Тёмный

Namna Ya Kujiandikisha Kwenye Dating Website Bure. 

Rebeka Dorothy
Подписаться 2,3 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 169   
@kelvinmlolwa1381
@kelvinmlolwa1381 Год назад
Mimi nipo Tanzania,naitaji kweli kupata mchumba wakua mke
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
@kelvinmlolwa kuna website nimeweka ingia ujiandikishe utafute. All the best.
@veelilyn7635
@veelilyn7635 Год назад
Asanteee mamii Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya baraka 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
@veelilyn7635 Amen Amen Amen. Asante sana. Ubarikiwe Pia, my dear.🙏🙏🙏
@veelilyn7635
@veelilyn7635 Год назад
Mama angu naomba untumie id yako ya fb nkutafute uko,,,maana nmelipia wakagoma kunfungulia account na tiyar nxhaweka hela kwenye visa card
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
@@veelilyn7635pole sana my dear Facebook yangu rebeka dorothy
@EverinNichorauss
@EverinNichorauss Месяц назад
Everini Nichorauss
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Imekubali ila kwenye country nilijisahau nikaweka South Africa naanda kwny option yakuedit sio icho kipengele naomba nisaidie niedit
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
Leah Erasto hata sijui ni dating website gani umejiandikisha. Pia kama kuna vitu wameandika wao wenyewe. Kwenye dating website huwezi kuedit ukaweka yako mwenyewe lazima uchaguwe Kati ya walivyokuwekea.
@MARYNAHUMU
@MARYNAHUMU 6 месяцев назад
Saw
@RebekaSamson-f4m
@RebekaSamson-f4m Год назад
Najaribu kufungua inakataa inasema tanzania haimo kwenye orodha ya nchi zinazotumia msaada tafadhali
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 11 месяцев назад
@user-sh6wr5mr2r kama inakataa jaribu nyingine. Kuna dating websites nyingi nimeweka.
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz 5 месяцев назад
Hawa ni wazungu wa nchi gani?
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 5 месяцев назад
Jamani wazungu huwa wapo nchi gani??? Ukiingia ndiyo utajuwa wapo nchi gani?
@AnnastaziaJOtama
@AnnastaziaJOtama 2 года назад
sorry hiyo website iko facebook ni email basi
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Annastazia J Otama nenda youtube kila kitu kipo huko. Asante
@AnnastaziaJOtama
@AnnastaziaJOtama 2 года назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Asante sana
@rebeccajaphet6032
@rebeccajaphet6032 5 месяцев назад
Dada naomba nielekeze namna ya kuingia kwenyeyuotube yako au namba zako za cm please
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 5 месяцев назад
Mbona rahisi sana kuingia kwenye RU-vid account yangu.tafuta mahali pa ku subscribe basi utaangalia video zangu zote. Number ya simu huwa sitting maana ni usufumbu ila unaweza kunipata Facebook
@fatumahassani2015
@fatumahassani2015 2 года назад
Eti dia kwenye hio website malipo yanakuaje na unalipa kupitia njia gani
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Fatuma Hassan hii website ya Christianity connection ni bure kabisa hulipii chochote
@fatumahassani2015
@fatumahassani2015 2 года назад
@@rebekadorothy6625 ooh! Sasa sielewi hata unaingilia wap unatokea wap naomba nielekeze kwa kina zaidi samahan lakn🙏
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@fatumahassani2015 Angalia hii video nimeweka maelekezo yote hapa.
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@fatumahassani2015 Nimeweka maelekezo yote kwenye hii video iangaliye yote utaona jinsi ya kujiandikisha
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
Asante sana kwa video ngoja na mimi nijisajili kwa hizo dating site
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
A selina nimeona niwaletee video ili kila mti ajuwe jinsi ya kujiandikisha ni bute kabisa hulipii chochote. Enjoy
@AnnaKisongoro
@AnnaKisongoro Год назад
mbona imenishinda kujiunga
@RebekaSamson-f4m
@RebekaSamson-f4m Год назад
Namm imenishinda
@AshaMohamed-ib4le
@AshaMohamed-ib4le 11 месяцев назад
Dada doreeth nisaidie jin
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 11 месяцев назад
@AshaMohamed-ib4le nikusaidie nini? Njoo Facebook inbox undelete shida yako
@AshaMohamed-ib4le
@AshaMohamed-ib4le 11 месяцев назад
Habari dada Doreen nimejiunga na afro introduction dating app ninatumiwa sms zimejifunga niliambiwa Bure ila inaenda kwenye kulipia
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 11 месяцев назад
@@AshaMohamed-ib4le ikienda kwenye kulipia lazima ulipie ili uweze kusoma message zako ulizotumiwa na pia uweze kuwasiliana na watu. Unaweza kuwa ulipewa bure kwa siku chache tuu.
