Тёмный

Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video) 

Nacha Ousam
Подписаться 149 тыс.
Просмотров 1,7 млн
50% 1

#nacha #jualile #stamina
Audio produced by bear BEATZ
Video by Director Kilonzo
Location: TANDALE DAR ES SALAAM TANZANIA
For Booking Contact: nachaousam17@gmail.com

Видеоклипы

Опубликовано:

 

18 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,3 тыс.   
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
“MATHAYO 6” Kuhusu kuwasaidia maskini 1“Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo. 2“Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao. 3Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. 4Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza
@amosmapalalajuma-sv6gy
@amosmapalalajuma-sv6gy Год назад
👏👏👏🤝🤝🤝🤝
@michaelelliac7273
@michaelelliac7273 Год назад
Kak ile siku nawaomba picha ya pamoja ukiwa na chidymentary pale Nyasubi af mkanikazia dah,,,sitaisahau hadi nazeeka
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 Год назад
True
@maishacenter-eastafricatv3976
Naam
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Год назад
@@michaelelliac7273 lbd muda haukumruhus msamehe
@OfficialeugennyPro6130
@OfficialeugennyPro6130 Год назад
Jamani hata mimi nawakubali sana sema nashangaa sipati like Nyingi Naombeni like jamani 👍
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link JUA LILE
@OfficialeugennyPro6130
@OfficialeugennyPro6130 Год назад
@@Nacha_ousam together bro
@remafnstv7398
@remafnstv7398 Год назад
Za kazi gn sasa wew 😂
@OfficialeugennyPro6130
@OfficialeugennyPro6130 Год назад
@@remafnstv7398 nn kwn
@TRUSTNOONE75
@TRUSTNOONE75 Год назад
umetisha san blood pamojaa✌💯💯💯💯💯🔥 pita nahap bs😁👉ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-0FOdxdLl4h4.html
@stevewanga957
@stevewanga957 Год назад
Stamina never disappoint 😅 jamaa kachukua nafasi ya ROMA....Much love from 🇧🇭🇧🇭🇧🇭
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@abiltv2453
@abiltv2453 Год назад
Stamina mwalimu wa hipohop bongo😅😅
@MbataNgonkola-sl8lv
@MbataNgonkola-sl8lv 4 месяца назад
Wanamfuata Othman Bay
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv Год назад
Mungu yupo na wewe Kaka usijali🤩🤩🤩
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@lilsisqoofficial8016
@lilsisqoofficial8016 Год назад
Sina neno ila ni Mungu awalinde na azidi kuwapa busara mzidi kutueliminisha Stamina Nacha🫡🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hagaimtagwa1934
@hagaimtagwa1934 Год назад
Kama nawewe ni shabiki wa huyu mwamba wa nyasubi gonga like hapa 👊👊👊
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu
@NellyWaKidato
@NellyWaKidato Год назад
Tupo Wengi Mashabiki Zake
@absolomoanda8655
@absolomoanda8655 Год назад
o e and am almost back darling l and m na but it 333333333
@kyliepaul6286
@kyliepaul6286 Год назад
Watu wamesoma journalism alaf kaz wanapewa chawa, gonga like kama umeipenda
@derrickoyonjo
@derrickoyonjo Год назад
🇰🇪🇰🇪 I approve this on behalf of all Kenyans, Tanzania kuna Talanta tupu!
