Hongera sn Nandy (African Princess)... Mtt umeumbika,,, Nyimbo nzur sn (Na nusu) pia hizo tamaduni za Kichina nimezipenda sana...Keep it up baby girl @nandy
Jamani wakenya tulikosea wapi...😭😭.This is music..this is Talent..This is a song..let us stop singing in kenya and embarrass ourselves...ngoma kali ndio hii....
Wakati inatoka niliipotezea Leo nikapata mzuka wakusikiliza ngoma za nandy si nayo ikaja weweweee nimeanza kucheza bila kupenda Mara mguu Mara kichwa Mara nikasimama aaah nandy miaka mia nakukubar kichizi