Тёмный

MZEE WA GIZA _Ep31 

LIKOMA
Подписаться 121 тыс.
Просмотров 175 тыс.
50% 1

#mzeelikoma #mzeewagiza #kpnazebuu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 518   
@sadiasalmasadiasalma412
@sadiasalmasadiasalma412 8 месяцев назад
Mimi Leo aki like 200. Kenya and 🇰🇪🇹🇷
@BarakaBrayson-r3g
@BarakaBrayson-r3g 8 месяцев назад
Tunao muonea huruma Suraj anavyopigwa gong like😢😢😢
@mariamanzazi2696
@mariamanzazi2696 8 месяцев назад
Mzee likoma na dibos chenye mnamfanyia surji mungu anawaona
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 8 месяцев назад
Yaani watamuua
@NancyKabibi-ip6gb
@NancyKabibi-ip6gb 8 месяцев назад
Wenye mlikua mnatamani Zebuu ajue ukweli kuhusu mimba ya Norah..gonga like hapa.
@Jacklinenakhumichabarasa
@Jacklinenakhumichabarasa 8 месяцев назад
Kama mimi😂😂😂🎉❤
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 8 месяцев назад
Ata mm nliingoja kwa ghamu ii cku ili Kp & Zebuu wajue ukweli wa mimba ya nani🎉🎉😂😂
@abdulyngombo
@abdulyngombo 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@Valentinealuvanze-pz3xh
@Valentinealuvanze-pz3xh 8 месяцев назад
😂😂😂kama Mimi hapa
@Valentinealuvanze-pz3xh
@Valentinealuvanze-pz3xh 8 месяцев назад
Baada ya suruji kupokea izo pan zote 😂 mwishowe ametoboa siri😂😂😂zebuu na kp sawa mwaweza kuisho na amani❤❤❤
@RegyzillaForna
@RegyzillaForna 8 месяцев назад
Sheila unajua mbaka basii KAZI nzuri sana
@RuthNyatuka-qe3kd
@RuthNyatuka-qe3kd 8 месяцев назад
Mm wa kwanza huku mnipe like Ata mia❤❤❤
@MWAJUMAKHERI-jt4qj
@MWAJUMAKHERI-jt4qj 8 месяцев назад
Duh! Hawo watoto wa Suraj wakizaliwa watakua wanariadha maana sio Kwa kukimbia huko
@RukiaAmani
@RukiaAmani 8 месяцев назад
Nimekua wamwisho lakini naomba like zangu😢😢
@shaurikadiri8128
@shaurikadiri8128 8 месяцев назад
Yn sikuwa na time na movies but tokea bint nyoka, wamangush, benzema, mzeee wa Giza pamoja na baba lao last card aki navutika kwl sai naona utamu wa smart phone na MBs yn mwanipa raha wanangu nawapenda nyoooote wallah 🥰🥰🥰
@raisadaudi-h3r
@raisadaudi-h3r 8 месяцев назад
😂😂😂😂Kama Mimi tu
@shaurikadiri8128
@shaurikadiri8128 8 месяцев назад
🤜🤛
@xvany_tz2837
@xvany_tz2837 8 месяцев назад
🔥🙏
@hassanihalifa7463
@hassanihalifa7463 6 месяцев назад
Hii kazi ikopoa Sana naicheki nikiwa lushoto Kama unaikubali lushoto gonga like
@Mummywamulumewe
@Mummywamulumewe 8 месяцев назад
Wooow 🎉🎉🎉🎉😂😂😂 na mm Leo jmni nipeni like zngu 😂😂😂 ❤❤❤❤❤
@YeremiaRobison
