Тёмный

NATAMANI NINGEJUA MAPEMA SIRI HII KUHUSU MENDE, WAKIINGIA NDANI KWAKO USIWE NA .... 

BONGO FASTA
Подписаться 830 тыс.
Просмотров 150 тыс.
50% 1

Кино

Опубликовано:

 

30 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 360   
@hesbonmusili9855
@hesbonmusili9855 Месяц назад
Napeda jinsi unavyo tusikizi sisi machambiki wako ..na sisi pia tunakusikiza hogera sana ..sauti ipo safi sana..from Kenya
@mwemajulius5036
@mwemajulius5036 Месяц назад
Siwezi Kula Mende mzaziii. Kuleni tu
@salimmwinyimvua1884
@salimmwinyimvua1884 Месяц назад
Hapana kanisa mende teneh aaha siwez kula mm at a kidogo😂😂😂😂😂😂
@mustafampande173
@mustafampande173 Месяц назад
yani natoka kumuua mende naingia yutube nakutana na video ya mende 😂😂
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw Месяц назад
😂
@user-zm2zm7wy1t
@user-zm2zm7wy1t Месяц назад
Yani mwenzako nimeua Jana usiku naingia you tube nakuta hii habar yani nimechoka😁
@Pendo-hc4hf
@Pendo-hc4hf Месяц назад
😂😂😂😂
@HAMADHAMAD-lk3ms
@HAMADHAMAD-lk3ms Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@aminahhusseinbakary4389
@aminahhusseinbakary4389 Месяц назад
😂😂
@kingcreativetz2052
@kingcreativetz2052 Месяц назад
Video yako haijawez kuwaokoa mende dhidi ya kiatu changu kazi iendelee
@JenipherDandu
@JenipherDandu День назад
😂😂😂ajanishawishi lazima wafe
@kingcreativetz2052
@kingcreativetz2052 День назад
@@JenipherDandu kabisa yan 🤣
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i Месяц назад
Duuuu adi kwenye vipodoz timekwishaaa mende haooo😂😂😂
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 Месяц назад
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 Big up 🔥🔥 Justin Shed China Mende😂😂😂😂😂😂😂😂
@AaAaarehema
@AaAaarehema 23 дня назад
Mm siwezi kula mende.
@NeemaMassawe-qg6kf
@NeemaMassawe-qg6kf Месяц назад
ACHA wale hao wachina mpaka nyoka wanakula mm nikiwaona TU ndani nawauwa alaaaa😮
@NeemaDainess
@NeemaDainess Месяц назад
Mmmh mi siwez kula Mende nikiwa naakil yngu timam
@user-pr5jc3nl4r
@user-pr5jc3nl4r Месяц назад
Hapana siwez kula mende kamwe
@omarndege811
@omarndege811 4 дня назад
Mende. Ni ndugu..na .tende..yani. .Kwa kingeleza.....teds
@omarndege811
@omarndege811 4 дня назад
Tofauti. Mende. Ana. Miguu ...uenda ..anajisi.......tende.ni.mmea...
@zeshsulesh6084
@zeshsulesh6084 Месяц назад
Mende nayo lazima niuwe hata kama wanaleta faida sitaki
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Месяц назад
Nyie mende wamenichosha hadi nakosa amani 😭😭
@user-kb1rq8dx1h
@user-kb1rq8dx1h 8 часов назад
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@kingnassor9438
@kingnassor9438 Месяц назад
Mende Wanao liwa ni Mende WA KUFUGWA sio hao Mende WA Toilet. Ni tofauti kubwa Sana IPO.
@byabazairejohn4488
@byabazairejohn4488 Месяц назад
Hapana nimajabu kabisa mende WA wash room RTC
@zainabzain3434
@zainabzain3434 19 дней назад
Hata wafunge my dear nimende tu siwezi kula
@zainabzain3434
@zainabzain3434 19 дней назад
Kumbi Kumbi walinishinda mende nitaweza😂😂
@nusfiarashidi8870
@nusfiarashidi8870 Месяц назад
Siwezi kula mende kwakel, asilan siwezi😢😢😢
@sabathmnubi5033
@sabathmnubi5033 Месяц назад
La hasha! Acha tu wamchina wakulane ni mijidudu ni tabia ya wao. Onene yayaa!
@user-bs6vy8me9d
@user-bs6vy8me9d 22 часа назад
Kwakeli labda unilishe nikiwa sjitambui😂😂😂
@fadhatbakar3646
@fadhatbakar3646 Месяц назад
kama ni ugonjwa bora nife kuliko kula mende
@haryanyawu640
@haryanyawu640 День назад
Kwakweli kuhusu hawa wadudu nimej8hisi kutapika jamani uwiii alafu sowapendi kabisa wakiingia ndani kwangu lazima.niwaue tu