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@okochadan6278
@okochadan6278 Год назад
Hapa nakubali pia kutoka Kenya. Ukitaka mziki uloenda shule sikiza Nacha, Stamina, Roma na Nei
@ismailbeka4673
@ismailbeka4673 Год назад
Karibu nawew uje ushi uku bongo uchan na Kenya
@ismailbeka4673
@ismailbeka4673 Год назад
Karibu nawew uje ushi uku bongo uchan na Kenya
@ismailbeka4673
@ismailbeka4673 Год назад
Karibu nawew uje ushi uku bongo uchan na Kenya
@djkingdee2544
@djkingdee2544 Год назад
To everyone reading this comment, sometimes it feels like you should give up and quit but, don't stop hustling, keep pushing and trust the process, believe you will actually make it to the top someday. Stopping is never an option. Stay blessed, strong and focused 🙏🙏🙏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Pleaae Watch & Share “JUA LILE”
@koppagekon
@koppagekon Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-6yYXHj4cYaw.html
@pascalmsinga35
@pascalmsinga35 Год назад
Kazi nzuri! Hii combination haijawai kukosea 🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile
@SAADESAID-wc3bw
@SAADESAID-wc3bw Год назад
Hilo nikweli brooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SAADESAID-wc3bw
@SAADESAID-wc3bw Год назад
Sisi yanyone tunafeli sijui Kwan ni
@marianamarya1471
@marianamarya1471 Год назад
🇰🇪🇰🇪 nawakishaaa vibaya sana,my love for stamina 😊😊😊😊😊
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@Rhymsta254
@Rhymsta254 Год назад
@stamina shorwebwenzi, you're my favorite artist mkuu truck imeua🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@barakathomas2213
@barakathomas2213 Год назад
Bonge la song nawakubali sana
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”
@Behindsomeone
@Behindsomeone Год назад
Nacha hapewi heshima anayostahili ni pure talent🙌🙌🙌
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@galdersniper2701
@galdersniper2701 Год назад
Time kaka
@soundmale
@soundmale Год назад
Kizuri wengi huwa wanakichukulia powa lkn nacha ni muhenga mashairi yake yapo vzr Sana.
@issakhan260
@issakhan260 Год назад
Imetufikia kitaani na tutaipokea kwa ❤❤❤❤🔥🔥🔥💪💪💪
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu
@onsaelijulius4090
@onsaelijulius4090 Год назад
Hongera sana Nacha, tunafurahi kuona vijana chipikizi toka kwa malegends
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE” #jualile
@TaiWaTzTV
@TaiWaTzTV Год назад
Nawakubali sana. Namkubali Nacha, Stamina na Tgun Tozzy💪💪💪💪 "Hawamchokozi tena"
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
ASANTE SANA WATU WA MUNGU ENDELEENI KU SHARE LINK KWA WENGINE #JUALILE
@pretty-animals254
@pretty-animals254 Год назад
Mwanzoni mwamba kamwambia "subiri kwanza ujipange", mjomba kajipanga hapa madini tupu.
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@chrissoty7368
@chrissoty7368 Год назад
Nyasubiiii ndani ya mbanyuuuuuu mwamba hujui kukosea aseee 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 hongera mwamba umeua
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@JackisonYohana-oj4pp
@JackisonYohana-oj4pp Год назад
Unyama sana nawakubali mabrother zangu 👏👏🙌🙌👊👊
@toshthebarber
@toshthebarber Год назад
Namkubali sana nacha,, from Kenya 🇰🇪
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@lawrencemlanda7327
@lawrencemlanda7327 Год назад
Babaee hii imeuwa zaidii janga,oii combination moto sanaa
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”
@emmanuelhezron5225
@emmanuelhezron5225 Год назад
Mwambieni nacha kaua Sana humu ndani🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@PauloDomiciani-qc1hb
@PauloDomiciani-qc1hb Год назад
Jua lile on 🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@ayembacettie8415
@ayembacettie8415 Год назад
Best Collabo 2023.Hongera Nacha
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu
@Itsvjill
@Itsvjill Год назад
Stamina is not pregnant but always delivers, Punchlines,bars and wittyness. 🇰🇪 in the house pitia hapa.
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@derrickoyonjo
@derrickoyonjo Год назад
Tz kuna talent bro !