@YeremiaRobison 8 месяцев назад
Dakika ya nne comment ya 64 naitazama mzee wa Giza kutoka mkoani Wale wa mikoani tujuane🎉🎉🎉
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 8 месяцев назад
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂❤❤❤
@Layveraa22
@Layveraa22 8 месяцев назад
Wow napenda penye zebuu amejua mimba sio ya kp waiting for next episode please
@lydiawaweru6391
@lydiawaweru6391 8 месяцев назад
Much love guys KP n zebuu Mzee likoma mchawi dibos pongezi sna guys ❤❤❤❤❤
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le 8 месяцев назад
Wow nice job guys nawapenda sana am watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@ZoazinaJohn
@ZoazinaJohn 8 месяцев назад
😂😅🎉🎉😂❤🎉🎉🎉🎉 kweli kimeumana.... Haya bhanaaaa. Mi nipo zangu huku huku TMK-DAR YOMBO KILAKALA POLICE POST ✍️😍🥰
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 8 месяцев назад
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@YasiniAlly-bf6uo
@YasiniAlly-bf6uo 4 месяца назад
Dada zeb Kaz nzuri upo vizuri kwakweriii
@YasiniAlly-bf6uo
@YasiniAlly-bf6uo 4 месяца назад
Jaman Mzee wa Giza na mwenzio kipigo hicho kinazidi mhh
@khadija2113
@khadija2113 8 месяцев назад
😍😍😍😍Kp zebuu ASANTENI SANA NAWAPENDA NAWAPENDA
@SalomeYohana-mj8jb
@SalomeYohana-mj8jb 8 месяцев назад
Nawapend sanaa jaman mnajuwaaa kutufurahisha ❤❤
@ashurajuma2024
@ashurajuma2024 8 месяцев назад
😂😂😂😂sheyla bwana anakaa na umbea siku tatu😂😂😂
@Jali-et8py
@Jali-et8py 8 месяцев назад
Wow ,much love from Uganda Watching from Saudi Arabia 🇸🇦
@fatmamody9146
@fatmamody9146 8 месяцев назад
Riyadh 🇸🇦
@user-ju9mi1ft4v
@user-ju9mi1ft4v 8 месяцев назад
Shagala from saudia😂
@fatmamody9146
@fatmamody9146 8 месяцев назад
@@user-ju9mi1ft4v Eebana wee kp na zebuu ndio hutuchangamsha na kutupinguzia uchovu na mawazo
@Jali-et8py
@Jali-et8py 8 месяцев назад
@fatmamody9146 wow ,me Dammam
@Jali-et8py
@Jali-et8py 8 месяцев назад
@@user-ju9mi1ft4v 🤣🤣🤣kabisa
@GodwinMgongo-xi2bm
@GodwinMgongo-xi2bm 8 месяцев назад
Wakwanza Leo nipeni like zangu
@everlynlyn7863
@everlynlyn7863 8 месяцев назад
Mzee likoma umejisiaje na ww ulipopewa frypan moja kwa uso😂😂😂😂😂😂😂😂nawapenda team yangu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@benezethkapongwa453
@benezethkapongwa453 8 месяцев назад
Dak 9:59 Mzee Likoma kaanguka na Yebo likadondoka pembeni..lakini Dak 10:24 anaonekana bado kalala chini na amevaa Yebo lake....hapo mmefeli. Kuweni waangalifu...
