Тёмный

MZEE WA GIZA_EP25 

LIKOMA
Подписаться 121 тыс.
Просмотров 177 тыс.
50% 1

#mzeelikoma #mzeewagiza #kpnazebuu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 422   
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi 9 месяцев назад
Namba one from Kenya 🇰🇪 like zangu msiwe wachoyo jamani❤❤❤
@MaulidAmri-zt2gv
@MaulidAmri-zt2gv 9 месяцев назад
Jamani mimi sijawahi kupata like zenu team kp&zebuu nipeni like izo
@lydiawaweru6391
@lydiawaweru6391 9 месяцев назад
Much love guys KP n zebuu Mzee likoma mchawi dibos pongezi sna guys ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉 kimeumana ❤❤❤❤
@furahakenga6619
@furahakenga6619 9 месяцев назад
Mpo vzur xana more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️
@Sauibr
@Sauibr 9 месяцев назад
Jaman Leo wakwanza aiseee ❤❤❤❤...my likes please 🎉🎉🎉
@Jaydannychawaboy1.
@Jaydannychawaboy1. 9 месяцев назад
Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😢😢😢
@RevinaRenovatus
@RevinaRenovatus 9 месяцев назад
Leo nimewahi jamn na m naomba like ata kumi bas
@AgnesMvumba
@AgnesMvumba 9 месяцев назад
Kp na zebuu ❤ haina tba watching from+254.
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 9 месяцев назад
❤❤❤❤ nawakubali sana watu wangu❤ from Congo 🇨🇩
@LilianWanyonyi-d3k
@LilianWanyonyi-d3k 9 месяцев назад
KP umecheza kiwewe bro zebuuu umepatikana bn much love ❤
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 9 месяцев назад
Mzee qa giza naipenda sana from Nairobi ❤lakin unatuweka sana mwamba kp tunasuburi sana
@SusanRioba-h7v
@SusanRioba-h7v 9 месяцев назад
Love you actors🎉🎉🎉🎉🎉 congratulations 👏👏
@ZaldaM.ramadhani
@ZaldaM.ramadhani 9 месяцев назад
😂😂😂 jaman nyie wallah nimecheka hadi mbavu zinauma 😂😂😂 ❤❤❤🎉
@ElizabethKarisa-r2k
@ElizabethKarisa-r2k 9 месяцев назад
Zebuu wafukuza mumeo na wampenda...😂😂😂😂
@ZenaAthman-q4m
@ZenaAthman-q4m 9 месяцев назад
Mbon bd cjaelew ki2 huy kp amerudish kumbukumb au mbon km ana2enjoy😮😮😮
@metrinewanyama
@metrinewanyama 9 месяцев назад
Hii movie nimengoja kaa dhahabu ❤
@NuruAshery
@NuruAshery 9 месяцев назад
💕 love it🎉
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 9 месяцев назад
Much love from kenya ❤😂😂
@Melinajohn330
@Melinajohn330 9 месяцев назад
Likoma ulikaa ukafikilia move zuri ivi jaman natamani itoke kila siku ingekuwa inawezekan nawapenda wote nawapa mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤
@DIVINAH553
@DIVINAH553 9 месяцев назад
Good job guys I can't wait to see next episode ❤❤❤❤
@nancynasambu997
@nancynasambu997 9 месяцев назад
😂😂😂😂Mzee likoma hadi break zinakataa kushika 😊 ndio ukome
@usterbae
@usterbae 9 месяцев назад
Wakwanza jamani kazi nzuri sana ❤ nawapenda wahusika wote
@HamisaBori-yl8hk
@HamisaBori-yl8hk 9 месяцев назад
Jamani kp kumbe ww ni mtata uka amua kuchukua kila kilichochako yani mpaka zebuu daaisee nimefulahi sana na watakia heri ya krismas jamani very nice❤❤❤.