@mrnobodycr7913
@mrnobodycr7913 10 месяцев назад
😂
@drsumatz7539
@drsumatz7539 Год назад
Nakubali mwanangu nacha hujawahi kutuangusha man Kali Sana ngoma mwana
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@dnx_Gr
@dnx_Gr Год назад
Wana mmetishaaaaa🔥🔥🔥🔥✌️✌️
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”
@baysadam235
@baysadam235 Год назад
From Moz🇲🇿🇲🇿 chuma kimoja cha nguvu, nazikubari sanaa kazi zakoo bro Nyassubi
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile
@amonmengele
@amonmengele Год назад
Kazi nzuri nacha umetisha sana Sasa mashabiki tu nahitaji upige colabo na Mr. Blue kama mnaungana na mm share na comments na Likes ap
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@queenlizzyplatnumz4942
@queenlizzyplatnumz4942 Год назад
SEMA nacha Ni balaa umeua umu na stamina🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@negredothebos
@negredothebos Год назад
Alafu nyie watu munanifanya maisha yangu yanaenda vizuri ❤❤❤❤❤
@francismnonole2420
@francismnonole2420 Год назад
Dah!! Huu mzigo nilikuwa nausubiria kwa muda mrefu sana tangu mkiwa mnaanza kuitangaza kuwa itatoka 20/3/2023 saa 3 Asubuhi,, Bonge la ngoma Aisee!!!!!
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@petromafurumarindi6153
@petromafurumarindi6153 Год назад
Mwanangu,pongezi Sana Mimi mwanako kabisa ni mwanza mwanza nipe tu like yako Kaka mkubwa
@frankmichael9866
@frankmichael9866 Год назад
Dah nakosa neno la kusema, BONGE LA KITU🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@user-et4so5em5j
@user-et4so5em5j 10 месяцев назад
Nacha, Stamina chukueni maua yenu mnatumia nguvu kidogo akiri nyingi hongereni sana
@pendofrank3650
@pendofrank3650 Год назад
Yes well done wajuba mmetisha like,comment,ziendelee
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@raphaeltengesi6344
@raphaeltengesi6344 Год назад
Nacha and stamina are such creative people Ningekua nagawa tuzo kila tuzo anapata roma ,stamina na nacha
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@mussamanyehe3918
@mussamanyehe3918 Год назад
Unajua sana mkali
@mjuba
@mjuba Год назад
Staminaaaaaa hujawahi feli mwamba 🤜🤛🔥🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@Jobbizness6197
@Jobbizness6197 Год назад
Kusema kweli nakubali hii ngoma ✌️
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 Год назад
Nacha haujawahi kufeli bro✊
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@C.h.a.m.a.x
@C.h.a.m.a.x Год назад
Daah konda umekalia siti af abilia kasimama😂😂🔥 nakubal Sanaa #Nacha🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Год назад
Eti !
@hamisitza5698
@hamisitza5698 Год назад
Noma sana mzee najua mkikutana wote hakuna kinacho haribika respect kwenu👏👏👏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@thengejunior8180
@thengejunior8180 Год назад
Yani napenda kitu kwa stamina mistari yenye ukweli alafu video simple 💯💯💯💪💪💪
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@thengejunior8180
@thengejunior8180 Год назад
@@Nacha_ousam ushasema kaka
@davidgozibert3133
@davidgozibert3133 Год назад
Aliyeirudia hii ngoma x3 like zenu hapa
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@miltonkenga1497
@miltonkenga1497 Год назад
Muziki uliokomaa big up big brothers🙏🙏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@sammymutiso6758
@sammymutiso6758 Год назад
Stamina baba mistari anayo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@kisilajoseph
@kisilajoseph Год назад
Stamina 👏👏👏🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@b3falampendwa758
@b3falampendwa758 Год назад
Mmmmmhuh... This is what we missed when Roma Mkatoliki travelled to U.S.A,keep it on guys.Form a 'NaStam'
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@SambaJay_
@SambaJay_ Год назад
Nakubali hip-hop Tanzania inchi ya kipaji
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@hakeemaleeckhm8211
@hakeemaleeckhm8211 Год назад
Nacha afu stamina uuuh🔥🔥🔥 nyingne tena tunaisubiri
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@monvester6993
@monvester6993 Год назад
Nilowish siku moja hii colab itafika mbali hongera sana nacha
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”
@Ramjane_OG
@Ramjane_OG Год назад
Another hit 🔥🔥 umeuwa nacha
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu
@ericngaramia5455
