Тёмный

NAMNA YA KUTATUA MATATIZO YAKO KWA KUTUMIA NAMBA 

Nyota Zenu
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Maalim Hassan Yahya Hussein Ni Bingwa Wa Utabiri Na Mtaalam Wa Nyota Na Majini Na Tiba Mbalimbali Africa Mashariki Na Kati.
Anapatikana Dar Es Salaam Magomeni Mwembechai Mtaa Wa Kagera Na Matombo Nyumba No 55.
Au Unaweza Kuwasiiana nae Kwa Kutumia Simu Namba +255754672464 au +255654017777

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@Imamusaid477
@Imamusaid477 Год назад
habari za leo shekhe mimi mwanangu kazaliwa tarehe 24 mwezi wa8 aramisi nyotaake ni ipi na jinalake lianzie na erufi gani
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi 9 месяцев назад
Shukran
@madjidfine4295
@madjidfine4295 5 лет назад
Shukran sana ninapenda sana kipindi hiki Kina nifunza mambo mengi sana
@lucasmichael3095
@lucasmichael3095 2 года назад
Tutakupataje
@sandevobanboysandevobanboy8173
@sandevobanboysandevobanboy8173 3 года назад
Nikweli kbc
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Mimi Nina jambo tangu miaka 3 iliopita bado sjafanikiwa hadi Leo japo pesa ninayo yakutekeleza jambo Hilo hadi najiuliza ni mkosi gani nlionao🙆🙆
@jjgirl1030
@jjgirl1030 5 лет назад
Asante Sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
Nilikuwa na kitabu kama hicho cha kujiuliza maswali na kujibu kilikuwa hakidanganyigi Kuna mtu aliulizaga nataka olewa je nitaolewa kikamjibu ndio hila ndowa haitodumu na kweli haikudumu
@vanessaraphael669
@vanessaraphael669 4 года назад
Eeh jomn mbn kama kweli
@taturamadhani8756
@taturamadhani8756 4 года назад
Sijaelewa bdo hapo kwenyekujumlisha naomba maelekezo zaidi
@evanskeitany8810
@evanskeitany8810 5 лет назад
Ukweli ama
@chrislacarin4332
@chrislacarin4332 4 года назад
Vipi baba na mutu akatumia izo izo namba kwa maswali yote ni je
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 года назад
Tunaomba namba zako.
@edwardmsanjala4376
@edwardmsanjala4376 4 года назад
Hivi unaweza kutumia namba za mwaka wa kuzaliwa nimeshapata mteja hapa
@lucasmichael3095
@lucasmichael3095 2 года назад
Mbona upokei cm
@bahatiandrew7847
@bahatiandrew7847 5 лет назад
Dawa ya kigugumizi ni nini
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Haina dawa ni mpango wa Allah mm nina mdg wng ana kigugumiz akikasirika anashindwa hadi kuongea na akiongea yule aliepo karibu atampiga kisawa sawa mwishoe anatulia
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Pia watu wanasem ukimuwekea mavi ya mbuzi ktk mfuko wake wa surual bila yeye kujua atashindwa kuongea yaan atakuw bubu ila ck akikugundua ulichofanya 🤣🤣🤣🤣 utajuta maan atakupiga hata panga aliloshika anakukata nalo hivyo musimuudhi mtu mwenye kigigumizi anatesekaaaa
@yousufabdallah9141
@yousufabdallah9141 5 лет назад
dawa yake asome koroani sana, tatizo hilo litaisha kama mimi.
@fatumakiula8737
@fatumakiula8737 4 года назад
Achenshe mizizi ya mbaazi kisha anywe asubuh na jion kwa ck saba atapona kwa uwezo wa Allah
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 года назад
@@munaahmed8499 subhana Allah 😁😁😁 akianza kugombana natoka
@getrudasikazwe9166
@getrudasikazwe9166 4 года назад
Sjakuelwa apo
@AssOii
@AssOii 4 месяца назад
Ata mm sierew Bado sijaerewa mm
@qndurlmulwizry1092
@qndurlmulwizry1092 4 года назад
Nikwel kabsa ulichokisema
@pitamushi1198
@pitamushi1198 5 лет назад
Utapeli anatafuta wa kutapeli hela zao mwongo huo
@pronetgaspar1203
@pronetgaspar1203 4 года назад
Kwan amekuomba hela au lazm usikilize
@khadijahnanjirah40
@khadijahnanjirah40 3 года назад
Asante sana
Далее
would you eat this? #shorts
00:13
Просмотров 5 млн
Kipindi cha Nyota Zenu
9:20
Просмотров 77 тыс.
NYOTA ZENU/KITO CHA NYOTA YAKO
26:35
Просмотров 32 тыс.
MSUKULE NI NANI NA ANACHUKULIWA VIPI" SIKILIZA HII"
12:55
JE UNATAKA KUPATA BAHATI  ?
28:36
Просмотров 10 тыс.
100614   NYOTA ZENU,  IJUE NAMBA YAKO YA SIMU
26:52
Просмотров 67 тыс.