Тёмный

MY MOTHER EP 27 | Sad Story 💔💔 

BUSATI TV
Подписаться 138 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#bongomovie #mymother #housegirl

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@SilaMwalongo
@SilaMwalongo 2 часа назад
Sania ni mnafiki sana ana mnafikia rafiki yake
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 2 часа назад
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@jovithakawimbe7472
@jovithakawimbe7472 2 часа назад
Mashoga ni wa baya sana tena ni wakuwanao makini sana daaah 🥲
@FaithMandila-un5bs
@FaithMandila-un5bs 2 часа назад
Wakwanza Kenya,,wapi likes❤
@riziki8406
@riziki8406 8 минут назад
Nilikuwa nataka kumtaja zatiti yuko wapi jamani nakajitokeze mashallah zatiti ataishi maisha marefu duniani
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Час назад
Umbea wote uo sania kumbe ulikua unataka uombe kusuka mnafki ww ckupend
@saudamwakunemwa3856
@saudamwakunemwa3856 2 часа назад
Eeh leo 11 jmn , mnipe na mm bx izo
@MauwaSuleiman
@MauwaSuleiman 2 часа назад
Mm watatu apa Zanzibar❤
@AminaSada-h4p
@AminaSada-h4p Час назад
Much love from Kenya
@officialmamutz26
@officialmamutz26 2 часа назад
Mm leo wakwanza
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Hakik Busat tv mnatupa mawazo kiakili na kutupanua mawazo jinsi ya kuish na Kila mtu shukran San busati TV tunainjoi San 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Jaman leo nimewahi ❤❤❤❤❤❤❤ Busat tv
@PapiaDeogratiusMpangaje
@PapiaDeogratiusMpangaje Час назад
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ZubedaShaban-fb2dl
@ZubedaShaban-fb2dl 15 минут назад
Hi move ilianza vizuri Ila inapo elekea sielewi
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Wao my mother jaman mko wapi kumenog huk busati
@NyagiciroGrace
@NyagiciroGrace 2 часа назад
Wakwanza Kenya wapi likes
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 53 минуты назад
Sania mumbea sanaa punguza kamdomo tena kanafiki 😅😅😅
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Jaman wanao kereka na rafiki kam Sania tujuane hapo chini
@Mabuga72
@Mabuga72 2 часа назад
Wakwanza
@AgnesMiyi
@AgnesMiyi 2 часа назад
Sijachelewa jamani🎉🎉🎉🎉
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Umemtetea asipigwe anajibu nyodo jaman watu huwa Wan mamb
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 2 часа назад
Nice movie ❤❤❤
@WardaKambi
@WardaKambi 2 часа назад
😂😂 mmefanya malekebisho mana mchana ilikua saut inajirudia asanten Kwa kujari watazamaj wenu
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Jaman Sania una balaa wew kiherehere wew mdom kam kicheche 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@JohorahassanHadi
@JohorahassanHadi Час назад
Jamani sania mbona uko hivo kugonbanisha watu
@JacintaMaloba
@JacintaMaloba 2 часа назад
Sania n rafiki mnafiki sana 😢. Pia mmbea kweli kweli 🤣🤣
@ErastoMsemwa
@ErastoMsemwa 2 часа назад
Nimewahi leo
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Час назад
Xaxa mtu unadangaje kama auna ata pesa yakupanga chumba uko nikudanga au tuitaje kitaalamu
@MwanaidiMakata
@MwanaidiMakata 2 часа назад
Hongereni team my mother
@ruthmongi6077
@ruthmongi6077 19 минут назад
Jamani namchukia sonia ni mchonganishi jaman
@Lydia-oy1cz
@Lydia-oy1cz 4 минуты назад
Afathali kesho itakua poa mlikua mnaboesha na kina sania make Lele tu
@reginamrosso3538
@reginamrosso3538 2 часа назад
leo mumenipa furaha kutoa kabla sijakaa kinyonge
@bintijumachongoa892
@bintijumachongoa892 Час назад
Wwnunakaa kinyonge na my mother ss wa house girl tufanyeje tukirushiwa ep mbili kwa sku azitutoshii😊 house gal imeingia damuni jamani
@SalinaSherono
@SalinaSherono 2 часа назад
Leo ni mekuwa no 8 aki tausi mungu akusaidie pole 😢😢
@RehemaMohamed-m8r
@RehemaMohamed-m8r 2 часа назад
Wew ❤❤❤
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx 2 часа назад
Jaman nimewah leo naomben like zenu🎉❤
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز Час назад
Jmn wana busati mbn hatuoni side ya kina zatiti n mama kichaa. Na pia upande wa batuli
@EmmilianaWekesa
@EmmilianaWekesa 2 часа назад
Mbona mnarudia jamani😢
@annstamciawanzila2652
@annstamciawanzila2652 Час назад
Vipi kwani zatiti na mamake kendi wapo wapi movie hainogi Bila wao
@ErastoMsemwa
