Shekhe mziwanda ebu nakuomba kwa taadhima kubwa ebu mjibu masuala alokuuliz uyu kijana slomaliza thanawi tena mjibu kwa insafu hata hapo hapo barazani silazima mukutune mtu mbili kwan ss tunapata faidakubwa kupitia hizi nikash tunamuomba ALLAH atuongoze ktk njia ya sawa amin
Hilo la التوحيد ينقسم إلى ثلاثة أقسام،siyo kauli ya Maulamaa wa Kisunnah tu, katafutevvutaby vya Al Azhar, Qbla yenu ya Ilmu, utakuta wamegawanya Tawhid ثلاثة أقسام lakini siyo hivi tuzisomazo sisi watubwa Sunnah
Hatoi ushahidi unaokinaisha bali ufundi wa maneno tu, aaah ...Kama ni dini, wameiona wao tu Mtume na Maswahaba hawakuijua? Kisa cha Hubayb Ibn Adiy, tukio lile lilikuja baaada ya kauli ya Mtume من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد؟؟؟؟
Hata mtume alikuja kuonya t na kutoa habar njema ,hayo utayofanya ni kwa utashi wak t humkomoi mtu kila mmoja atalipwa alichokifanya juu yetu kukumbushana tu.
Shekh Mziwanda Allah atuongoze sote na wewe hiyo hadithi haina kinyume lolote lililozushwa hilo halimo katika dini .hivyo ni upotevu km kusherehekea maulidi
Qaida aliyo kuja nayo shekh mziwanda inavunja na kubadikisha kaifiya ya ibada nyingi sio tunaangalia maulidi Tu huo Ndo uhalisia Allah atuongoze KTk haqqi
Masalafi ni makafiri msiojijua... yote mazuri yaliyozungumzwa haukuyaona, umeona hapo tu, hata kama hakuna kosa walazimisha kutia kosa. Hamna adabu kama mitoto iliyozaliwa gesti pumbavu zenu.
Adabu yako wewe usiye salafiyun ni ipi hapo kutoa matusi. Sheikh Mziwanda kasimama kutetea na kufafanua sehemu yenye mzozo. Namsifu Kwa busara na ulimi aliotumia ila bado mzozo hajaufumbua. Masheikh watamjibu.@@rayisadesigns2646
Ikiwa ndio kwawasionailmu kujitoa kwenye utata nikutochangia Wala kwendamaulidini asili mikusanyiko yamaulidi haikuwepo lakini kumswalia kumuazwimisha kumpenda kulikuwepo Baki kwenye asili.
Wakasome ili muwapoteze wafuasi wote Uliyoyasema yote sio ibada Mziwanda na unajua hilo na unajua ukifanyacho unapotosha Bidaa ni katika Ibada Mziwanda
Endeleeni tu kuwafundisha vijana kuimba na kupiga madufu wasisome ili muendelee kuwdanganya wafundisheni vijana sauti mbali mbali za kuimba kaswida alafu matokeo yake mtakujayaona Leo vijana wote wa kisufi ni nyimbo mtindo mmoja hawajui chochote katika dini Watazameni masalafi ni kitabu tu hakun dufu nyimbo maulid biriani pilau na hauli
Nikuulize swali moja tu . Hivi unataka kuwaaminisha watu kuwa maswahaba walishindwa kukusanyika na kufanya mfano wa vile mnavyofanya nyinyi kukaitwa huko ndiko kumswalia Mtume swala na salamu ziwe juu yake !? Shekh Mziwanda una moja ya mambo 2 ima hujui maana ya uzushi ni nini tukufatanulie au umeamua kutetea msimamo wako kwa kufuata matamanio ya nafsi yako Wallahulmusta'an
Hata aibu Mziwanda huoni sasa subiri utawekwa sawa Bidaa ktk dini hasa Ibada wacha kupotosha umma? Digrii ni ibadaaa? Shahada ni ibada? Kundesha gari ni ibada? Kutumia spika miskitini ni ibada?