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 Месяц назад
Unasimulia vizuri kaka we 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@neemalety5600
@neemalety5600 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@rukiamohammad9773
@rukiamohammad9773 3 дня назад
Hapana siwezi😮
@HamzakmbBalikwisha
@HamzakmbBalikwisha Месяц назад
Hatamimi pia siwezikula Mende hatakidongo
@JenipherDandu
@JenipherDandu День назад
Watangaze biashara ya mende ili tuache kuwaua lakin hivi hivi lazima wafe
@angelinamwakadi5226
@angelinamwakadi5226 Месяц назад
China😂😂😂not surprised, wanakula kila kitu
@librahclassic5966
@librahclassic5966 29 дней назад
Mende wanaladha sanaa niliwahi kuonja kipind nipo xinnan jimbo la chongqin huko china
@user-lx3zg4db1y
@user-lx3zg4db1y Месяц назад
Akitengeneza mtu mwengine nakula 😂
@ChristinenaliakaWekesa
@ChristinenaliakaWekesa Месяц назад
😮😮 sili mende ng'oo
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Месяц назад
wacha2 wachaina wakule walisha zoea mimi 2 ikae🙆‍♂️🙆‍♂️
@twinssauditwinssaudi7248
@twinssauditwinssaudi7248 Месяц назад
Wacha ikae mm nitakupa like 2😂😂😂
@user-ky1ni2ly9r
@user-ky1ni2ly9r Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@songeza
@songeza 2 дня назад
Siwezi kula Mendes hata unipge na rungu
@alextz5877
@alextz5877 Месяц назад
Ngoja kesh niwakamate nijalb kuwakaanga ntajalibu mmoja Kama kweli ni mtamu
@sharonnanjala3461
@sharonnanjala3461 2 дня назад
Kama hakuna chakula n mende tu heri nife kwa njaa , siwezi kula mende never
@francismussa3635
@francismussa3635 Месяц назад
Mie siwezi. Kula Naona kinyaa
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq Месяц назад
asanti sana
@Izzoh2021
@Izzoh2021 Месяц назад
Hohohoho siko tayari kumla huyo mdudu aki tapika nitakayo tapika si ya nchi hii hoho
@paulinenjeri24
@paulinenjeri24 День назад
Wenye kula wana bahati lakini mimi hata singependa hata kuona akiliwa
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn Месяц назад
Siko tayari kula mende
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 Месяц назад
Olemba nalye mende yayashi😂😂
@user-xh7wy2mi2j
@user-xh7wy2mi2j 4 дня назад
Mimi siwezi kula mende maana nawachukia kweli kweli
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 Месяц назад
Hata mi nimekula ila sio hao kaka kunanamna wametofautiana maeneo ya mbinga wanaita machenene
@ChristopherVictory-bz9xz
@ChristopherVictory-bz9xz Месяц назад
Sito. Wahikula mende😮
@BarakaMsafiri-hc5nn
@BarakaMsafiri-hc5nn Месяц назад
Nilisha wahi Kula senene hvyo nah is laadha ya mende ni kama ya senene
@alimasiandre6318
@alimasiandre6318 Месяц назад
Sasa unasema vizuri Sana ila kuna mende na di kelele dikele njo ina waze kula apana mende
@allexmathias3593
@allexmathias3593 Месяц назад
Tamu sana
@JacksonMukoko
@JacksonMukoko Месяц назад
Somo ni nzuri lakini nime shangaa kusikia eti kwamba kuna watu wanao zikula Mende kwangu mimi sili kitu namna hii kabisa. Naandika kutoka drc butembo
@joelkihogo9312
@joelkihogo9312 Месяц назад
Kwan senene na kumbikumbi mnakula
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Месяц назад
Mbona china wanakula kila kiumbe unachokijua, iwe nyoka, kobe, chura, konokono, paka, panya, mbwa,.....
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 Месяц назад
Anakuja vocha zetu ,hamna mtzd atakula huu uchafu mmmmh
@josephchandi6192
@josephchandi6192 Месяц назад
Wapo wengi tu😂
@pastorhenry55
@pastorhenry55 Месяц назад
Weeeeeeee mimi siwezi nachukia sana mende na vile hupenda kukaa mahali pa chafu
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 Месяц назад