@shaurikadiri8128
@shaurikadiri8128 8 месяцев назад
😂😂😂😂 Sheila atazaa mkimbiaji hodari aki yn n yeye na mbio tuuu nakumbuka alifukuzana na baba mtoto SURAJ Leo nayo mbio tena na noraa duuuh atazaa mtoto kisunzi Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sabrinayussuf8645
@sabrinayussuf8645 8 месяцев назад
❤❤
@FrolaMoses
@FrolaMoses 8 месяцев назад
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sheishei🤣🤣🤣🤣❤
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 8 месяцев назад
Kazi nzur ila mnatusubilisha sana nanyie
@Irine-n4c
@Irine-n4c 8 месяцев назад
Wow guys much love from Mombasa Kenya
@ridhaashauri
@ridhaashauri 8 месяцев назад
Mzee likomawajua kunichekesha paka jino la mwisho eti ulichezeauzee wangu uwiiii nakupenda bure mzee wangu big up❤❤❤ from 🇰🇪
@estaphone
@estaphone 8 месяцев назад
😂😂😂wazee sema kimeumana,hehe struggling for nothing,safi kabisa
@ANNAKilale
@ANNAKilale 8 месяцев назад
Nimecheka Leo mpaka basi yaani Mzee likoma kapigwa flampen Moja chaliiiiiiiiiii mpaka alkili imemkaa sawa
@Cyriaque-hf2kt
@Cyriaque-hf2kt 8 месяцев назад
Bola zebuu kujua ukweli kuhusu hiyo mimba ya Nolla much love from Bujumbura
@Cyriaque-hf2kt
@Cyriaque-hf2kt 8 месяцев назад
❤❤
@stephenombachi2020
@stephenombachi2020 8 месяцев назад
So much love🎉🎉🎉
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 8 месяцев назад
Nimefurai sana leo kwa kua zebuu na kp mmejua ukweli ❤❤❤❤❤
@Shallet01
@Shallet01 8 месяцев назад
Yaani likoma dahh,,unanibamba na jinsi kanaongea,,,naye dibozi na miuno😂😂😂dah nawapenda tu sanaaa❤❤❤❤❤
@AmosMbiko-oi2iu
@AmosMbiko-oi2iu 8 месяцев назад
Waoooo kp na zebuu napenda hafadhali zebuu amejua ukweli 😅😅😅😅😅😅
@rizikikivumbi6499
@rizikikivumbi6499 8 месяцев назад
Jamani suraj pole unapigwa hadi kichwa kitafura pole sana mpenzi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ridhaashauri
@ridhaashauri 8 месяцев назад
Hi kp you are my favourite actor nafurahi kukupata ww umerithi nafasi ya Kanumba
@JosephSkybdi
@JosephSkybdi 8 месяцев назад
nice xana sulage usiondoke billa nora wako halafu kep&zebu fukuzeni hao wazee ili muishi kwa aman
@KhadijaTagalalakasonta
@KhadijaTagalalakasonta 8 месяцев назад
😅😂😂😅😅😂Sheila mbio zote kufata manukato
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 8 месяцев назад
Nakubali San tem KP 🎉🎉🎉🎉
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 8 месяцев назад
🎉❤ maua yenu jamani much lovooo from kenya
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 8 месяцев назад
Mzee Likoma uwe na huruma jameni..unavyomgonga Suraj akiwewe😢😢
@YEGOMedia76
@YEGOMedia76 8 месяцев назад
😂😂 watching all the way from Kenya 🇰🇪 naomba likes jamani
@SurprisedGreyCat-sf9jv
@SurprisedGreyCat-sf9jv 8 месяцев назад
Dah mzee likoma punguza hicho kipigo utamharibu akili suraj jaman ubongo utachanganyikana na dam
@OmOmabs
@OmOmabs 8 месяцев назад
Jamani sio kwamifulampen iyo m😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavuzang
@BraytonHamis
@BraytonHamis 4 месяца назад
Soo kwakupigwa huko atafika amechoka,🤣🤣😂😂😂😂😂😂duuu
@MwajumaJuma-x6f
@MwajumaJuma-x6f 3 месяца назад
Jamn zebuh kazi nzur unajuh mpaka unajuh tena
@gaf9874
@gaf9874 8 месяцев назад
Wooooow kazi zenu nizuri sana mungu atakusadiya Ishallah 🤲kupambana Utafika bali sana Kp&Zebuu all groups 🙏 Nawapenda sana ❤❤❤❤
@ZenaAbbas-q1b
@ZenaAbbas-q1b 8 месяцев назад
Waooooo jamani nimefurahiiii
@Uwamahoro-fefe.15
@Uwamahoro-fefe.15 8 месяцев назад
Hongereni kwa kazi nzuri,yani suraj Kala kichapo chakutosha 😂😂😂
@KhadijaKhadija-v9x
@KhadijaKhadija-v9x 8 месяцев назад
Maajabu kinaumana mutatimuriwa nyie wote muzee likoma.dibosi n'a nola ❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@Lailaty973
@Lailaty973 8 месяцев назад
❤❤❤leo mmempa aman kipenz changu zebu❤❤❤❤❤
@Zulpher-d1x
@Zulpher-d1x 8 месяцев назад
Ukweli utabaki kuwa ukweli mzee dibozi kubali kuwa mkwe wko n suraji sio kp .
