Mzozo wa uongozi unazidi kutokota na kuyumbisha kanisa la repentance and Holiness linaloongozwa na David Owuor katika kaunti ya Samburu. Askofu anayeongoza kanisa hilo kwenye Kaunti ya Samburu Julius Kirui anatuhumiwa kufunga baadhi ya makanisa na kuwatimua makasisi waanzilishi.
21 ноя 2023