@KarimElgas
@KarimElgas 8 месяцев назад
Jaman zebuu hongera kwa uigizaj wako kipenzi
@StephenKozgei
@StephenKozgei 9 месяцев назад
Wazeee wawele mumenufurahisha sana❤❤❤❤❤
@DbnSar-o6v
@DbnSar-o6v 9 месяцев назад
Jamani Mzee likoma tunampenda san na kamnyweso kwa mama muuza
@kambale-xl6cu
@kambale-xl6cu 9 месяцев назад
Wa mwisho naombeni laiki hata moja toka congo drc
@Ashaherry-e7f
@Ashaherry-e7f 9 месяцев назад
Congrats wapendwa kazi nzuri Sana mnazidi kunifurahisha jmn duuuh sio pow unyama ni mwingi....Likoma nyumba ni ya zebu ..😂😂😂😂umepigaje apo😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 9 месяцев назад
Nzuri sana jaman sema inachelewa😂
@leylahomari1976
@leylahomari1976 9 месяцев назад
Love is a beautiful thing aiseee❤❤
@salomejames9639
@salomejames9639 9 месяцев назад
😂😂😂kp jamn uyu mzee likoma mbona ananiua mbavu cyo kwa vituko ivyo
@mishiabdu2773
@mishiabdu2773 9 месяцев назад
Lokoma na dibozi mume yatimbaaa😅😅😅😅😅🙌🥰🥰🥰
@Mariam-er8nn
@Mariam-er8nn 9 месяцев назад
Safi sana kp beba Kila kitu chako hata zebuu ni wako pia beba yeye duu nawapenda sana ila mnachelewesha Hadi tunasahau
@Mummywamulumewe
@Mummywamulumewe 9 месяцев назад
Japo nimechelewa ila naombeni na mm like zngu 😂😂😂 likoma ushuzi huo😢😢😢
@InnocentNdayi-cn3vk
@InnocentNdayi-cn3vk 9 месяцев назад
Number one Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@patrickmvera6487
@patrickmvera6487 9 месяцев назад
Epi to epi japo nimechelewa
@bensonkashumba
@bensonkashumba 9 месяцев назад
Nawakubali sana na nawafatilia kwakila kipindi
@zainzain1163
@zainzain1163 9 месяцев назад
Aisee noma sana guys ❤❤❤❤❤❤nawapenda
@themalumbos4214
@themalumbos4214 9 месяцев назад
Napenda sana hii kitu tatinzo mnakawia sana kutowa tupeni vitu tuijoy
@salomejames9639
@salomejames9639 9 месяцев назад
😂😂jamn mzee likoma uwiiiih
@mgdleenknzo9297
@mgdleenknzo9297 9 месяцев назад
Waaaah Mzee likoma ww itwae❤❤❤❤❤❤
@GAUDENCIA009
@GAUDENCIA009 9 месяцев назад
Saf sana kp naaminia mizigo yko 😂😂😂😂😂unajua kupack❤❤❤❤❤
@gaf9874
@gaf9874 9 месяцев назад
love you congratulations 👏👏👏Kp&Zebuu 💓💓💓💓Nawapenda sana ❤❤❤❤👏 💓
@juliahmwaka7184
@juliahmwaka7184 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤ wazee wangu kumekucha😂😂😂
@glorymanga3650
@glorymanga3650 9 месяцев назад
Saf sana ilaaa musitucheleweshe sana had tunasahau mambo mengi😎
@helinasubila987
@helinasubila987 9 месяцев назад
❤😂😂😂 leo tamu eee kp beba kila kitu yako bro usiase😂😂😂😂
@zainabnyanchama8181
@zainabnyanchama8181 9 месяцев назад
Napenda hii movie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nestomangungu8978
@nestomangungu8978 9 месяцев назад
Munatucheleweshea pia move kipande kidogo benzema umeisha wamangushi hii munakawia sana
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml 9 месяцев назад
Hahahahah ,mbona unaagaa sana,,😅😅😅😅😅😅😅😅 ,afu mapenz jaman,mnaigiza kwa uahalisia kweli kweli,
@MwA-ni1uk
@MwA-ni1uk 9 месяцев назад
Bz wapenzi pk siwai kuamgalia move nayo ipenda .lkn niangalie leo🎉🎉🎉🎉
@Mychokuleti46