@belindabaraka
@belindabaraka 2 года назад
Asante dada.
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Belinda Rose Asante sana mdogo wangu na karibu tujifunze.
@MARYNAHUMU
@MARYNAHUMU 6 месяцев назад
Habari nilikuwa naomba unielekeze hiyo website za free dating maan nikiingia Christian dating inakataa kwaiyo sielewi naomba unielekeze
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 6 месяцев назад
Jamani nimeweka links za dating websites zaidi ya moja. Ikikataa moja si unajaribu nyingine na kama ukikuta hakuna za free tena unatakiwa kulipia ni juu yako maana wewe ndiyo mwenye shida
@marryyudda4748
@marryyudda4748 Год назад
Momyy....plziiii naomb nijibuuuu plzii ....mbna insta sikuoni naona ujapost chochote
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
Marry Yuda nilichukuwa mapumziko marefu ila soon narudi. Ulikuwa unasemaje? Njoo Facebook
@mwanajumaomarbasheebebyj4472
@mwanajumaomarbasheebebyj4472 2 года назад
Nazea pta no yko plz juu kna ktu ntaka msaa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Mwanajuma Omary nitafute Facebook kwa Nina hili hili notumiye message inbox nitakujibu
@alfonsinamichael3320
@alfonsinamichael3320 2 года назад
Usiwasahau dada ise
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Alfonsina Michael Siwasahau. Video inayokuja nitaweka maelekezo kwa wanaume .
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
Nimejisajili lakin napata watu kutoka Singapore..je naweza kubadilisha ili nipate wa Europe
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
A Selina, jamani yaani umejiandikisha hata hujawaangalia sana umeshaanza kulalamika? Watu hapo wapo wengi sana unafunguwa na kufunguwa na kufunguwa unataka kusema watu wote waliyopo hapo ni wa Singapore? Hapana. nenda taratibu. mimi mwenyewe kuwaelekeza nimesema nipo dar na wamekuja wengi tuu kutoka sehemu mbalimbali.
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
😌😌😌😌 sasa nafanyaje dia embu nielekeze ili nifungue jinsi ya kufungua Email ingine
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
@@rebekadorothy6625 pia wamenitumia Email kwamba sehemu niliyopo haiwezekani kutumia hii dating site christianity
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@aselina5862 My dear sijui umejaza vipi ukiangalia hiyo video mimi nimejaza naishi dar es salaam. hiyo dating website ina watu wa nchi tofauti tofauti sasa kama mtu aliyekutumia hataki watu ambao wapo mbali na yeye haimaanishi watu wote wapo hivyo. watu humo wapo wengi.
@FedhaIdd
@FedhaIdd 7 месяцев назад
Mimi nipo Tanzania nahitaji mume mzungu
@esperancentakwinja3186
@esperancentakwinja3186 Год назад
Nakaa America tena munguzu mukristo wa myaka 40 ama 45
@siahmtui8003
@siahmtui8003 2 года назад
Dada Rebeka mm nimejiunga na Afrointroduction lakin mbona kila nikitaka kulipia nashindwa?
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Sigh Mtui Afrointrodation ndiyo website gani hiyo mbona mimi siijui?
@siahmtui8003
@siahmtui8003 2 года назад
Inafanana na hii hii Christian lakin iyo inaitwa Afrointroduction
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@siahmtui8003 inabidi uwatumiye messege kuwauliza unalipaje
@rebeccajaphet6032
@rebeccajaphet6032 5 месяцев назад
Dada Nashukuru saana
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 5 месяцев назад
Karibu Sana.
@geephile5128
@geephile5128 2 года назад
Hello my sisy nilikuwa nauliza jinsi gani ntapata visa ya kwenda greece
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Gee Phile nenda ubalozi wa Greece ukaulize au kama unaweza ku Google uangaliye kama wana website yao watakuwa wameandika jinsi ya kupata visa na unaombaje?
@geephile5128
@geephile5128 2 года назад
Ok thanks nimejaribu kuangalia hapa dar sijajua balozi zao ziko wapi
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@geephile5128inabidi u Google maans mimi siishi dar nipo London so siwezi kujuwa kabisa.
@marthatitus6684
@marthatitus6684 2 года назад
Dada mim nafungua haifunguki kabisaa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Martha Titus watumiye messege maana hiyo siyo website yangu.
