Тёмный

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AKANA ANDIKO LA BIBLIA 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Please subscribe to STRAIGHT PATH DAWAH channel for more videos

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Sheikh Ramadan mungu akulinde 💕
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
🤲🤲🤲
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@StraightPathDawah kwann unawahoji watu hawana elim ya din
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 Год назад
@@zaburi2386 naweww pia huna elimu ya dini
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Napenda unavo waeleza
@nooroman2535
@nooroman2535 Год назад
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu na pepo ya fildas lnshaallah
@janieali5521
@janieali5521 Год назад
MashaAllah, Mungu akubariki na akuzidishie kheri na baraka nyingi sana kwa kuwaweka sawa hao wakristo. Watu wengi hawamjui Mungu wala hawamjui Yesu, nahii ni sababu ya shida nyingi zilizopo siku hizi. Jazaka Allahu Kheir
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Mashaallah allah awabariki
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@yusufmahdi8921
@yusufmahdi8921 Год назад
Mansha Allah jazaka Allahu Kheyra sheekh
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Allah akuhifadhi sheikh Ramadhan wewe na wenzako mnaopigania dini ya haki ,pepo firdaws iwe makazi yenu ya mwisho na family zenu.
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Main papas we ramadhani wafurahisha mashaallah
@bahatikenia39
@bahatikenia39 Год назад
Mashaalah
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Nimecheka leo
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
🤣🤣🤣mashaAllah
@mtotoissa257
@mtotoissa257 Год назад
Manshallah ramadhan mungu akup umri mrefu
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
Am not surprised mkristo kuikana biblia..
@faridbashuu
@faridbashuu Год назад
Hii Ndio Maana niliwacha kuwalingania. Kazi yenyewe inataka Mtu mwenye Subra ya Hali ya juu sana. Wanaenda na Imani sio Maandiko ya Biblia.
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
Safi!
@husha6372
@husha6372 Год назад
MashAllah MashAllah Alhamdullillah Alhamdullillah tabarakAllah Shekhe Ramadhani KWELI una Fanya Kazi mzuri Sana Alhamdullillah Alhamdullillah inshallah inshallah na WENGI wata ingia kwenye UISLAMU Kwa mkononi Kwako Inshallah Inshallah tunamuombea Kila la Kheyr Duniani na Aqeera Inshallah in
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 Месяц назад
Mash ALLAH alhamdulilah Neema ❤❤❤
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
MashaAllah Allah akupe umri mrefu kaka Ramadhani
@nooroman2535
@nooroman2535 Год назад
MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Masha Allah 🥰
@mwajumasaid9304
@mwajumasaid9304 Год назад
Maa shaa allah napenda unavyo waeleza
@abdidubow5754
@abdidubow5754 Год назад
Masha Allah sh ramadhan
@maherzain615
@maherzain615 Год назад
Wacongo kwa kuimba Africa hamna. sishangai kuona anakataa maandiko yakupinga nymbo
@AminaSauda-p6c
@AminaSauda-p6c Год назад
Shekhe Ramadhan kuria Allah akulipe kila lakheri inshallah
@faridbashuu
@faridbashuu Год назад
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatu Ust. Napenda Sana unavyo Fanya DAAWA. It's the best style and way to deliver the massage. Kwa Maoni yangu hivi ndivyo Bora kuliko Muhadhara za kujibizana. Hivi inaleta Heshima na Ustaarabu. Barakallahu feekum
@hassangaucho4084
@hassangaucho4084 Год назад
MASHAALLAH SHEKH RAMADHAN... ALLAH SUBHANAHU WATAALA awabarik Sana ala kulli Hali.
@Ashrafbillaltkn
@Ashrafbillaltkn Год назад
Mashallah Allah azidi kuwalinda na awazidishie elmu ya dini na awape hidaya wengi kupitia kwenu .
@allyidowa5965
@allyidowa5965 Год назад
Mashallah. Shekh. Allah akuhifadhi akulipe na akupe umri mrefu
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 Год назад
Masha Allah tabarkallah napenda sana hiki kipindi sana
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Mbona Mcongo kadonye ana kataa kusema ni Mkristo,!? Kadonye, HAKUNA Neno 'Ukristo' katika Biblia MZIMA! Kwa hivyo, 'Ukristo' sio DINI wala Dhehebu! Ukristo ni CULT Ya Wazungu, ilio anzisha kule England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿, in 1611AD! Kwa hivyo, kama una ngojea 'uokozi' wa 'Jayzee', basi uta ngojea mpaka ukauke!
@bullermgana213
@bullermgana213 Год назад
Biblia ya kwanza ilitoka 1500AD "the great bible" mpka sasa ina editions zaidi ya kumi.
@isseamin2017
@isseamin2017 Год назад
May Allah bless you
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Mtihani wakiristo hawasomi bibilia Yao ndiyomaana hawaelewi wanafatamkumbotu
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Hata kama hawason lakn biblia ndio kitabu chenye pumz ya Quran ni fake
@eastafrica6858
@eastafrica6858 Год назад
Kweli kelele tena wanafumbiana ktk nyimbo hawabudu ilala kelele tu was alive wadudu wasujudie mmungu
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Год назад
Wa kongo niwagumu kwa kusilimu
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Wata silimu tu, ikiwa Allahswt ata penda!