Mimi kwa nilivyo msikiliza sheikh anajuwa kuwa maulidi ni bidaah ila yupo kwenye mfumo Na kueoneka aunge 2 mkono Ila ukweli ni kwamba maulidi sio katka dini ni uzushi ila watu wanatafuta maneno meengi ila kinahau
@@mwanakheri2880 Hawa watu wanajiongelea tu ila uzito wanayoyaongea sijui kama wanaujua.. Atakuwa radhi kweli huku kuna maulidi kule kuna uzinifu ndugu yake wa kike achague kuziniwa ila maulidi asiende
Yani ndio sheikh huyu na watu wanamtegemea anatoa shubha dhaifu namna hii! Ibn masuud alipowakataza watu waliokusanyika mckitin wakawa wanafanya adhkar kwa pamoja ktk vikundi alikua hajui mafhumu al mukhalafah ya 'maa laisa minhu'!? Halafu masufi mbona huwa hamurejei kwenye vitabu vya wanazuoni kuonyesha ufahamu wenu ktk nususi unaendana sawa na wao. Kama mtume na maswahaba zake walifunga ktk cku ya kuzaliwa kwake kwani nyinyi munashindwa nn kufunga au nyie munaijua kheri zaidi ya mtume na maswahaba zake. Mcheni Allah enyi ndugu zangu waislamu hii dunia ni mapito madogo sana jueni hilo.
Na wewe unaxemaj tuhh kuhuxu Hy hadithi kwa kuxikia ikixomwa kua aliwafukuza nend kaangalua nn wamesema Wana wazuon kuhux hy hadithi .....anz n imamu suyutw xuo kuongea tuhh
Sheikh Mziwanda tunakupenda, lakini kwenye suala la Maulid hapo sheikh utatumia nguvu nyingi sana. Bado hujatoa hoja kabisaaa. Maulidi ni bidaa na hapo huna hoja
Wewe mpaka Qiyaama hauta kubali mowlid. Sababu umechukuwa mgawanyiko wa towheedi. Ambaye jina ya mtume katolewa. Kwahio wewe hauna imani ya kuwa mtume ni mtume wa mwenyezimungu. Sasa utakubali aaje.
@@abdikadirshariif5311Wacha kumuwekea mtu maneno mdomoni. Sheikh Mziwanda ametetea maulid na ametubainishia Mtume alayhi salam alifurahia maulid yake Kwa kufunga. Hayo ya Leo umeyapata wapi? Sisi tunafuata lile la kufunga la Mtume, wewe unafuata la kucheza la Nani???
@@mussamalekela2107 sisi hatuna shida mkisema mtume hakufanya, kwanza itoke dirishani hiyo mgawanyiko wa towheedi weenu. ambaye imejaa kufru nyingi. wajinga tu ndo haelewi lakini mislamu aliye soma hata kidogo ataelewa. kama huyo mmislamu siyo mnafiki.
Sasa mtume siku yake ya kuzaliwa alifunga kwanini nyie mwakusanyika nakupiga ngoma ikiwa nyie ni wakweli na mnasema mnafata mtume.dah kweli ufahamu ni rizki yni jambo liko wazi kabisa
Maulidi ni uzushi ust mziwanda hata uyatetee namna gani. Nilidhani unaleta dalili kua maulidi ni sunna iliyofanywa na matume na maswahaba. Uisilaamu sio ukristo kua mufti akisema sisi tufuati tu bila dalili halipo hilo. Kushereheka kuzaliwa mtume kumeanza misri mwaka 400 hijiria. Ukisema maulidi ni dini maswahaba wasiosherehekea kuzaliwa mtume hawakujua dini dini umeifahamu wewe zaidi kuliko masahaba.
Hiyo ndo hali ya waislam masufi Tanzsnia hakuna jipya waislam maskini wanatokaje waislam elimu hoi wanatokaje waislam technologia hamna kitu wanatokaje Hakuna chochote bali ni maulid khitma pilau biriani na hauli basi
Hujui kua Wema Maswahaba ni kigezo na dalili katika hoja Mziwanda jibu hoja Maulid yana dalili ktk Uislam Ubaid ni Swahaba ktk wema waliopita ni dalili Allah anakushuhudia jinsi unavyopotosha
Kopo tupu duuuh hata kama hupendi anachozungumza au hakikunufaishi ila usiharibu mlengo wako.. Kopo tupu Kwa elimu ulonayo Unafanana kweli Sheikh muharram??
Masufi kwa ubora wao wa kutekenyana na kucheka watu wazima lkn njaa zinawapoteza maskini Alafu sasa huku kwa comment wafuasi wao walivyo wajinga unawaona tu wakishabikia uzushi