@lucinamassawe-qb2ol
@lucinamassawe-qb2ol Год назад
Jaman nn nimejaribu kwenye kulipia inakataa naomba unielekeze jinsi ya kufanya
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
Lucina massawe kwenye kulipia angalia malipo ya Aina gani wanayakubali hapo naongelea card za bank
@graceramadan5583
@graceramadan5583 2 года назад
Umepotea zamani
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Grace Ramadan majukumu my dear. Ila sasa nimerudi mtaenjoy
@kubebazyron99
@kubebazyron99 2 года назад
Naombo unielekeze nione nikipata mchumba mzungu
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Kubeba Zyron nimeelekeza kila kitu kipo kwenye hii hii video. Unatakiwa kuangalia na kusikiliza kwa makini.
@kubebazyron99
@kubebazyron99 2 года назад
@@rebekadorothy6625 nitatuma pesa aje sasa plz txt whatsap nione cha kufanya
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@kubebazyron99 nitafute Facebook
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@kubebazyron99 jamani hizi dating website siyo zangu so ukiamuwa kuingia kutafuta mchumba au rafiki inabidi ufate maelekezo ya hizo dating website. Kama dating website ni ya bure watakwambia na kama ni ya kulipia pia watasema bei na muda gani kama ni siku, week, mwezi au mwaka
@neymarchristopher9810
@neymarchristopher9810 2 года назад
Mbn nimeshndwa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Neymar Christopher fuata maelekezo vizuri ukiona moja huwezi jaribu hizo nyingine maana nimeweka link 13
@rosewambui5076
@rosewambui5076 5 месяцев назад
Are yu sure
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 5 месяцев назад
Are you sure of what?????
@AnnastaziaJOtama
@AnnastaziaJOtama 2 года назад
Nomba nipate namba yako
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Anastasia J Otama number yangu ya simu siitymii kwa youtube ni number yangu ya private life. Unaweza kunitafuta Facebook au Instagram.
@irenepauljordan
@irenepauljordan 7 месяцев назад
Mbon tanzania hii apu dad aipo
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 7 месяцев назад
Kuna Dating websites nyingi sana @irenepauljordan.kama hiyo haipo angalia nyingine zipo hapo
@irenepauljordan
@irenepauljordan 7 месяцев назад
@@rebekadorothy6625 nilikuw naitaj zile za Free dad angu
@shidamtanga2520
@shidamtanga2520 5 месяцев назад
mimi nipo Kibaha nahitaji sana mzungu wa kunioa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 5 месяцев назад
Sasa si nimeweka links uingie utafute mwenyewe
@esperancentakwinja3186
@esperancentakwinja3186 Год назад
Nataka muchumba muzungu wakuniowa
@kubebazyron99
@kubebazyron99 2 года назад
Morning
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
Kubeba Zyron Good Morning.
@mwanajumaomarbasheebebyj4472
@mwanajumaomarbasheebebyj4472 2 года назад
Nina shida daa nmefungua ila ynambia Do premium to start kisha kla nkibonyeza yn peleka kwengine
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Mwanajuma Omary hizi dating website kuna ambazo ni free nyingine lazima ufanye malipo.
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
Happy new dia
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
A Selina thank you so much. Happy New year to you too.
@magrethpeter1918
@magrethpeter1918 2 года назад
Mambo ase
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@magrethpeter1918 mambo poa
@alfonsinamichael3320
@alfonsinamichael3320 2 года назад
Wanaume bc jmn aunt
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Alfonsina Michael video inayokuja ni ya maelekezo ya jinsi wanaume wanavyojaza
@Khadija-tn7dh
@Khadija-tn7dh 2 года назад
Kwangu sioni izi
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Khadija Angalia vizuri hii video nimeelekeza na kuonyesha mahali zilipo na links nimeweka
@miriammgaya7301
@miriammgaya7301 Год назад
@@rebekadorothy6625 1:15
@abrahamchristopher1373
@abrahamchristopher1373 2 года назад
Please unaweza kunipa number yako Kuna kitu nisingependa kuliweka hewani samahani kwa usumbufu
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Abraham Christopher napatikana Facebook kwa jina hili hili njoo unitumiye messege huko nitakujibu. Number yangu ya simu ni private yangu siwezi ku share na kila mtu.
@esperancentakwinja3186
@esperancentakwinja3186 Год назад
Niko sing sinja zala
@Baraka52Shukuran-qj1qt
@Baraka52Shukuran-qj1qt Год назад
Wanaume nawoo vp
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
Baraka52Shukuran jamani humo kwenye dating website si ni wanaume na wanawake.
