Wenye we get angry out here tunakimbia kwa morini tunasmile tu bila ata movie kuanza tupitie apa......Morini wapi ten bob ya mnamo sita,nne,ishirini na kumi na nne😂😂😂😂😂
Mama morin hupiga kelele hanyamazangi just like my mother woooi na zenye ukipewa na shosh akitembea anakuitisha na ukimwitisha ni shida aaaai kwani wanatakanga aje??? Mob love road to 100k subs na mbona anashout😂😂😂😂