ivi kumbe ni kweli alikopa konde naye bahna
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare 25 дней назад
Uyu mwijaku ndio amekula hela ya harmonize na wanawake kubadilishq
@MsafirGervas
@MsafirGervas 25 дней назад
Madeni yako na mwenzako mnahonga tu fiyuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jonessalum6325
@jonessalum6325 24 дня назад
Me watu na washaangaa sana kwani harmonize kawa wa kwanza kukopa yaani wa bongoo wanamaindiiii kwani ata lipa yeye mwenyewe
@ednahumazi777
@ednahumazi777 22 дня назад
Mwijaku mnafiki lirongo
@jadevevo96
@jadevevo96 25 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉0
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 25 дней назад
Una appeal kwenye dini ambalo ushakiuka vifungu vya mkataba na bado unadaiwa
@IssaTayari
@IssaTayari 25 дней назад
Poshi kwin
@yasluhumilemohammed7461
@yasluhumilemohammed7461 25 дней назад
Ila mwija mdogo wangu
@NemesMasawe
@NemesMasawe 25 дней назад
Ilaaa mwijakuu
@shafikarzai321
@shafikarzai321 24 дня назад
CPA Ni course kubwa Tanzania 😅😅😅😅
@meddy6090
@meddy6090 25 дней назад
Mmmh mwijaku muongo nyumba yab
@JamesMichael-u4f
@JamesMichael-u4f 24 дня назад
Huyo ni jesh atyamaliz kijesh
@Bongovillagex
@Bongovillagex 25 дней назад
Hii kiki mjini
@NobreDacapim-g3x
@NobreDacapim-g3x 24 дня назад
Kwanza mtu mwenye akili timamu utawezaje kuwamini kuwa Hamo anadaiwa one milione ameripa milione 6 wcb itakuwa Hiyo milione moja mwijaku hana oja ya msingi hila ndo hilivyo kwa miaka hiii tuliokuwa nayo ukitaka kiki lazima umchafuwe konde.
@FelixTsuma
@FelixTsuma 22 дня назад
Ukiona mwijaku anaongea kwa utulivu jua kuna uzito ndani ya analosema ........hamo alipe pesa
@habarugiraRodrigue
@habarugiraRodrigue 25 дней назад
Pesa ndogo iyo kwa Harmo
@lawskuli9876
@lawskuli9876 21 день назад
Sishangai Harmonize kufilisika kwani yeye ni sawa na babu jinga hivyo hivyo watu wanakula kwa ujinga wake wake wa kupenda kuwa na mabodi gadi, msafara kama raisi wa nchi na aina nyengine za ujinga uliochanganyika na ushamba na ulimbukeni.
@nashnene6326
@nashnene6326 25 дней назад
Yeye ajizungumzie mwenyeo, babalevo anamdomo mwenyeo na chombo chake cha habari atajiongelea aachane nae
@mrsab303
@mrsab303 25 дней назад
Mwijaku 😂😂😂😂😂❤❤❤
@AmosMchiwa-ub8qq
@AmosMchiwa-ub8qq 23 дня назад
Ww mwijaku huna kitu chochote unajitapa unauwezo ungeshindwa kumlipia
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k 23 дня назад
Mwijaku vitu vingine fanya tuu siri. Mali zote exposed, wachawi will come for you. Watch out bro, wabongo sio wazuri
@TuyageComcast
@TuyageComcast 24 дня назад
Ni wangipi wako nama gari ya mikopo bank ikiwadai wanarudi msoto lol 😂jay akasema maishi ndo jisi yalivyoo 🙅‍♀️
@gracewairimu800
@gracewairimu800 24 дня назад
CPA holder 😂😂😂ila mwijaku😅
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 25 дней назад
Kweli kamali siyo mchongo
@ShadrackNICODEMAS
@ShadrackNICODEMAS 25 дней назад
Kweri kamali sio
@Benidoto
@Benidoto 25 дней назад
🥱🥱😭😭😭🇹🇿 yataisha kaka jikaze
@stevensosipita
@stevensosipita 22 дня назад
CHEZENI NA VITU VINGINE SIYO BANK TUMESHUHUDIA NYUMBA ZINAPIGWA MNADA NA BANK
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 25 дней назад
Tanzania ndo nchi peke hajuwi madeni ni kitu chakawaida kwa wasani