@ericngaramia5455 Год назад
kila ngoma yako sina pingamizi my brother 💥🔥💥👏👏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@amosileonardsegese7494
@amosileonardsegese7494 11 месяцев назад
Daah ngoma kali kweli sana ❤❤❤❤❤❤
@amosmapalalajuma-sv6gy
@amosmapalalajuma-sv6gy Год назад
Ñyasubi ndan ya mbanyu on air 🔥🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@eliudimfilima8064
@eliudimfilima8064 Год назад
Muzuki mzuri bongo auna nafasi ila maisha yasasa utandrenditu tunaenda namba moja💣💣
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@gracyusoy9435
@gracyusoy9435 5 месяцев назад
Idea ya hii video ni nzuri sana ...inaakisi maisha ya kila siku ya wakazi wa mijini katika usafiri wa daladala...Hongera Stamina,,,,video ipo halisi sana
@mizimieticviral5146
@mizimieticviral5146 Год назад
Iii sawa na Rostam tu... Aisee nakubali ii kazi toka Kenya🇰🇪
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@officialchui5653
@officialchui5653 Год назад
Simple and clear nawakubali Sana like twende pamoja 🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@njihiayoung5
@njihiayoung5 Год назад
Kenya +254 we approve it's a hit 👑👑🥂🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”
@vybingke7490
@vybingke7490 Год назад
Oya Nacha. Kazi nzuri..Fan toka Kenyaaaaa
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@ahmadiimilongera7660
@ahmadiimilongera7660 Год назад
Noma nomaaaa am happy to see u
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@paulpama7305
@paulpama7305 Год назад
Maginius wamekutana.., Walioirudia Mara kumi kumi Kama Mimi tujuane kweny like...,
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@duamawazo9088
@duamawazo9088 Год назад
Naisubri nikiwa Tandahimba 👍
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu
@masaweizidory7588
@masaweizidory7588 Год назад
Guys mnajua saana 👏👏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@Abraahfx30
@Abraahfx30 Год назад
Daaah yan had nafurah san mkikutan nacha stamina daaah mmetisha san
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@manyaramanyara8872
@manyaramanyara8872 Год назад
Ngoma iko juuuu.!!🇰🇪🇰🇪
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@hamismustafahalfansulaiman6620
Wamemchokoza... Shabiki kindakindaki Boy from Msumbiji 🇲🇿💪🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile
@magelelamassaga9550
@magelelamassaga9550 Год назад
Ngoma imesimama balaa nimeikubali kazi nzuri big up
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
“SIO NDUGU ILA KIMTINDO WANAFANANA MANA WOTE WANAKATA UTASEMA WANASHINDANA” #JuaLile
@chris-g-kenya7257
@chris-g-kenya7257 Год назад
Mziki mzuri sana huu.🔥🔥moto sana. too much love from 001 mombasa
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@mojunior5781
@mojunior5781 Год назад
dah mziki mzuri safi naumwagilia moyo Jua lile🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@davidsimwa
@davidsimwa Год назад
Hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏Kazi nzuri.
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@bongostorytz
@bongostorytz Год назад
Yule Mfalme wa nyasubi Nacha ousam.... Muziki mzuri unaongea. Congratulations Nacha ft Stamina 👤💥💥💥💥💥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”
@Kinyengele
@Kinyengele Год назад
Stamina is the best hip hop singer in Tanzania of all time. His messages are perfect and reflect real life.
@maalimzingizi4221
@maalimzingizi4221 Год назад
Mziki mzuri hongera kaka 👏👏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@shaksboy3568
@shaksboy3568 Год назад
Noma Sanaa🙌🙌
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Год назад
Oyaa I'm so happy coz hip hop is back❤
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@GidionSylivester
@GidionSylivester Год назад
Nacha na stamina ni mafundi wa uhakika wenye ubunifu na usanifu kwenye kazi yao....kazi safi miamba wa nguvu🔥🔥🔥🔥🔥👍👍❤️
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@GidionSylivester
@GidionSylivester Год назад
@@Nacha_ousam pamoja saana kaka
@GidionSylivester
@GidionSylivester Год назад
@@Nacha_ousam pamoja sana kaka
@Ramozee_tz3676
@Ramozee_tz3676 Год назад
❤❤oya nacha inabidi ujengewe sanamu kaka wew nimbaya like Albert mangwea... Kakaa😮😮😮wew sio poa.. yani tunapiga tuzo na music unapanda beii😂😂😂😂 like ata moja japo nimechelewa....
