Тёмный
No video :(

NASHAMIRI by Jennifer Mgendi 

Jennifer Mgendi
Подписаться 159 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Audio by Daudi Kiloba, Musician : Michael Almas.
Ukinimwagia maji machafu

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@user-bx7tp1ts7l
@user-bx7tp1ts7l 4 месяца назад
Mama kila day unarudi kuwa kijana hakika ukkimtumikia MUNGU hauzeeki🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 4 месяца назад
Saaaana hazeeki huyu mama, kweli Yesu analea
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 месяца назад
Hatazeeka maana Yesu anamulea
@official_mgana2533
@official_mgana2533 4 месяца назад
Kabxa
@HamisiAthumani-vy5em
@HamisiAthumani-vy5em 4 месяца назад
Hassan topten kutoka Mafinga kinyanambo B karibu na shule ya msingi upendo...... Hakika Mungu ametenda
@alphanlukombe3774
@alphanlukombe3774 4 месяца назад
Japo mimi ni muislamu lakini nampenda sana huyu mama anasauti nzuri sana na nyimbo zake zina mafunzo sana
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 4 месяца назад
Hata mimi nampenda sana, Mungu azidi kumbariki. Wimbo wa mchimba mashimo katumbukia mwenyewe ilinifanya nimpende zaidi
@janephermwami6348
@janephermwami6348 20 дней назад
MUNGU akutunze wajina wangu uendelee kumtukuza MUNGU amen
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 4 месяца назад
Huu wimbo ulipata ufunuo wa kipekee..... kutumia mti na maji ya taka taka halafu kuleta kwenye uhalisia ni ufunuo wa aina yake,aisee,JINA LA BWANA LIBARIKIWE KUPITIA WIMBO HUU....
@fredyhalezya5809
@fredyhalezya5809 4 месяца назад
Wimbo umenibariki sana sana sana. FREDY KUTOKA GANGILONGA HAPA
@AtzComando
@AtzComando 4 месяца назад
tulie balikiwa na kushamiri tu like hapa
@user-bx7tp1ts7l
@user-bx7tp1ts7l 4 месяца назад
Amen
@stanleysome8821
@stanleysome8821 4 месяца назад
MORE GRACE AMBASSADOR OF JESUS CHRIST OUR LIVING GOD.
@PauloLongo-oo2oy
@PauloLongo-oo2oy 4 месяца назад
Wimbo mzulisana kiujumla nyimbozake zine nibaliki sana naitwa paulo toka mafinga kinyanambo A
@stanleysome8821
@stanleysome8821 4 месяца назад
THE GLORY OF THE LIVING GOD IS YOUR GUIDER FOREVER.
@RobinaSharon-rt3hn
@RobinaSharon-rt3hn 4 месяца назад
Mm ninshamiri ndani Yesu amen mama mgendi
@BenjaminiJohn
@BenjaminiJohn 4 месяца назад
Nyimbo zako zinanibaliki sana mamaangu nakupenda sana
@stanleysome8821
@stanleysome8821 4 месяца назад
THE GLORY OF THE LIVING GOD WILL PROTECT YOU FOREVER.
@laxmajor
@laxmajor 4 месяца назад
Ngoma nzury sana mtumishi wamungu 😍
@ayoubucharles4149
@ayoubucharles4149 4 месяца назад
Wimbo ❤wenye viwango vikubwa
@alfredyosani2132
@alfredyosani2132 4 месяца назад
Nimependa sana nakubarikiwa na wimbo huu Egosho tembodume Toka Tosamaganga
@GoodluckMhema
@GoodluckMhema 4 месяца назад
NAITWA GOODLUCK MHEMA nipo mafinga wimbo ukovizuri sanaaa
@barakamagoti8653
@barakamagoti8653 4 месяца назад
Good song Nashamili. By Baraka Mabula .. Mtwivila iringa
@mariamkilyenyi277
@mariamkilyenyi277 4 месяца назад
Yesu ni mzuriii...Yesu analeaaa nashamiri
@samkimani5426
@samkimani5426 4 месяца назад
Wimbo huu umenibariki. Mungu akubariki dada Jennifer🙏🏿🙌🏿
@user-rv7nm5ep4p
@user-rv7nm5ep4p 4 месяца назад
Amina mtumishi wa Mungu ni kweli kabisa YESU ni mzuri sana tena sana.
@elamnabugare8487
@elamnabugare8487 4 месяца назад
Nyimbo hii naiona inavotuonngezea nguvuya kusonga mbele,..hakika nashamiri
@stanleysome8821
@stanleysome8821 4 месяца назад
HALLELUJAH! HALLELUJAH! HALLELUJAH! AMEN! AMEN! AMEN!