@mulaamutua3400
@mulaamutua3400 8 месяцев назад
Halo SAWA team kp SEMA kimeumana zebuu atajua ukweli wa mabo
@clintoneijeji1054
@clintoneijeji1054 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤kazi nzuri sana
@MwanakomboNdikira
@MwanakomboNdikira 8 месяцев назад
Pole Sana suraj Maan umeumizwa, Ila nimefurah zebuu kujua ukweli.. Na hatimae kp ako huruu🎉hoyeeee
@zawadichengokatana4750
@zawadichengokatana4750 8 месяцев назад
Nawapenda sn much from me ❤❤❤❤❤❤❤
@dollar105
@dollar105 8 месяцев назад
Mzee likoma moto sana🎉🎉🎉😂
@JaphethTumbu-ff3kn
@JaphethTumbu-ff3kn 8 месяцев назад
Mzee wa giza nakupenda mnatisha😂😂😂
@isaiebizimana8935
@isaiebizimana8935 8 месяцев назад
2much love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@EdinaShaban
@EdinaShaban 8 месяцев назад
kivumbi leo
@apaililiaakyoo9795
@apaililiaakyoo9795 8 месяцев назад
Suraji pole, maana hizo frampen unastahili kulazwa.
@jovithatibatekeleza6598
@jovithatibatekeleza6598 8 месяцев назад
Hawa wajawazito Nora na Sheli wanafanya mazoezi ya kukimbia😂😂😂😂😂
@AzizaShaban-hf1lu
@AzizaShaban-hf1lu 8 месяцев назад
😅😅😅😅
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 8 месяцев назад
ila Norah ni mschana mmoja mzuriii sana,❤ wenye macho tumeona
@ruthnasambummmuchongorimuc6386
@ruthnasambummmuchongorimuc6386 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 so much love I am from Kenya 🇰🇪 😂😂😂😂😂
@FarajaMchome-md5ux
@FarajaMchome-md5ux 8 месяцев назад
Kwanza hiyo frampen alopigwa likoma na suraji nimecheka sana 😁🤣😂
@aminambwaga5417
@aminambwaga5417 8 месяцев назад
Kimeumana Sasa haya wazee
@AdmiringCheetah-jm1tt
@AdmiringCheetah-jm1tt 8 месяцев назад
wakwanza jaman naomben like
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂kutoka hii movie ianze sijawahi kucheka sana lalini hii ep imeniumiza mbavu.I like 👍 👌 nawapenda nyote 😊😊😊😊😊😊
@jehoshaphatkapesa6882
@jehoshaphatkapesa6882 4 месяца назад
Jamani surraj fulampen zitakuua
@AminaomarAminaomar-c4k
@AminaomarAminaomar-c4k 8 месяцев назад
Kumbe sijachelewa much love from 🇰🇪
@rithafanuel3970
@rithafanuel3970 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kifala sanaa😂😂😂😂😂😂😂
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 8 месяцев назад
Mzee likoma anajifanya kuzima akidhan atapata msaada mbele ya sheila, huku sulaji nae anakipata cha moto😂😂😂
@aishasidi6673
@aishasidi6673 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂 jmn mwanivunja mbavu mzee likoma na bintie sheilla nawapnda bure❤❤❤❤❤
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 8 месяцев назад
Suraj watakuua hao wazee dah sio kwa vyuma hivo
@MarieGraceNishimwe-oe3fr
@MarieGraceNishimwe-oe3fr 8 месяцев назад
