Fundisho nililopata , asiyekupenda hata umfanyie kitu gani kizuri nachakumfurahisha katu hawezi kukupenda na wala sio kosa, hatuombi kupendwa, kupendwa ni hisia. Jambo la pili, usimpende mtu kwa kumuonea huruma, kamwe huruma haizai upendo bali UPendo ndio huzaa huruma 🎉🎉 Thank you Benroyal 🙏
Hongeren sana mukitaka kutowa filamu mtowe filamu ya ngumi mimi huwanga napenda mapambano ya bony kama movie ya sisi hiyo filamu nili ipenda sana naomba mtowe nyingine kama hiyo sisi
Kaka peter umetisha ila haujaambulia chochot 😢 but kigongo kipo vizur na story pw san paula very talented girl nakubar tokea morogor home boy from ituha ilomba lyoto mapelel makunguru isanga mam john iyunga iwambi
Amani mbona tunaidubilia hakuna vipy Kila movie kutuachia njiani Mnazingua sana ebu jitahidi kumakizia movie,,,,,kutuajia njiani tunakuwa nikama nichezo ya paka na panya Fanya kweli wasela pana.