@AMONMTONYOLE
@AMONMTONYOLE 4 месяца назад
Nemebalikiwa sana na huu wimbo nikiwa igomaa sadani 🎉
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 4 месяца назад
Amen, what a sweet song! God bless you, sis Jennifer ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HarunKitinusa
@HarunKitinusa 4 месяца назад
Kwa kweliii nashamiri ndani ya yesu from mafinga
@konankoffieugene9812
@konankoffieugene9812 4 месяца назад
EXCELLENTE CHANSON RESTEE BENIE SERVANTE DE DIEU.
@tuyisengeplacide5440
@tuyisengeplacide5440 4 месяца назад
Njyewe ndifuzako azakorana indirimbo na muhando. Mimi naitaji wimbo wake na rose muhando
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 4 месяца назад
Wimbo mzuri sana mama.... nimependa sana melodi na ujumbe juu!!!!!
@naomipaul5815
@naomipaul5815 4 месяца назад
Amina uananibaliki sam'.mtumshi
@frankkarabwe1494
@frankkarabwe1494 3 месяца назад
Be blessed kwa neno nzuri la kutia moyo na faraja.
@HildahAvugwi
@HildahAvugwi 4 месяца назад
Love your songs much mama 😍
@IreneGodfrey-un7gb
@IreneGodfrey-un7gb 4 месяца назад
Huyu dada Yuko vizuri nyimbo zake zina ujumbe unaougusa kila mtu,Mungu amzishie katika karama hii,naitwa mwl Ireen Mapunda Niko Hoho msingi,Iringa Municipal,Hakika Yesu analea
@stanleysome8821
@stanleysome8821 4 месяца назад
THE GLORY OF THE LIVING GOD IS YOUR INHERITANCE FOREVER
@josephrusana7529
@josephrusana7529 4 месяца назад
Yan kuna waimbaji na wasanii.mama ubarikiwe sana na nyimbo zako
@user-yx2ei4wp6d
@user-yx2ei4wp6d 4 месяца назад
Nyimbo nzuri,Ubarikiwe sana.
@josephrusana7529
@josephrusana7529 4 месяца назад
Yan hyuu mama sauti haizekiii duub
@mariachengula5166
@mariachengula5166 3 месяца назад
Hakika nashamiri ndani ya Yesu
@jesusislord8560
@jesusislord8560 4 месяца назад
Tuliompokea Yesu tunanawiri na kushamiri pamoja na changamoto zote sababubyeye ndiye mtunzaji❤
@ratifaally8168
@ratifaally8168 4 месяца назад
Umenibaliki sana nikiwa pande za igomaa sadani🎉
@christinamatai2408
@christinamatai2408 4 месяца назад
Ooooh yeeeeesssssss💪
@AyubuFumbi
@AyubuFumbi 4 месяца назад
mama napenda kaz yako🎤🎞🎹🎸
@mariachengula5166
@mariachengula5166 3 месяца назад
❤❤❤❤nikweli Yesu ananitunza
@eliamtinda7222
@eliamtinda7222 4 месяца назад
More blessings to you! Powerful song!
@zionfahariofficial2057
@zionfahariofficial2057 2 месяца назад
Blessings mummy 🙏💖🔥🔥🔥
@rachaeljumba1943
@rachaeljumba1943 4 месяца назад
Taaamu saanaaa.....sifaa Kwa yesuuuu
@JudithPeter-yj2cn
@JudithPeter-yj2cn 2 месяца назад
Barikiwa sana na huu wimbo
@Jesuslovesus10670
@Jesuslovesus10670 4 месяца назад
Amina so blessey song
@user-fn6in4nd9l
@user-fn6in4nd9l 4 месяца назад
❤❤❤😭🙏🙏🙏💗God only
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 4 месяца назад
Ubarikiwe sana 🎉🎉wìmɓo mzuri sana ❤❤
@josephmirambo995
@josephmirambo995 4 месяца назад
Barikiwa mama,wimbo nzuri kabisa
@marytitus3922
@marytitus3922 17 дней назад
Hallelujah
@user-kk2oq6gb5w
@user-kk2oq6gb5w 4 месяца назад
Hakika ,ni wimbo ulio jaa Faraja na maonyo
@enockpanja6597
@enockpanja6597 4 месяца назад
Amina Amina good song
@DoreenSoka-un7oh
@DoreenSoka-un7oh 4 месяца назад
Huduma yako ni njema mama 👏 ❤
@official_mgana2533
@official_mgana2533 4 месяца назад
Naview wimbo nkiwa Iringa Mwangata
@official_mgana2533
@official_mgana2533 4 месяца назад
Wimbo mzuri sana Dada
@user-bp7bm3fk1s
@user-bp7bm3fk1s 4 месяца назад
Emeen,yesu ni mzur yesu analeaaa
