Тёмный

Mziki wa dansi zilipendwa -Kasheba na OSS- Mpenzi Saleh 

Eddie Nassor
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@wilsonmalias3122
@wilsonmalias3122 10 месяцев назад
This song reminds me when i got my first llove letter from my first lover Rehema (RIP)
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 10 лет назад
OHHHHHH! sikia sasa mtungaji wa muimbo,KALALA MBWEMBWE. WA IMBAJI: KABABA NKOMBA GABY; MOLAY :MOBALI: OH VIZURI SANA safari sound MILELE:HIHI NJO MUZIKI WA KWETU SNS TENA LAKUSEMA TULIA CHEZA:
@sunriseradiotz
@sunriseradiotz 4 года назад
hahahaaaaaaaaaaaaa..........balaaaaaa
@dorahmalangokings8499
@dorahmalangokings8499 3 года назад
Sijawahi kuuchoka wala sitauchoka naupenda toka enzi za utoto wangu mpaka leo unanikumbusha mbali mnooooooo
@AnthonyKisondella
@AnthonyKisondella 10 лет назад
Eddie big up for his post once again, Inanikumbusha enzi hizo wakti ushindani wa kimuziki ulikuwa chachu ya maendeleao ya kimziki, Kabeya Badu, Chibanda Sony, Kalala Mbwembwe kwenye vocal, gita la Maestro Ndala Kasheba - it was superb!
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 лет назад
Sikiliza ngoma ya wakubwa.best of wana ndekule.kaka maktaba yako yatisha.big thanks one more time
@suleimanjabir827
@suleimanjabir827 8 лет назад
Eddie Nassor, I salute you...! Be Blessed bro!
@bensonmerooficial
@bensonmerooficial 9 месяцев назад
Kali za longtime, ❤
@masoudkivalle9594
@masoudkivalle9594 4 года назад
Hata kutikisa kichwa Ilitosha kuona,,,,unafurahia asante kaka Eddie Nasoro
@eddienassor480
@eddienassor480 8 лет назад
Aziza upo hewani tayari!
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 2 года назад
😭😭😭😭
@mkambangwa
@mkambangwa 10 лет назад
Nakukubali asilimia 100...Ahsante sana bwana Nassor..Umenikumbusha mbaaaali sana
@eddienassor480
@eddienassor480 10 лет назад
Karibu tena Kambangwa-burudika ndugu
@jumampeli281
@jumampeli281 8 лет назад
Asante sana kaka kwa kweli tunajikumbusha mengi sana...miziki hii haichuji.
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 7 лет назад
Nam!
@isaacmhone126
@isaacmhone126 3 года назад
Old is gold always
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 лет назад
yes man, mpenzi salahe anuani yako kwa herufi kubwa, dukuduku ehee
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 8 лет назад
Safi sana
@noelaraymond6510
@noelaraymond6510 6 лет назад
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana sana!
@masoudmganga4086
@masoudmganga4086 10 лет назад
Asante sana sana Eddie
@eddienassor480
@eddienassor480 10 лет назад
Karibu tena Masoud.Burudika ndugu
@ismailfundikira6357
@ismailfundikira6357 9 лет назад
Asante Eddie huna nyama ya nyani? Utunzi wa Kalala Mbwembwe?
@josephinejoseph7358
@josephinejoseph7358 8 лет назад
Eddie tutafutie " Aziza" mtindo huohuo wa dukuduku
@asrams
@asrams 10 лет назад
eddie unao "ziada" IOSS mtunzi wake ni Marehem Kabeya Badu, "umekwama" Marquiz, "mwaka wa watoto" IOSS masantula, na mwimbo mmoja wa Msondo nimesahau jina ila moja ya lyrics zake ni "yoyote usemayo, wao wanacheka nakukuona bure tena hayawani, hata lenye maana watadharau na kupuuza"
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 9 лет назад
NAKUMBUKA! mi solo SAMBA WA SAMBA ALIKUWA MDOGO WA KIKI! NA MONGA MPIGA MARUFU YA RYTHME:
@ismailfundikira6357
@ismailfundikira6357 9 лет назад
Nkomba nakumbuka sana pale stereo bar kinondoni Singa wa Singa na Bass Kawelee second solo Otrish Rythym
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 8 лет назад
+Ismail Fundikira AKSANTI SANA!!!!
@huyuhatahaonindanikwatulia6931
@huyuhatahaonindanikwatulia6931 3 года назад
Kwa nini ule wimbo nyama ya nyani haukurekodiwa
@brownee20007
@brownee20007 10 лет назад
Ta!
@omarmussa488
@omarmussa488 8 лет назад
Enzi hizo kama kungekuwa na simu za mkononi Kama wakati huu sijui ingekuwaje kati ya Saleh na huyo mpenzi wake!?
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 7 лет назад
Eti bwana magumu hiyo!
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 лет назад
Sikiliza ngoma ya wakubwa.best of wana ndekule.kaka maktaba yako yatisha.big thanks one more time
@eddienassor480
@eddienassor480 10 лет назад
erick,hapo ndekule bado haijazaliwa.Hao ni Dukuduku.Unakumbuka chunusi madoido??
Далее
Мама знает где все документы
00:21
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 421 тыс.
Мама знает где все документы
00:21