Steven acha kuchezea jina langu chezea mwalimu wako 🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰❤ wampiga mbwela wangu kibao hicho Steve afukuzwe shule bt hawa walimu wampenda Steve 🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰👌👌👌mmbarikiwe nyote muko talented 🤲
Hahahahahahahah😅😅😅😅😅😅😅😅 mkiambiwa walimu ndio watu wenyewe wanaofanya kazi ya serikali ngumu mnakataaa ona Sasa mume mbele ya mke wake kapigwa kof 😂😂😂😂😂😂 yaan nmecheka mwshoniiiii
Ukitoka shuleee naomba uende kwenye udocta kama tulivyokubaliana yan video zako wanangu mpk nawazuiaga wasiangalie maana watarithi wehu wauliwe uko shulen sijui tutazika apaapa au tutasafirisha