Wallah hii Qaswida nimeisikiliza zaidi ya mara 10 haishi utamu ustadhi koba upo vizuri watunzi wa mashairi yenye vina mumebaki wachache sana Allah aendelee kukibariki kipaji chako inshallah na mwenyezi mungu atakukutanisha na mtume inshallah
Wallahy hii qaswida imeimbwa na watu tofauti tofaut sana ila hii yako Mashaa Allah sauti manen yanavyotoka yaleta faraja kubwa sna kwa nafsi .Jina la Mtume linanguvu sana kwa nafsi zetu kulitaja tu ivi wahisi faraj kubwa snaAllah akuzidishie na nia io io yakuimba qaswida na akupe umri thaweel.
اللهم صل على سيدنا محمد محي النفوس صلاة تسعدنا به في جميع الدروس وعلى اله وصحبه وسلم ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف ألف من يومنا هذا إلى يوم القيامة
Maa sha Allah hapo kaka Sharif koba umeniliza sana kama ningekua nipo Tanzania ningelipa gharama yyte ile na mm niwemo kwenye huo ujumbe maana ni ujumbe mzito sana unapasua moyo ndani lazima ashikwe mtume naam
Mashaallah tabaraka Rahman hii qaswida nimeimba nikiwa chuoni hadi leo hii haikongwi leo miaka 60 nyuma kila ukiisikia ni mpya tu huchoki kuisikiliza Mashaallah ❤
Wallah hii kaswiida naipenda sana hainiishi ham kabisa kila nikitoka kzn lazima niweke tena kwa sauti mpaka nasisimka kwa 8zuri wake wa maneno na vidio