Тёмный
No video :(

Mzungu mmoja raia wa Canada ashangaza wakaazi wa Diani kwa namna amekuwa akifagia na kuokota taka 

KTN News Kenya
Подписаться 2,9 млн
Просмотров 54 тыс.
50% 1

#Trending #KTNNews #livestream #ktnprime
Mzungu mmoja raia wa Canada mwenye umri wa miaka 82 anaendelea kuwashangaza wageni na wakaazi wa mji wa kitalii wa Diani huko Ukunda kaunti ya Kwale kwa namna amekuwa akifagia na kuokota taka katika mitaa ya mji huo kila siku kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Baadhi ya wakazi wakidhani kuwa yeye ni jasusi wa FBI au mwenye akili taahira ila Detlev Janthur ambaye amehudumu kama mwana mazingira katika taifa lake ambako pia ameshinda tuzo ameibuka mtu anayependa kuona mazingira safi. Hata hivyo, la kushangaza ni kuwa Detlev hapendi kufua akitumia sabuni na kuoga kwake pia hatumii sabuni. Tobias Chanji alikutana na Detlev katika shughuli zake za kila siku na kuandaa taarifa ifwatayo.
KTN News Live ~ Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7
Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World.
Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News
SUBSCRIBE to our RU-vid channel for more great videos: www.youtube.com/
Follow us on Twitter: / ktnnews
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live www.ktnnews.com...
Watch KTN News www.ktnnews.com
Follow us on / ktnnews
Like us on / ktnnews

Опубликовано:

 

7 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Mwanaume aliyerekodiwa akiteswa Mombasa ajitokeza
3:09
LIVE 🔴  KTN NEWS KENYA
Просмотров 792