@Mychokuleti46 9 месяцев назад
Nimekua wa 55 ❤naomba like kwa kuchelew❤❤❤
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 9 месяцев назад
Sawa ntakupa❤🎉🎉❤❤❤❤😊
@zamzamalhanayy5505
@zamzamalhanayy5505 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mbavu zangu 😂😂😂❤❤❤❤
@olphanyaboke6206
@olphanyaboke6206 9 месяцев назад
❤❤❤❤ kp na zebuu mkoa sawa
@cutezyzaa1499
@cutezyzaa1499 9 месяцев назад
Sema kimeuman😂
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 9 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥turikumiss sana
@Johar903
@Johar903 9 месяцев назад
Lini tena mzee wa giza mzee likoma
@NuruWhite-k3i
@NuruWhite-k3i 9 месяцев назад
Yaan kp unanimalzia san mb cjui ndy mmefany kampen ncwe na mb kweny cm yang kwaajil ya vdeo zenu😅 ila all in all much love❤ ❤❤❤🇹🇿🇹🇿
@MamaProsper-q3f
@MamaProsper-q3f 9 месяцев назад
Jaman nawapenda sans zebuu na kp mung awalinde mzeheshane
@danleychacha1077
@danleychacha1077 9 месяцев назад
Good job suraj bro
@allymtalika9839
@allymtalika9839 9 месяцев назад
😂😂😂....mko vzr sn.... natamani niwaulize kuwa mmepigaje hapo......!!
@philohmutua2968
@philohmutua2968 9 месяцев назад
Nyinyi noma sana❤❤❤❤
@GraceKwayu-yo4zf
@GraceKwayu-yo4zf 9 месяцев назад
Waaaa!!! Nimeipenda hiyo
@HussenJuma-y8y
@HussenJuma-y8y 9 месяцев назад
❤❤❤❤ nawapenda jamani kp na zebuu
@demiskemei1739
@demiskemei1739 9 месяцев назад
Sheila mwanangu 💞
@sphiaraymondsophia
@sphiaraymondsophia 9 месяцев назад
jamn vipande vifupi nakupenda wajina xophy
@ZuleikhaMrisho-iw9cy
@ZuleikhaMrisho-iw9cy 9 месяцев назад
Nimecheka kama chizi hakika kp umejua kunifurahisha zebuu pia ni wako chukua ondoka nae😂😂😂😂
@MwanapiliSidi
@MwanapiliSidi 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂Mzee likoma Hana la kusema❤❤❤❤❤
@agnesmasoud950
@agnesmasoud950 9 месяцев назад
Hadi kaachilia mnyambo
@ChristopherBonfils-dk1tx
@ChristopherBonfils-dk1tx 9 месяцев назад
❤❤❤ kazi nzuri san
@nasrahassan2260
@nasrahassan2260 9 месяцев назад
Jamani nimechelewa❤❤❤ila nawapenda
@neemajohn8636
@neemajohn8636 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wewee unaondoka una nauli 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@tetri-numz96
@tetri-numz96 9 месяцев назад
Mwarabu mtupuu 😂😂😂
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg 5 месяцев назад
Yani Dibozi Manuvah pamoja Na Mzee Likoma nyie Na Kamnyweso kenu bhana ni hatari
@كازاكاهيند
@كازاكاهيند 8 месяцев назад
Congratulations kp ❤❤zebuu pia ni mzingo😂😂😂😂
@mlongo1170
@mlongo1170 9 месяцев назад
Nimecheka sana leo❤❤❤❤❤❤
@janetymwakupha4784
@janetymwakupha4784 9 месяцев назад
hongereni sana jaman💯💯🎉🎉🎉👑🤣🤣🤣
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 9 месяцев назад
Waooooo nimewahi jmn🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@zackiakikoti9381
@zackiakikoti9381 9 месяцев назад
Jaman hatar sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@IzkiOamn
@IzkiOamn 9 месяцев назад
😂😂😂umechekesha Sana suraji et ningekuwa mweupe na huu uchebe ningekuwa mwarabu😂😂😂