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@Sal.0 hata umpeleke mganga hapo hawezi silimu hapo
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
@@madetetv6576 Ah, basi si sawa tuu! Si Ma KAFIRI wotee kama nyinyi muki silimu, si JAHANAM ita kosa Customers! 🔥🔥😋😋
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Mtume wa Mungu kweli unaoa katoto ka miaka 6 du mungu gani huyo
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
WeweUmechanganyikiwa.watu.wanaoa.mimba.akizaliwadumeNirafikiAchukuliwiAkiwa.chini.lazimaAwebaleheWachaUjinga
@asiyharoon9471
@asiyharoon9471 Год назад
Aki mcongo nimbishi uyu khaaa
@maherzain615
@maherzain615 Год назад
Hahah kumbe kuna maandiko mengne kwa biblia niyetu sisi waislamu🤣🤣🤣🤣
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Saa si muokoke
@maherzain615
@maherzain615 Год назад
@@zaburi2386 kuokoka na nn?
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@maherzain615 kumkiri YESU kuwa bwana na mwkokozi wako
@maherzain615
@maherzain615 Год назад
@@zaburi2386 bwana wa nn? yesu ni nabii wa mungu.babyake ndio baba yetu mungu wake ndio munguq wetu.acheni kumuongezea mambo
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@maherzain615 sawa tupe umuhim wa Muhammad kuwa mtume bas
@mosmart4718
@mosmart4718 Год назад
Total confusion I see every day with our Christian brothers and sisters. Lack of knowledge. They just say what they hear from their pastors. Alhamdullilah that I am a Muslim. Even my 10 year old has memorised the entire Koran which is 604 pages.
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
Kwani Wakristo waki imba nyimbo, huwa wana fanya nini? Biblia ina sema wakati unam ABUDU Mungu, lazima um SUJOODIYE Munge. Na ukim OMBA, basi un ennua MIKONO kwa kum omba! SASA, wakati wanapo IMBA, huwa wana fanya nini, kwa sababu, ku IMBA SIO ku ABUDU wala SIO kum OMBA Mungu? Kwani MUNGU ni President ambaye ana SHANGILIWA na WIMBO? Mbona Wakristo hawa tumiyi BONGO?
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 3 месяца назад
Kweli kutojua bibilia ni hasara kubwa sana, ona confusion sasa😮
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Asalam alaykum, ustadhi Ramadhan mbona sauti hamna?
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Sauti IPO jaribu kwenye simu nyingine au runinga
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Wa aleyikum salam warahmatullahi wabarakatuh
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
@@StraightPathDawah sawa asante
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Sauti ipo.
@nooor1120
@nooor1120 Год назад
Kaka Denis Mwangi Fuatilia episode hizi utanufaika na pia soma quraan kutafuta ukweli ipi dini ya haki.
@hassangaucho4084
@hassangaucho4084 Год назад
Na uwakumbushe kwamba Uislamu ni dini ya maumbile ukiishi nje ya Uislamu basi utapotea tu .
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Dini ya maumbile uchawi huo
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Tatzo unawahoji watu hawana elim ya din walevi walevi
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Год назад
Hapo Haojiwi mtu Mjomba watu wapo kuelimishwa Dini iliyo ya kweli Sio km Mnavofkiria Nyinyi
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 Год назад
Eti meaning?😀😀😀😂😂
@mabrukmabruk6265
@mabrukmabruk6265 Год назад
Misinterpretation of the word of God, read 1 Cor. From verse 12 to 20 and get the answer. Stop misleading others who are ignorant of the bible
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 Год назад
Musikubali Mtu kuishika hio Quran Mtu asiekua muisilamu ni makosa hayo
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Wamezinunua wako nazo
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Quran ina jipya gan hata useme ivo
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Ukinitajia mm jambo lililokuja na Quran naslim
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Au hata ukinitajia jambo jipya ambalo mitume wengne hawakufanya then Muhammad akalifanya mm naslim
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
@@StraightPathDawah kwann unasoma vitabu vya Paulo Hal ya kuwa mkiwa kama waislam hamuanin kama Paulo hakuwa mtume
@evansmogusu8113
@evansmogusu8113 Год назад
Huyu Ramadan ni shetani
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 Год назад
Astaghafirullah mungu akusamehe
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Utaskia Paulo hakuwa mtume alafu wanasoma vitabu vyake et wakorinto😂😂
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Год назад
Kisa kaongea Ukweli ndo kawa Shetani au🤣🤣
@abcfisheries2865
@abcfisheries2865 Год назад
Wewe, mzunguMweusi, 'Shetani' huwa ha ongei UKWELI! Ramadhani ana ongea UKWELI TUPU!☺☺
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 Год назад
Inalilah wa inalilahi rajiun
@fadumabdullahi217
@fadumabdullahi217 Год назад
Mashallah
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
Mashallah
@mtotoissa257
@mtotoissa257 Год назад
Manshallah ramadhan mungu akupe umri mrefu
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
@@mtotoissa257 amiin
Далее
PASTOR YAKOBO ASEMA UKRISTO SIO DINI, ASHANGAZA WAUMINI
1:04:43
Ромарио стал Ромой
00:46
Просмотров 89 тыс.
wajibiwa maswali yao
32:11
Просмотров 53 тыс.
MJADALA KUHUSU PASSAKA ULIO ONYESHWA LOLWE TV
1:26:56
Просмотров 10 тыс.
wacheni haya nyie WA Catholic!!!
10:56
Просмотров 11 тыс.
Ромарио стал Ромой
00:46
Просмотров 89 тыс.