Тёмный

Mwl. Mgisa Mtebe - KUJA KWA MPINGA KRISTO - Part 1 

Mgisa Mtebe
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 74 тыс.
50% 1

Kwakuwa Mpinga Kristo atakuja na agenda yake ya Serikali Moja ya Dunia, Dini Moja na Mikataba feki ya Amani, basi lazima leo aanze kuziangusha serikali za wananchi zilizopo madarakani, kwa kuwagombanisha watu na serikali zao, kuzipooza Dini zilizopo na Kuvuruga Amani ya nchi na dunia. Basi iweni Hodari katika BWANA na katika uweza wa Nguvu zake, kwa maana kushindana kwetu sio juu ya damu na nyama, bali ni vita vya kiroho, tukipigana na falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho (Waefeso 6:10-18)

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@sarahjames2287
@sarahjames2287 Год назад
Always unasemaga ukweli mtumishi wa Mungu😊
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 4 года назад
Wewe ni mtumishi ungali kijana ila una kitu kikubwa sana kama mlima kilimanjalo Mungu akubariki mtumishi.
@royalroyal8633
@royalroyal8633 4 года назад
Munguakupenguvuyingi
@janetjanet8669
@janetjanet8669 3 года назад
Mungu akujulishe zaidi ili nasi TUPATE kujua zaidi 🔥🔥🔥
@agnesnzali5724
@agnesnzali5724 Год назад
Mwalm unakit Cha pekee xn ubarikiwe mnoo
@lydiamutaleba581
@lydiamutaleba581 3 года назад
Yes
@judithruta3688
@judithruta3688 5 лет назад
Barikiwa mtumishi unanibariki sana.
@godwinLeticia
@godwinLeticia 10 месяцев назад
Amina sana
@HermanPhilemon-qu8iz
@HermanPhilemon-qu8iz Год назад
Nzuri jamani
@rosemiriammakungu16
@rosemiriammakungu16 5 лет назад
ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@lailajeremia4650
@lailajeremia4650 6 лет назад
Mungu azidi kukubalikinayapenda sana mafundisho yako uinuliwe ktk bwana
@ngida
@ngida 5 лет назад
Amen. Mwalimu mafundisho yana tufungua macho sana
@stanstan5410
@stanstan5410 5 лет назад
Mungu akupe nguvu ila usisahau kuwa upingwapo ndo kuna kuinuliwa kwako
@eliarichard9218
@eliarichard9218 6 лет назад
barikiwa sana baba mungu azidi kuku tunza.
@salmangereza5587
@salmangereza5587 3 года назад
Barikiwa sana
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 23 дня назад
Huna ukweli juu ya mpinga kristo, Jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani upate semina ya mpinga kristo angalia you tube MJUMBE AGANO upate semina hiyo. Acha uongo. Aliye toka juu hunena maneno ya juu, wewe ni wa dunia unanena mambo ya kidunia, wewe ni shetani acha kudanganya watu.
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 5 лет назад
You have good experience
@princeammit516
@princeammit516 5 лет назад
Bless
@nasiyofilibeti2167
@nasiyofilibeti2167 Год назад
MUNGU atufingue turierewe neno rakwer tuache utoto
@myself4128
@myself4128 5 лет назад
Mpinga kristo ni uislamu
@asrymohd6690
@asrymohd6690 5 лет назад
Me? Ha ha ha polesana ukifa ndoutaelewa ila Allah akuondolee pepo ulilinalo muelewe muhubiriwako dini usiweke chuki kaka utajipasua kichwaaabure
@BedaMselle-kj3rx
@BedaMselle-kj3rx Год назад
@@asrymohd6690 daaah huyu jamaaa Hana hekima
@love98910
@love98910 3 года назад
Mtumishi kasome vizuri Biblia yako umjue kwa Kristo ni Nani ndo mpinga Kristo utaweza kumjua
@petermatabwa5085
@petermatabwa5085 3 года назад
Kwa hiyo we ndo una ufaham kuliko yeye
@love98910
@love98910 3 года назад
@@petermatabwa5085 mm nafahamu sawa na maandiko
@elisafimkojera9927
@elisafimkojera9927 5 лет назад
ujumbe mzuri
@hildaminja5148
@hildaminja5148 5 лет назад
Hebu tufafanulie hiyo ya MCHUNGAJI KIONGOZI na wachungaji wadogowadogo unaipata wapi Mtebe????
@nikomdota1932
@nikomdota1932 6 лет назад
Clip ni fupi sana, How do we get the whole sermon?
@love98910
@love98910 3 года назад
wapinga Kristo wapo wengi tu , ni mtu yeyote ambaye haamini kama yesu alikufa alafu akafufuka alafu tukapata msamaha wa dhambi (wokovu) yaani uzima wa milele... yeyote ambaye haamini moja Kati ya hayo au yote ni mpinga Kristo
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 4 года назад