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 9 месяцев назад
Bebaaaaa mzigooo wakooo mzigoooo wenyew sasa😅😅
@rashidgona1808
@rashidgona1808 9 месяцев назад
Bora nirudi zangu kijijini nikaendelee kukata mkaenzi🤣🤣🤣🤣🤣best naso hii nyimbo aliweza kiukwel
@ShukraniNgimbudzi
@ShukraniNgimbudzi 9 месяцев назад
Daaah patamu hapo Mzee liko
@Mamazgirl099
@Mamazgirl099 9 месяцев назад
Mapenzi nyie 😊❤🎉🎉
@patricktozzo4444
@patricktozzo4444 9 месяцев назад
Aise KP kumbe unafaidi kuna kitu nimeona ulivo mbeba zebuuu😅😅😅
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv 9 месяцев назад
𝙹𝚒𝚗𝚐𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊𝚊𝚊𝚊🤣🤣
@Prettyemmy
@Prettyemmy 9 месяцев назад
Love is a beautiful thing ❤❤❤
@RevinaDaud-fo6mo
@RevinaDaud-fo6mo 9 месяцев назад
Jamani nimeipenda sana ila mbavu zangu
@ZulaikhatNdikumana
@ZulaikhatNdikumana 9 месяцев назад
Mzee likomaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔
@stellamwakyusa7929
@stellamwakyusa7929 9 месяцев назад
Mm nachokaga hapo tuu .nakerekwa sana
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 9 месяцев назад
Zebuu❤❤❤ukiwachilia tu kp naenda nacho😅
@KhadijaKhadija-v9x
@KhadijaKhadija-v9x 9 месяцев назад
❤nawapenda sana jamani 😂😂😂😂..muz likoma kinaumana pole.san likoma and dibozi nyumba niy zébu 😅😅😅😅❤❤❤❤
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt 9 месяцев назад
Nmecheka si kwa mashuzi ayo
@MashatiClassic
@MashatiClassic 9 месяцев назад
Oe likoma vipi babu mbna unachelewa Sana kuachilia mabomu
@TinaRandu
@TinaRandu 9 месяцев назад
Leo moto umewaka🔥🔥🔥
@JoyceHaule-v7t
@JoyceHaule-v7t 9 месяцев назад
Hahaha Mzee Likoma urudi kijijini ukakate mkaa
@IrakozeJuliette-so1iu
@IrakozeJuliette-so1iu 9 месяцев назад
Kazi nzuri sana
@RumbeZainab
@RumbeZainab 9 месяцев назад
Hyu suraji Sasa anapenda vibuno 😂 mtaniua na kicheko
@chadiaofficial
@chadiaofficial 9 месяцев назад
Love from Chadia Official to🇧🇮🇧🇮
@Maryamu255
@Maryamu255 9 месяцев назад
Kicheko kp eti nawwe uko muzigo wangu😂😂😂😂😂
@sarahsamsoni5332
@sarahsamsoni5332 9 месяцев назад
❤❤❤ msiwe mnachelewa jaman kutuma make it's so 🔥🔥
@sylviaomwenga8740
@sylviaomwenga8740 9 месяцев назад
Kp waaa 😅😅😅😅 mzigo tunaenda nayo yote
@fatuma172
@fatuma172 9 месяцев назад
Wakwanza Leo nmewahi ❤❤ you guys
@NancySibiaOnguti-gb9yq
@NancySibiaOnguti-gb9yq 9 месяцев назад
😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mizigo yako yote enda nayo kijijini
Далее
MZEE WA GIZA_EP26
15:21
Просмотров 177 тыс.
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 1,1 млн
Kp & Zebuu | All 2023 Clips In One | Volume 01
1:59:38
Просмотров 263 тыс.
MZEE WA GIZA_EP27
20:31
Просмотров 178 тыс.
DUNIA (EP 08)
16:41
Просмотров 103 тыс.
PENZI LA JINI MALAYA MWENYE UTAJIRI
11:46
Просмотров 669 тыс.
MZEE WA GIZA_EP28
20:24
Просмотров 173 тыс.
MR MONEY_EP14
22:00
Просмотров 113 тыс.
MZEE WA GIZA_EP24
15:07
Просмотров 156 тыс.
MZEE WA GIZA _EP32
20:01
Просмотров 327 тыс.
BENZEMA FULL MOVIE   KP NA ZEBUU
3:20:38
Просмотров 266 тыс.