Kaka haya Madini unayotoa ni Pure kabisa. Lkn Vijana wengi bado kuna Tatizo kwenye Mindset zetu. "Gonga like yako kwangu" Yaan bado kuna watu wanagombaniana comment za kupata Likes! Seriously??
Me wazo langu...kma kwel unania ya kuwafanikisha vijana kidhati kwel....kwann usifundishe hiyo forex unayofanya wewe? Kwasabab hiyo kanuni ulioweka inatosha kuwafanya watu waelewe forex...high price vs lower price...ni mfumo mzima wa kuuza na kununua bidhaaa....ukiangalia hata kwenye forex upo mfumo huo na ndo maana imewekwa margin level pale...ukiwa maskin unadeal na currency kma unauwezo kuna gold..oil n.k...me nahisi ikiwa kwel unania ya kuwasaidia wasaidie lile ambalo unalifanya wewe....shukran imekaa poa saana
Mi naona km anajipigia promo tu kuonesha kwamba amefanikiwa kwann asianze moja baada ya kingine kwenye forex hyo bidhaa anayosema unauza unauzia wap na kwa mtaji gani?
FpF TV learn more wee nawe vipi kwahyo ulitaka niandike kila nilichokipenda hapo. Motivational speaker weng wakiongea hutolea sana mifano matajir wa ulaya lkn yey kuwataja wa hapa ni jambo la msing na watu wanaelewa anamaanisha nn!
Thanks brother.....but hizi incomplete concept zinanitoa kwenye reli, piga show maliza kbx ili mtu akielewa aanze kufanya implementation sioni maana ya kukaa kusubiria Next video it makes no sense.....
Kwahiyo Mwamba hizi hizi dakika 5 tayar mtu Unaweza kutegemea, au kupata 4 mll kwa mwezi kweli, oya atakae fanikiwa kwa stahili hii tafadhali ""frankopfranko@gmail.com ""
@@manikamanika5487 yani maisha yanarahisishwa sana kwa maneno Mimi wameshanishinda hawa watu. Maisha sio software kama wanavyoyazungumza, ni ngumu kuprint hicho kitu anachozungumza na kukifanya kiwe hardware. Ingekuwa rahisi kiasi hicho tusingehangaika maana anachokisema sio kipya wala kigeni kwetu.
sifikilii kama nilahisi sana kuingiza million 4 kwa mwezi kwa watu wachini kabisa wanaolipwa kwa siku tsh 5000-7000 ukimwambia habari ya tsh mil 4 kwa mwezi hawez kukuelewa coz per day 5000-7000 bado ajala ajalipa pang ajanunu maji yan ukipiga hesab kajiban sana kwa siku katumia tsh 3000 ka save tsh 2000-4000 bado pia mwish wa mwezi ajalipia pango just imagine iyo mill 4 kwa mwezi anaitolea wap bro kabla hujafundish kuingiza pesa mingi kwa mwez angalia watu wakipato cha chini kabisa alfu ndy ufundish video inayo endan na kiwango cha mshahara wao piga hesab kwa mwez wataingiza shngap
Uko na nia thabit ya kukomboa vijana kwnye janga la umaskin ktk kutoa elimu ya ujasiriamali, pia tuombe utoe elimu juu ya kile kinacho kupa pesa wew ambacho n Forex, km utaweza toa elimu juu ya hilo kupitia chanel yako wapo vijana wenye interest na biashara hyo pia wanakosa watu sahih wa kuwapa elim saidia kwa hilo pia
Ni vigumu MTU kusema anapataje hela,jamaa anatrade kasomea South Africa ila hajasema anatumia mbinu IPI sokon kutrade ili na wewe ufanikiwe utasikia wanatoa mfano wa juu kukushawishi kukaa kuangalia videos zao,mjanja sana jamaa
HABARI NAKUKARIBISHA PACIFIC MEDIA TUNAVIPINDI MBALIMBALI VYAKUKU ELIMISHA NA KUKUBURUDISHA KAMA VILE 1.TECKNOLOJIA 2.SIMULIZI 3.MAKALA 4.MAPENZI 5.FILAMU KARIBU KWENYE CHANELI YETU UPATE ELIMU NA BURUDANI ASANTE
HABARI NAKUKARIBISHA PACIFIC MEDIA TUNAVIPINDI MBALIMBALI VYAKUKU ELIMISHA NA KUKUBURUDISHA KAMA VILE 1.TECKNOLOJIA 2.SIMULIZI 3.MAKALA 4.MAPENZI 5.FILAMU KARIBU KWENYE CHANELI YETU UPATE ELIMU NA BURUDANI ASANTE