Yeeeeeeeee ya leo niya leo jamn🎉🤣🤣❤️
@rashidgona1808
@rashidgona1808 8 месяцев назад
Mzee likoma ananiuwa kwa kicheko jaman kwa kumpiga Suraj 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stevenmkude7904
@stevenmkude7904 8 месяцев назад
Mzee wakiza unamaliza mb zangu
@ishladyishlady7897
@ishladyishlady7897 8 месяцев назад
Hatimae ukweli umejitokeza thezea limbwata weyee😂😂😂😂😂
@RobertMaduhu-e4u
@RobertMaduhu-e4u 8 месяцев назад
Wa kwanz jamn tafathali naomba ❤❤❤❤
@Amina-Rshd
@Amina-Rshd 8 месяцев назад
Yan nko n furahaa😂😂😂😂 km mpenzi wangu zebuu nawpenda san n nawoch nkiwa Jeddah Saidia🇸🇦🇰🇪
@kinyuakitaka2408
@kinyuakitaka2408 8 месяцев назад
Pole Mzee likoma
@AmosMbiko-oi2iu
@AmosMbiko-oi2iu 8 месяцев назад
Bona Bado hio next twangoya sanaa
@shahrayn93
@shahrayn93 8 месяцев назад
Yni nimecheka adi bac mwanzo mwisho waaah sema kimeumana😂😂😂
@Leni-k8t
@Leni-k8t 8 месяцев назад
Kimeumana ❤
@RajabuRajabukakuru-mq9ff
@RajabuRajabukakuru-mq9ff 8 месяцев назад
Atamimi naona❤
@فطومفاطمه-ش2و
@فطومفاطمه-ش2و 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂 Mzee Likoma.na Mzee Dibozi Mungu anawaona sio kwa kusulubu Suraj wa wenyewe ivo😂😂😂
@moreenmukami8475
@moreenmukami8475 8 месяцев назад
😂😂😂
@SethNiyoyishura-qr8et
@SethNiyoyishura-qr8et 8 месяцев назад
Nimependa sana filamu zenu
@NancySibiaOnguti-gb9yq
@NancySibiaOnguti-gb9yq 8 месяцев назад
Wow, leo ukweli umejulikana 😂hta kama suraji ako roho ya paka akufi ng'o😂😂, zebuu watimue mbio hakuna kulala huku kwa mansion leo😂😂😂😂. Much love from Kenya .
@MomadeMomade-bs2jl
@MomadeMomade-bs2jl 2 месяца назад
I like you likoma yani unachekesha
@kazunguu49
@kazunguu49 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mzee likomaa eti leo baba huna bahatii
@PapaaMlamii-cm6lh
@PapaaMlamii-cm6lh 8 месяцев назад
😅😅Sheila we ninoma, eti nimefurahi harufu yako
@madazee4251
@madazee4251 8 месяцев назад
Maskini suraji😂😂kichw hakikuumi maan hizo pun za kichwa 😂😂😂nawapenda bure
@fatmahmuhamad7301
@fatmahmuhamad7301 8 месяцев назад
Nawapenda nyote ila mzee lukoma wewe ni mwisho ❤❤❤
@neemajohn8636
@neemajohn8636 8 месяцев назад
Ety Leo baba huna bahati ila @likoma weeeeeeeeeeeeeeh 🙌🙌🙌🙌
Далее
MZEE WA GIZA _EP32
20:01
Просмотров 327 тыс.
MR MONEY_EP14
22:00
Просмотров 113 тыс.
MZEE WA GIZA_EP33
26:28
Просмотров 272 тыс.
Mzee Majuto Lakuvunda Part Two (Cinema  YA Mwisho)
1:01:52
DUNIA (EP 08)
16:41
Просмотров 103 тыс.
MZEE WA GIZA_EP14
18:54
Просмотров 183 тыс.
MZEE WA GIZA_Ep34(FINAL EPSODE)
27:49
Просмотров 245 тыс.
Kp & Zebuu | All 2023 Clips In One | Volume 01
1:59:38
Просмотров 263 тыс.
BENZEMA FULL MOVIE   KP NA ZEBUU
3:20:38
Просмотров 266 тыс.