@Baraka52Shukuran-qj1qt
@Baraka52Shukuran-qj1qt Год назад
Wew umesema umeerekeza kuhus wanawake2 kuhus kufunguwa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
@@Baraka52Shukuran-qj1qt wewe hijawahi kuangalia video zangu. Tembelea Kwanza usikilize halafu utajuwa. Kwenye dating website wakati wa kujaza utaona kama wewe mwanamke unatafuta mwanaume na kama wewe mwanaume lazima uchaguwe unatafuta mwanamke.
@AnnastaziaJOtama
@AnnastaziaJOtama 2 года назад
Mamy Nauliza ni lazima ni download app au
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Anastasia J Otama hapana nimeweka link hapo ukiangalia hiyo video utaona. Wewe funguwa uanze kujiandikisha ila lazima uwe na email address.
@gracechila3050
@gracechila3050 2 года назад
Mimi napenda sana kupata rafiki wa kike mzungu au hata wa kiume lakini si kimapenzi urafiki tu please dada niunganishe na rafiki yoyote huko jamani wa kuchati naye kubadilishana mawazo
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Grace chila India kwenye dating website utafute huko huyo rafiki unayemtaka mimi sina mtu ypypte yule ninayeweza kusema nitakuunganisha. Good luck
@faridaakili9416
@faridaakili9416 Год назад
@@rebekadorothy6625 Vip mamy uko poa Instagram unatumia jina gan et?
@faridaakili9416
@faridaakili9416 Год назад
@@rebekadorothy6625 au namba yako ya what's up naipataje ?
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
@@faridaakili9416 tafadhali njoo Facebook utanipata kwa haraka zaidi
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
@@faridaakili9416 Mungu ni Mwema nipo poa kabisa. Tafadhali nitafute Facebook utanipata kwa haraka zaidi
@neymarchristopher9810
@neymarchristopher9810 2 года назад
Nice my love
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Neymar Christopher Thank you my daer.
@neymarchristopher9810
@neymarchristopher9810 2 года назад
@@rebekadorothy6625 saw my sister
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@neymarchristopher9810 Thank you.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 года назад
Jamani nataka NA mimi
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Ingia ujiandikishe uanze kutafuta
@mwanasaidi9768
@mwanasaidi9768 2 года назад
Habar dada asante kwa elimu nzuri, hoja yangu kwamba mimi nafahamu kila hatua ya kujiunga na hizi app na hadi kulipia nalipia kwa tigo pesa shida ni kwamba ela inakua nyingi sana na hata ukilipia mfano elf 50 ukichat sms 5 au 7 unambiwa ela imeisha ulipe tena na bei wanaongeza hapo huwa navurugwa sana.
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@mwanasaidi9768pole kwa yanayokukuta tatizo lililopo hapa watu wengi wanafikiria hizi dating website ni zangu. Jamani hizi dating website siyo zangu. Na pia kwenye kutafuta kitu lazima utumiye pesa. Sasa mimi nimeweka kuwasaidia wanaotaka na wanaoweza kumudu. Weww ukiona huwezi kumudu acha tuu siyo lazima ila mimi hakuna faida yoyote ile ninayoipata kuwapa hizo dating website. Nimeona niwasaidiye kwa anayetaka kutafuta mweza, rafiki au mchumba.
@wizzyliker2120
@wizzyliker2120 2 года назад
Kwangu mimi inkataaa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Wizzy Liker angalia maelekezo vizuri kwenye video nimeelekeza na pia ikikataa unaweza kujiandikisha kwenye hizo nyingine nimeweka link 13 so haiwezekani zote ushinde kujiandikisha
@cautharymcharo4582
@cautharymcharo4582 2 года назад
Mbona me inakataa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Cauthary Mcharo Fuata maelekezo niliyotoa hapo kwenye video.
@cautharymcharo4582
@cautharymcharo4582 2 года назад
Nayafata ila inakataa bado
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@cautharymcharo4582 Inakataa sababu wamebadilisha lazima uweke post code na post code
@cautharymcharo4582
@cautharymcharo4582 2 года назад
NFanyanj sasa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@cautharymcharo4582 Kaangaliye nyingine ambazo zitakuruhusu ujaze bila post code ila zaweza kuwa za kulipia
@fadhilajuma9812
@fadhilajuma9812 2 года назад
Nimepata mtu kutoka maldives lakini naona nimbali sana sijui hata nifanyaje mana hata kwenda uko nawaza nimbali
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Fadhila Juma 🤣🤣🤣🤣🤣
@fadhilajuma9812
@fadhilajuma9812 2 года назад
@@rebekadorothy6625 unanicheka naogopa dada
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@fadhilajuma9812 fanya kitu ambacho roho yako inataka.