@ErastoMsemwa 2 часа назад
Nimecherewa dah!
@moonGirl-t1i
@moonGirl-t1i 2 часа назад
Shania na ombeah yako gky ndio mana unoni😂😂😂
@Mabuga72
@Mabuga72 2 часа назад
Au kuna mwingne
@SikuJuma
@SikuJuma Час назад
Kamekwida eti nakuonea uruma
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 Час назад
Kwenye scene ya sania punguzeni dakika maana anafundisha tu umbea
@SundiMalekwa
@SundiMalekwa 2 часа назад
Sania mke wa gond kwa unafik
@AliceCharo-wz9oz
@AliceCharo-wz9oz 2 часа назад
Mumeamua kuirudia sio😂😂
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 2 часа назад
Hey hey kai na zatiti❤❤❤kimeumana 😂sauti imekuwa sawa pia
@adrianocarloschicuava4016
@adrianocarloschicuava4016 Час назад
Sania nafiki sana🎉🎉🎉🎉
@herveiratunga3656
@herveiratunga3656 2 часа назад
Mouvie imeanza vizuli lakini inapo elekeya hayieleweke ata ni story gani
@jamilamwarabu3890
@jamilamwarabu3890 Час назад
Jmn Yolanda yuko wap
@azizabakarimsologoni.49
@azizabakarimsologoni.49 2 часа назад
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Час назад
Saniaa kilaa pahali kivurugee yeye tuu ilaa ngonde kakukomeshaa🫄🫄🫄🫄🫄🫃🫃😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Час назад
We aca tuu hapo sasa kwa ngonde😂😂😂
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Час назад
We aca tuu hapo sasa kwa ngonde😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Yani Sania anatafut umbea ili akamtafuta yoland tunao amin Sania akamtafuta yoland na a mwambie ukweli jaman Sania acha unafki wew hadi rafiki yako sakin a umemchonganisha kwa rahm Sania w n chachu kam ndimu
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 17 минут назад
Sania cha umbea,hivyo atamtafuta yolanda kwa udi na uvumba 🤨🤨
@JaneMhango-yl7xo
@JaneMhango-yl7xo 2 часа назад
Sania sania ww vp mbana mgombanishi ww mtoto hebu tulia bhana mm kutoka 🇿🇲
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 53 минуты назад
Kai macho kondoooo😂😂😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 2 часа назад
Hakik rahm na Sania hawa n balaa jaman vivuruge Hawa jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@genz1stqualityfilmproducti140
@genz1stqualityfilmproducti140 2 часа назад
Sania huyo anaaharibu kila.kona
@DomitilaEmily
@DomitilaEmily 2 часа назад
Zatiti yu wapi jamaan
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov Час назад
Hakika imenoga san
@pendomwaringa7597
@pendomwaringa7597 2 часа назад
SANIA MUNFIKI WW😢😢😢
@JudithMuhingi
@JudithMuhingi Час назад
Sania nakuchukia
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 часа назад
Si eti kla mtu anajua rahma ana mdomo...yani ni unao mdomo tena na ulimi mchafu mrefu😂
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u Час назад
Sasa mbona hii story mumeibadilisha kuwa ya umbea tu ndo ulotawala hakuna kitu Cha maaana tunaitaj uhalisia wa story
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Час назад
Sania mnafik sakina uhsajuwa mabaya wako rafiki mnafik huyo😢wifi yake zatiti kavurugw 😂😂leo tausi umenifurahisha wasikuzoee hao❤❤❤❤ila huyu mume wa tausi naogopa asije kumletea tausi maradhi jamni hii movie yafunza😢🎉
@MonalisaNdimbo-f8m
@MonalisaNdimbo-f8m Час назад
Iv kwan sania kateguka kiuno mbna anajibinua mpka anapoteza ladha ya kashepu kake jmn
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Час назад
Nicheke tu coz nilijua ni mm tu naona hv
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 2 часа назад
Kumbe umbea yote huna pesa za kusuka sania ww😂😂
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 2 часа назад
🎉🎉🎉
@officialmamutz26
@officialmamutz26 2 часа назад
❤❤❤
@saumuchai9620
@saumuchai9620 Час назад
❤🎉
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 Час назад
😢😢😢sᴀɴɪᴀ ᴍɴғᴋɪ😮😮😮😢
@TinnerJnr-y3c
@TinnerJnr-y3c 2 часа назад
Wakwanza
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda Час назад
Далее
HOUSE GIRL EP 26 | S3 | Love Story 💕💞
22:08
Просмотров 1,2 тыс.
DUNIA (Ep 06)
20:48
Просмотров 44 тыс.
SHEILA | Part 2
21:00
Просмотров 3,4 тыс.
MY MOTHER EP 26  | Sad Story 💔💔
21:11
Просмотров 25 тыс.
PENZI GIZANI EP  8
18:45
Просмотров 4,4 тыс.
HUBA Leo Jumatano Usiku 09-10-2027
22:42
Просмотров 7 тыс.
MATE | EPISODE 3
16:32
Просмотров 9 тыс.
HOUSE GIRL EP 25 | S3 | Love Story 💕💞
23:33
Просмотров 37 тыс.