Baba mpinga Kristi tayari yupo ndo Yule anaeuwa wakristo na kuanzisha vikundi maarufu Kama jihad Sasa alichobakiza nikupata nguvu za kivita ili aanze kujieneza ulimwengu wote,omba upate mafunuo
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Wapinga Kristo Ni wa aina nyingi siyo moja tu
@petromachanga29
@petromachanga29 4 года назад
Mpinga kristo ni Allah namhamadi
@happinessmrema7719
@happinessmrema7719 3 года назад
Hapana mpinga kristo hatoki uwarabuni anatokea rumi
@maryjustapeter5430
@maryjustapeter5430 5 лет назад
Naomba niurize kanisa litakuwepo wakati wa utawara wa mpinga kristo? Hapa dunia?
@kelvinvictor9622
@kelvinvictor9622 5 лет назад
Hapana Mary kanisa halitakuwepo. Utawala wa mpinga kristo unaanza rasmi baada ya kanisa kunyakuliwa. Sasahvi kanisa ndo linalozuia utawala huu usiwe dhahiri yani ufanye kazi kwa siri sawa sawa na 2 Thesalonike 2: 6
@robertambrose953
@robertambrose953 4 года назад
Yes
@happinessmrema7719
@happinessmrema7719 3 года назад
Hapana
@felixkiwanga8923
@felixkiwanga8923 3 года назад
Magonjwa yanapotokea watu watasema mengi mwisho majbu yatapatikana hu s ugonjwa wa kwanza kuikumba dunia
@myself4128
@myself4128 5 лет назад
Mbona tayareee? Hao manabii washafika? 97% ni wasaka tonge tuuu
@maryjustapeter5430
@maryjustapeter5430 5 лет назад
wakati wa mpingakristo akitawara hapa duniani kanisa litakuwa limenyakuriwa au litakueepo
@happinessmrema7719
@happinessmrema7719 3 года назад
Kutakuwa limeshanyakuliwa
@preciousmunuo142
@preciousmunuo142 2 года назад
Wale waliookoka na wale watakaookoka kwa damu zao watakuwa wamenyakuliwa
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 2 месяца назад
Wewe ni kipofu kitabu cha ufunuo kimefungwa na kutiwa mihuri saba, ni Mjumbe wa agano pekee ndiye aliyekusudiwa kufundisha kitabu hicho,wewe kama ni kondoo Jifunze kwa mjumbe wa agano duniani Angalia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.
@peterjohn1969
@peterjohn1969 5 лет назад
Unajua mtuakipata nafasi ya kuongea anaongea anachokijua yeye
@fanuelkeneth1806
@fanuelkeneth1806 5 лет назад
Acha kudanganya watu kuhusu mpinga kristo, hujui kutafsiri biblia.
@robertambrose953
@robertambrose953 4 года назад
Mbona unapinga wew devos.
@robertambrose953
@robertambrose953 4 года назад
Mhh!!!!!
@daynessissaya6884
@daynessissaya6884 4 года назад
Ww unayejua kutafsiri tutafsirie
@happinessmrema7719
@happinessmrema7719 3 года назад
We ndiye hujuw
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 3 года назад
Usiyejua ni wewe
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 5 лет назад
Sasa ninaamini kwamba wasabato ndio wamepewa roho ya unabii. Huyu jamaa hawezi kutafsiri
@johnlinus9534
@johnlinus9534 5 лет назад
We acha udini!wasabato mmekalia tu kuponda katoliki!!hewa kabisa ninyi
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 5 лет назад
@@johnlinus9534 Baki hivyo hivyo!
@petromachanga29
@petromachanga29 4 года назад
Aya gani alisema mungu, wasabato tumewapa unabii
@happinessmrema7719
@happinessmrema7719 3 года назад
Hahahahahahah wasabatoooooo niimani potofu
@ophryntirnigaprod1263
@ophryntirnigaprod1263 3 года назад
MUNGU ATUSAIDIE SANA ,HIVI MBONA SIS WAKRSTO TUNATUMIA NENO TOFAUT, ELEZA MAANA YAMPNGA KRSTO , KISHA FAFANUA ASIL YAKE KISHA CHUKUA KITABU DANIER & UFUNUO KISHA TULETEE MAANA YAMPINGA KRSTO MAANA HAPO HAJAGUSIA HATAKIDOGO LAKIN WAUMIN MACHO WAMEKUPATIA NAMASKIO YOTE WAKAT HAPANA KWEL, NIWASHAUR ,HATA KAMA UFANYEJE BILA KUA KTK AMR 10 ZAMUNGU NAO USHUHUDA KWAKO HAPANA ASUBUH MAANA UNABII HAUJ KAMA MTU ATAKAVYO, 📚📚
Далее
Mwl. Mgisa Mtebe - KUJA KWA MPINGA KRISTO (Part 2)
4:33
Beautiful Military 🏅
00:10
Просмотров 2,1 млн
FCC Worship Service 10-6-24
1:22:58
Просмотров 7
NGUVU YA UPENDO - MGISA MTEBE
45:28
Просмотров 16 тыс.
Mwl. Mgisa Mtebe: Mbinu za Vita Vya Kiroho - Day 2
31:20
USHOGA NA MPINGA KRISTO
21:24
Просмотров 18 тыс.
Mwl. Mgisa - NAMNA YA KUBADILISHA AHADI KUWA HALISIA
22:24
Mwl. Mgisa - UTAKATIFU - Ticket ya Kumwona Mungu.
10:09
Mwl. Mgisa Mtebe - UPOFU UTAWAKOSESHA WENGI MBINGU
5:56
7. Kuinuka kwa Mpinga Kristo ( The Rise of Antichrist )
54:25