Aziz ni kweli alikuwa dodoma na diarra walialikwa na Antony Mavunde kwenye mech ya hisani tena akatupia attrck 2 na mipira yote 2 kamzawadia mheshimiwa
Mzee Said nkikuskia tuu safari yangu naitembea usiku alafu naweka mahojiano yako naunganisha kwenye Bluetooth na speaker za radio ya gari basiii nakula zangu burudaaaaani😂😂😂
Mzee Said shida mliitengeneza wenyewe, mlipoanza kutangaza mnajiunga na fei kuomba afunge magori mengi. Na sasa mngekuwa ninyi na magori mengi mngeshika nafasi ya pili.