@veelilyn7635
@veelilyn7635 Год назад
Best umefanyaje malipo mbona me nkilipia wananigomea
@gracekisenene1106
@gracekisenene1106 2 года назад
Asante sana mpedwa
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Grace kisenene karibu my dear
@gracekisenene1106
@gracekisenene1106 2 года назад
Nimefika mpk kweny kuandika email lkn njia unayoenda wewe Ni tofauti n kweny simu yangu inanipeleka kwenye mambo mengine.. sasa hata sielewi chakufanya
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@gracekisenene1106 Njia ni ile ile hakuna njia nyingine. hata ningejisajili kwa simu njia ni ile ile
@gracekisenene1106
@gracekisenene1106 2 года назад
Sasa mimi wananiambia you already have a account here
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@gracekisenene1106email niliyoweka mimi hata siyo valid email na imekubali nimejaza mpk mwisho. Itakuwa umeshindwa kujaza ila sidhani kama email ni tatizo
@tumainipallanjo2133
@tumainipallanjo2133 2 года назад
Mamy mbn natak kutuma sms mpk nilipe et
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Tumaini Pallanjo hizo dating website unaweza kukutana na ambayo ni free na nyingine ni za kulipia. Sasa hapo uamuzi unao wewe mwenyewe kulipia au kutokulipia.
@tumainipallanjo2133
@tumainipallanjo2133 2 года назад
Naitaj ambayo so yakulipia
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@tumainipallanjo2133 ndiyo ingia utafute mwenyewe si nimewawekea links 13 huko
@esperancentakwinja3186
@esperancentakwinja3186 Год назад
Niko black African
@esperancentakwinja3186
@esperancentakwinja3186 Год назад
Niko mu afrika nimeokoka
@shidamtanga2520
@shidamtanga2520 5 месяцев назад
unamiaka mingapi
@yvonneirakiza3990
@yvonneirakiza3990 2 года назад
Hawatoi huduma Tanzania 🇹🇿 ni Africa kusini na nchi za wazungu
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Yvonne Irakiza hii video niloyokuwa naonyesha nilijiandikisha kuwa naishi tanzania. Labda kama wamewafungia.
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 Год назад
Nimejisajil ila wamenigomea,Wanasema hawajaisajil kwenye nchi yetu.
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 Год назад
Esabelfadjili8432. Pole jaribu hizi nyingine nimeweka karibia link 13.
@fatumahassani2015
@fatumahassani2015 2 года назад
Rebecca eti wazungu wakitaka kuoa wanatoaga mahali, au hawajui kuhusu mahali naomba jibu kama unajua
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Fatuma Hassan wazungu huwa hawanaga mahali kwenye ndoa zao ila unaweza kujmwambia kuwa mila zenu lazima ate mahali kama kweli kakupenda na anataka kukuowa basi unamuelekeza mila za kwenu anatoa ila utamaduni wa mahali wazungu hawana kabisa.
@fatumahassani2015
@fatumahassani2015 2 года назад
@@rebekadorothy6625 ahaa haya sawa
@fatumahassani2015
@fatumahassani2015 2 года назад
@@rebekadorothy6625 et lamda akija kukuoa kama huna paspot yeye ndio anakua anaihangaikia au?
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
@@fatumahassani2015embu jiongeze kidogo yaani pasport yako wewe halafu yeye ndiyo akuombee? Inaonekana wewe umekaa kimaslahi zaidi. Usipoangalia huyo mzungu atakukimbia maana kila kitu unachouliza ni pesa pesa pesa ate mzungu tuu. Vitu vingine unatakiwa ufanye mwenyewe.kwani huwezi kuomba pasport wewe mwenyewe?
@fatumahassani2015
@fatumahassani2015 2 года назад
@@rebekadorothy6625 hiiiih shogaangu sasa hapo umenichamba😂 lakini umeniambia ukweli asante
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
Unatumia Instagram? Naitaji kuzungumza na wewe
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
Natumia ndiyo angalia account yangu ipo kwenye youtube channel yangu
@rebekadorothy6625
@rebekadorothy6625 2 года назад
A Selina Instagram yangu natumia rebeka.dorothy
@aselina5862
@aselina5862 2 года назад
Sawa dia nakucheki Instagram
@bostineoduor2510
@bostineoduor2510 Год назад
Naomba kujua namna yakulipia tafadhali
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
Machine Learning for Everybody - Full Course
3:53:53
Webinar 14: Honing Skills For Success
1:01:45
Просмотров 1,4 тыс.