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@rizikikibage4465
@rizikikibage4465 Год назад
Ktk life amini kupitia kujituma na kumtanguliza MUNGU 1,MUNGU 2,NIDHAMU 3,JITIHADA/KUKITUMA = MAFANIKIO KEEP IT UP🙏🙏
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@Twins_army_music
@Twins_army_music Год назад
Hatari sana niweka like pale NACHA kaingia 2.6k like zangu naombeniiiiiiii like hixo😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE”
@shinskeymwamba8058
@shinskeymwamba8058 Год назад
Thumbs up..ngoma kali sana🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link #nyasubindaniyambanyu
@petermkenya6023
@petermkenya6023 Год назад
Kwanza mashairi unpredictable alafu idea ya video kali sana BIG UP MWANANGU NACHA
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@ramadhaninangundu
@ramadhaninangundu Год назад
Ngoma iko poa sana 🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@johnizoboy
@johnizoboy Год назад
Best Collabo of the Year🔥🔥🔥
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@ibrahimubaruti1977
@ibrahimubaruti1977 Год назад
Definition of good music
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 Год назад
Stamina umezingua hapo kwa mama yako kuupiga mwingi. R.I.P JPM.
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@hezbornmwakera7629
@hezbornmwakera7629 Год назад
Nawakubali macamanda wanguu hamjawahi niangushaa,Hezborn kutoka 254 Nairobi kenya💪🏿💪🏿
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE”
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 Год назад
Nacha kama Nacha never disappoint
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Thanks Alot…PLEASE WATCH & SHARE “jua lile”
@equalizervocals
@equalizervocals Год назад
pure poetry and artistry🥶
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@athmanahmed5972
@athmanahmed5972 Год назад
What
@salekhkhamissalekh
@salekhkhamissalekh Год назад
fct brooh
@KakaFredMedia
@KakaFredMedia Год назад
Heshimu sanaa... 'Sanaa fiche' endorsement Nyingi ni za kujuana....
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link “JUA LILE”
@KhadijaMbuya-xi8nb
@KhadijaMbuya-xi8nb Год назад
Nawapenda sna but miss you roma wetu❤❤❤😂😂happy sna kwa nyie wtu wanguvu
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & SHARE The Link “JUA LILE” #nyasubindaniyambanyu
@jonijootv6985
@jonijootv6985 Год назад
Sema Nacha na Stamina mnajua sana Aisee🔥🔥🔥 Mapenzi mengi kutoka +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share The Link NACHA x STAMINA #jualile
@jamesmhema719
@jamesmhema719 Год назад
I approve this song on behalf of my compound people and our wicked landlord.
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share "JUA LILE"
@costakaduma9503
@costakaduma9503 12 дней назад
Nacha na Stamina mmetisha sana katika hii ngoma Mungu aendelee kuwatunza katika tasnia yenu ya muziki.
@souljaboy8762
@souljaboy8762 Год назад
Kazi nzuri sana mkubwa wangu yaani hit juu ya nyingine ... 254 ndio nyumbani......
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch & Share “JUA LILE” #jualile
@tonnyjoy5648
@tonnyjoy5648 Год назад
This is TZ legit ❤
@Nacha_ousam
@Nacha_ousam Год назад
Please Watch Share JUA LILE
Далее
NACHA_DARASA HURU | Spoken Word Poetry
7:26
Просмотров 422 тыс.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Просмотров 929 тыс.
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42
Просмотров 739 тыс.
Rostam - Kaka Tuchati [Official Music Video]
5:00
Nacha - Why Always Me (Spoken Word Poetry)
7:35
Просмотров 712 тыс.
Gulinur - Chaki chaki (Official Music Video 2024)
3:32
Arshavir Martirosyan - Voroshel em  chspasem
4:16
Просмотров 427 тыс.
Big Baby Tape, Aarne - Supersonic
2:44
Просмотров 564 тыс.
MASSA Feat. DITTO - Boss (Official Music Video)
3:23
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
Просмотров 43 млн