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 24 дня назад
Sema mwijaku ubishi ndio unaokuponza, kitu unatakiwa uje ni kwamba, case hafungui wakili case inafunguliwa na mlalamikaji wakili anamsimamia mteja wake either malalamikaj au mlalamikiwa....lakin kitu kingine mwijaku na ubishi wako na haelewi chkchote kuhusu sheria ni kwamba... case kama hiyo yenye asili ya madai mlalamikaji bado ananguvu kwamaana anauwezo wa kuiomba mahakama kuto kuendelea na shtaka sasa wewe endelea kupangwa na uzuri sisi tunapenda kupata wateja wajuaji kama wewe ....@masoud wewe kaza hadi aelewe huyu haya mazoea
@millardayoor5952
@millardayoor5952 25 дней назад
Bado Billion 5 ya masoud kipanya
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 25 дней назад
Hili nalo litapita kudaiwa ni jambo la kawaida na hsrmo atashinda
@RajabJuma-m2n
@RajabJuma-m2n 23 дня назад
Magodaun😂😂😂😂
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 25 дней назад
Bado wewe B5 za masudi
@zuwenahassan3624
@zuwenahassan3624 25 дней назад
Ila mwijaku 😂😂😂😂😂😂😅
@NemesMasawe
@NemesMasawe 25 дней назад
Mwijakuu nakuelewaa sanaa
@moriscollins4494
@moriscollins4494 25 дней назад
Eti hana UTI huyu jamaa bhana
@CharlesEdwardCvanoedward
@CharlesEdwardCvanoedward 24 дня назад
Kwenye Kamari ùmeongea ukweli mtupu
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 25 дней назад
Vyoo 27😂 mwendo wa kunya na kulala
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 25 дней назад
Wajinga wamekutana muijaku na hamo mavi 😂😂😂😂
@DanielAyoub-ic7iu
@DanielAyoub-ic7iu 23 дня назад
Unaomba adi wanawake pesa? Utakuja kuwa mwanamke ww
@Henricovicent
@Henricovicent 25 дней назад
😂😂😂😂
@righitkileo
@righitkileo 23 дня назад
Madeni ni kawaida kila mtu anadaiwa sema huyu yko mbele ya kamera .Na nyie mnaoshabikia usipende sana kufurahia matatizo ya mtu maana huo ni uchawi pia
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 25 дней назад
Et mwambino wewe unamdharau boss wako ahahahahah
@Zuuh4286
@Zuuh4286 25 дней назад
𝐒𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐲𝐮𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐟𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐮𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚𝐣𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 😂😂😂 𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐰𝐢𝐧𝐣𝐚𝐤𝐮 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐳𝐢𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐨𝐦𝐚 😂😂😂😂
@hajimaruzuku6583
@hajimaruzuku6583 23 дня назад
Hahhaha
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 25 дней назад
Kesi si ya wakili mwijaku. Bado ni ya mhusika. Halafu kutaja mali zako hapo umemrahishia mdai kuzikanata ukishindwa kesi. Sifa za kijinga za kujichoma mkuki mguuni😊
@NemesMasawe
@NemesMasawe 25 дней назад
Hahaha
@speedmillionakarohosafi3864
@speedmillionakarohosafi3864 25 дней назад
Kiki zenu hazieshi
@JJoshua-nc6hu
@JJoshua-nc6hu 25 дней назад
Harmoniz pesa anazo kama aliweza kumlipa diamond milion 600 je milion 100 ndo itamshinda kueni makini ila harmoniz anajua kutikisa mitandao😂
Далее
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20
BABA LEVO amuonyesha dhalau HARMONIZE  mbele ya MWIJAKU
9:14
HUYU HAPA EX- WA CHINO WANA MANI NA POSH WANAMAN
10:09
Просмотров 1,1 тыс.