Aisee huu wimbo niliusubiri sana unanisogezaga sana na karibu na msalaba dah mmeutendea haki na kwa namna mlivyouzunguka kwa kicho na heshima dah moyo wangu mmeuburudisha na kuufanya niendelee kumtazama kristo tukutane kwenye sikukuu ya vibanda
Munapaswa kuendelea na mazoezi Haijalishi ili Wivu na ubinafsi usiwatoe barabarani Bwana atawatendea ili Siku Mkirudi murudi mkibomoa ngome ya shetani Keep on praying Maombi ndo Ushindi
Ujumbe Mkubwa,,, wakati Sahihi ni wakati wa KUSEMA na BWANA .Mungu kama kiongozi hukubari kuongoza watu wake katika kila Hali... Nasubiri Nisema nawe Bwana... Amina Wimbo mzuri sana🎉
Huwa mara nyingi tunacomment kwenye vitu vya kijinga lakini mambo muhimu kama haya tunayapuuzia , vijana Mungu amewatumia vizuri mnatubariki mno .This is my song of the year bring more blessing songs like this , mnahubiri pia mnatangaza Kristo kupitia vipaji vyenu. I expect more touching songs from you.go on go on Vijana.