@dorothsoak4835
@dorothsoak4835 4 месяца назад
🔥🔥🔥ubarikiwe sana mama
@HarunKitinusa
@HarunKitinusa 4 месяца назад
Barikiwaa sana Dada
@papamongelwa-rb3ne
@papamongelwa-rb3ne 2 месяца назад
Amen 🎉🎉
@isabellaipopo9165
@isabellaipopo9165 4 месяца назад
Wimbo unabariki Mungu aendelee kukutunza ulie mfano wa mtumishi mwaminifu katika kumtangaza kristo Yesu❤
@Johnpaulotobiko
@Johnpaulotobiko 2 месяца назад
❤❤❤ barikiwa sana
@magrethelikanah5110
@magrethelikanah5110 3 месяца назад
Nice song, Ameeeen ameeen
@sitelahwayu7612
@sitelahwayu7612 3 месяца назад
wonder full
@HarunKitinusa
@HarunKitinusa 4 месяца назад
Kazii nzuri
@beatricedaudofficial1048
@beatricedaudofficial1048 8 дней назад
❤ ubarikiwe
@jonathanmwakai2821
@jonathanmwakai2821 4 месяца назад
Good job ❤❤
@rosemwaka2924
@rosemwaka2924 4 месяца назад
Amen 🙏
@rajabuKibiki-re4rg
@rajabuKibiki-re4rg 4 месяца назад
Naview kutoka mafinga iringa wimbo mzur
@user-bx7tp1ts7l
@user-bx7tp1ts7l 4 месяца назад
AMEN
@SurprisedGoldenDoodle-nw5xi
@SurprisedGoldenDoodle-nw5xi 3 месяца назад
❤❤❤❤ mama
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 месяца назад
Barikiwa mama
@user-fc7pu4dm2q
@user-fc7pu4dm2q 4 месяца назад
Big up
@HarunKitinusa
@HarunKitinusa 4 месяца назад
Kazii nzuri 1:44
@PiusiMartin
@PiusiMartin 4 месяца назад
Nashamili piusi maritni from mafinga kinyambo b
@lusilusi8687
@lusilusi8687 4 месяца назад
Ameen❤
@Jameshakizimana-oo1gs
@Jameshakizimana-oo1gs 4 месяца назад
Wimbo nzuri
@isackmwakanyuma8725
@isackmwakanyuma8725 4 месяца назад
Amina mama yetu ubarikiweee sana kwa ujumbe mzuri san hakik nimebarikiwa san
@jeanneleya1316
@jeanneleya1316 4 месяца назад
Wiw
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 4 месяца назад
ma'am ubarikiwe sana
@rajabuKibiki-re4rg
@rajabuKibiki-re4rg 4 месяца назад
Wa mafinga naview
@user-fc7pu4dm2q
@user-fc7pu4dm2q 4 месяца назад
Nipo hapa TRM
@alfredyosani2132
@alfredyosani2132 4 месяца назад
Mpaka sasa ni watu 83
@Mulemangabo
@Mulemangabo 2 месяца назад
Lema
@PaulinamkilimaMkilima
@PaulinamkilimaMkilima 4 месяца назад
❤❤❤❤
@ramadhanjefwa9879
@ramadhanjefwa9879 4 месяца назад
Jennifer mgendi
@brianabigaba9509
@brianabigaba9509 3 месяца назад
But how old is Mgendi
@user-fc7pu4dm2q
@user-fc7pu4dm2q 4 месяца назад
By KIJA ROBERT MABULA
@HarunKitinusa
@HarunKitinusa 4 месяца назад
Kazii nzuri
@user-ce1rr9ns4i
@user-ce1rr9ns4i 4 месяца назад
Amen
@rajabuKibiki-re4rg
@rajabuKibiki-re4rg 4 месяца назад
Wa mafinga naview
@user-tz8mq5oj9y
@user-tz8mq5oj9y 4 месяца назад
❤❤❤❤❤
@HarunKitinusa
@HarunKitinusa 4 месяца назад
Kazii nzuri
@TumainiMisigaro-xy5ri
@TumainiMisigaro-xy5ri 4 месяца назад
Amen
@JohnNgayeOfficial
@JohnNgayeOfficial 4 месяца назад
Amen
@rajabuKibiki-re4rg
@rajabuKibiki-re4rg 4 месяца назад
Wa mafinga naview
@rajabuKibiki-re4rg
@rajabuKibiki-re4rg 4 месяца назад
Wa mafinga naview
@singerkelvin
@singerkelvin 4 месяца назад
❤❤❤
Далее
SEMA KWELI By Jennifer Mgendi (Official video)
10:47
Просмотров 1,4 млн
3d printed demon core vs real
00:24
Просмотров 7 млн
NAPIGA SIMU ANASTASIA KIATU KIVUE
6:23
Просмотров 211 тыс.
TAMAA MBELE by Jennifer Mgendi (Official Video)
9:39
CHA KUTUMAINI SINA VIDEO by Jennifer Mgendi
6:29
Просмотров 51 тыс.
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
HIFADHI MEMA by Jennifer Mgendi
6:33
Просмотров 499 тыс.
NALIA by Jennifer Mgendi
6:04
Просмотров 1,8 млн