Тёмный

MZIMU SEHEMU YA KWANZA (T.M.G) 

BULUMBA TV
Подписаться 1,7 тыс.
Просмотров 677
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@BENOIT6-uq9ls
@BENOIT6-uq9ls 4 месяца назад
nyumbani kwetu nahona kazi inahanza kuwa sawa kabisa tupo nyuma yenu kwa sapoti
@nyangeshaurilungwe3974
@nyangeshaurilungwe3974 4 месяца назад
Nyumbani ni nyumbani ❤️ila mke wangu jo muna mchezesha apo pili oyee 🥲🤣🤣
@DavidSakala-bl2ut
@DavidSakala-bl2ut 4 месяца назад
Nyumbani kwetu nawafatiliya sana nikiwa Malawi kuwa sasa
@PROFMIRROROfficial
@PROFMIRROROfficial 4 месяца назад
Kazi nzuri sana Ndugu zangu Ila ingependeza zaidi tukiwa Na Swahili Moja Tu. Kati ya SWAHILI Yetu Ya Congo Na Ya Tanzania Tuchaguwe Moja Ambayo itakayo Kuwa Raisi Kwenye Vinywa Vyetu, Ila Kiufupi Mumepiga Atuwa Nzuri
@BulumbaTV
@BulumbaTV 4 месяца назад
Poa sana Mirror
@LazardAnzurunijohn
@LazardAnzurunijohn 4 месяца назад
Nyumbani kazi ni nzuri kabisa hendeleheni Na kazi zenu asante
@papykatoziking2395
@papykatoziking2395 4 месяца назад
Home is Home so tutasapotiyana
@JohnEshikone
@JohnEshikone 4 месяца назад
Kweli kazi hipo , Nyumbani kwanza 💝💝💝
@TresorRashidi-zg3vv
@TresorRashidi-zg3vv 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤ kazi iko pw sana
@pierrotmushakaruniga
@pierrotmushakaruniga 4 месяца назад
Courage ba masta Pierrot care
@PronigaAlly
@PronigaAlly 4 месяца назад
Hongera sana kwa kazi
@EssyEspoirkahinda
@EssyEspoirkahinda 4 месяца назад
Tupo nyuma yenu Kazi nzur san
@OfficialRamb
@OfficialRamb 4 месяца назад
Ongereni sana kwa juhudi ihi Kingine Hatakama sehemu zina tofautisha Lakini mtu wa kayogoro kule kumilima na mtu wa mjini awawezi kufanana
@DaxBoy-fh9nx
@DaxBoy-fh9nx 4 месяца назад
Richard Kenya plage🇨🇩🇲🇼👏
@FORCEBUSINESS-r3s
@FORCEBUSINESS-r3s 3 месяца назад
Kazi ni kazi
@binheritieralamandataraja
@binheritieralamandataraja 4 месяца назад
❤❤❤❤❤tuta wasapoti sana❤❤❤❤❤tuna penda kazi hii. Mungu wangu acha niwa pongezeee saaaaaaaanaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 He wanawake❤❤❤ hutuuliza ahuna mwengine mwana mke una pendana❤❤❤❤ naye. Jibu sasa ni nani ambaye ana enda kununua nguo sokoni na yuko uchi😅😅😅😅😅😅😅 Na'wa na raha kweli. 😂😂😂😂😂
@bigbromachinecostaud.1
@bigbromachinecostaud.1 3 месяца назад
Kazi sasa home
@albasalum7130
@albasalum7130 4 месяца назад
Courage d'avance Nyumbani kwanza kuna picha za huyu kijana Saidi ya zamani ilihenda kwajina la dorcas VIP nitapata Kwa Jia gani kitambo Sana hapa hivi musikati tena kazi nzuri Kweli vipaji vipo nyingi Sana ila wa Sposor ndo akuna
@homeboy254
@homeboy254 4 месяца назад
Good
@binheritieralamandataraja
@binheritieralamandataraja 4 месяца назад
Mama ❤❤❤yetu acha mtoto amekwisha penda❤❤ 😅😅
@SadikiKisubi
@SadikiKisubi 2 месяца назад
🎉🎉🎉
@theopistemalembemlongeca3207
@theopistemalembemlongeca3207 3 месяца назад
Ongereni kwa kazi hii.
@BulumbaTV
@BulumbaTV 3 месяца назад
Merci
@SefiPondamali
@SefiPondamali 2 месяца назад
Izi épisode zilishakua adi kunamba gapi
@BulumbaTV
@BulumbaTV 2 месяца назад
@@SefiPondamali Kaka izo ziko 7
@KigunguIsrael
@KigunguIsrael 3 месяца назад
Pongezi sana kwa hatuwa hii, japo kuwa kuna madogomadogo yakukosowa nayo nikawaida kwakuwa mwanzo wote ni ivyo, nikikazia maneno ya profmirror kutumiya lugha za kwetu ni bora zaidi kuliko kuiga kiswaili cha kitanzania ambacho inaweza kuwa chanzo ya sisi kuhata hata mu misemwa, istoshe ki faransa kiwe kidogo kwakuwa lengo nikuinuwa asili yetu na lugha zetu... Tena pongezi zaidi na Mungu awabariki ili mufinge mbali zaidi, psy. Kudra
@BulumbaTV
@BulumbaTV 3 месяца назад
Merci
@KiloKilo-kn1my
@KiloKilo-kn1my 4 месяца назад
Tuna taka mukuwe muna leta picha kama hizi tafathali tuone nyumbani
@BulumbaTV
@BulumbaTV 4 месяца назад
Poa sana kaka
Далее
MZIMU SEHEMU YA PILI (T.M.G)
20:56
Просмотров 532
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,9 млн
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,8 млн
MZIMU SEHEMU YA TATU (T.M.G)
21:06
Просмотров 338
MZIMU SEHEMU YA INE (4) T.M.G
20:54
Просмотров 250
MZIMU SEHEMU YA TANO (T.M.G)
19:42
Просмотров 417
BULUMBA TV  . MAZISHI YA MWAMI SIMBI
1:27:29
Просмотров 852
MZIMU SEHEMU YA SITA (6) T.M.G
17:51
Просмотров 353
BONGWA SEHEMU YA 4
24:32
Просмотров 561
BULUMBA TV . MAZISHI YA MWAMI SIMBI
19:40
Просмотров 437
BONGWA SEHEMU YA 3
25:16
Просмотров 586
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,9 млн