Bhabha mende gete eyene yaya gete😂😂😂
@geotechsolution7146
@geotechsolution7146 Месяц назад
yaya gete nkoi
@BMFURAHAKWANZA
@BMFURAHAKWANZA Месяц назад
😅😅😅😅😅wale wanao waza mawazo mabaya kuuusu kifo chq mende 😅😅😅likes tafadhali kama amekugusa 00:20
@RodaFrasinc-ze2dr
@RodaFrasinc-ze2dr Месяц назад
Mm nisha tubu😂😂😂
@martinngaru9932
@martinngaru9932 Месяц назад
Which is the best insecticide for mende expecially the small ones
@MaryamMubarak-lw8kw
@MaryamMubarak-lw8kw Месяц назад
Nimetoka kumfukuza mda huu bila kumuua😂ila kwny kumla tutasameheyana wapendwa😂😂
@KidozZM
@KidozZM Месяц назад
Hapana hata kama nikikosa mboga nyumbani mende sahau kifo cha mende ni pale pale😢😢😢
@BrianKibako
@BrianKibako Месяц назад
Wa kwanza kutanzama kutoka Mombasa tena Nyali mnazi mmoja Yaani niuulize hizi mende upatikana chooni pia zinaweza iiishi na binadamu???? Mimi huzikanyanga kama nimefuma Machoooo
@gerkombo6512
@gerkombo6512 Месяц назад
Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu, Mnazi mmoja. Bila shaka utakuwa unafahamu pale Sosiani video show cjui kama bado ipo.
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Месяц назад
MiMi nimtz lakini mende nisha kula saana mpaka kenge yoote sababu nasafili mataifa mengi cos Mimi nimfanya biashala Hata SASA Niko nje asante 🙏🙏🙏😎
@benOfficial36
@benOfficial36 Месяц назад
Mmh!!! Mende huyo 😂😂
@Timothymchomi
@Timothymchomi Месяц назад
tamu sana tena sana eehhh ehhhh 😅😅😅
@YaakoubYussuf
@YaakoubYussuf Месяц назад
Mm siko tayar kula mende
@HidayaFakih-h8h
@HidayaFakih-h8h 25 дней назад
Kwa kweli hapana nikimuona tu nataka nipige kelele bc akiruka ndio usiseme simpendi kwa kweli
@HaithamHadji-tq3mk
@HaithamHadji-tq3mk Месяц назад
Weye je unaweza sisi hatuwezi
@saimonlaizersaimonlaizer3977
@saimonlaizersaimonlaizer3977 2 дня назад
Me kila siku naua mende tena nawapa sumu
@akhumbabeatrice-bg4le
@akhumbabeatrice-bg4le Месяц назад
😮😮😮😮siko tayari mie
@janengaga2928
@janengaga2928 Месяц назад
Siwezi kula Mendes kamwe
@user-iy5bq6rh8l
@user-iy5bq6rh8l 23 дня назад
Mimi mende simpendi😂
@imanisekwao4268
@imanisekwao4268 Месяц назад
Weeee kuwezaaa
@Marykemunto-wy4qm
@Marykemunto-wy4qm Месяц назад
Aah Mimi siwezi kula mende Hawa wewe najua hawesi hata na dawa aiii.
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 12 дней назад
Huo upumbavu wenu pelekeni kwenu uzunguni sisi nikiatu na mende mwanzo mwisho
@LisanoelRichard
@LisanoelRichard Месяц назад
Haaaaaaaaaaaa wewe kamlishe baba ako pumbavu
@YonathanMsamba
@YonathanMsamba 6 дней назад
Maajabu kula mende
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Месяц назад
Aka Mwaya ! Siwezi
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Месяц назад
Mmmmh jamani tutakufa vibaya mno kila siku kwatoka jambo jipya
@jermanminsori663
@jermanminsori663 Месяц назад
mimi nilishindwa kula mende ila konokono nimewahi kula iko kama firigisi
@carrivecleverboybenett7790
@carrivecleverboybenett7790 Месяц назад
Ilo mpaka nakufa aito Wahi kutokeya mimi kula Mende
@reginaldthomas3892
@reginaldthomas3892 15 дней назад
Mende ni uchafu wanakula kinyesi nakusambaza magonjwa
@user-db4hw5zc1n
@user-db4hw5zc1n Месяц назад
Siwezi kula Mende
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj Месяц назад
Upuuzi mtupu chefu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
Kuna vitu vyengine wacha vinipite😂😂😂😂
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 Месяц назад
Wacha ni cheke mie hehehe.kula mende tena haya twende nalo
@geofreykashililika9704
@geofreykashililika9704 28 дней назад
Siwez kula mende Aisee..
@ttss7716
@ttss7716 Месяц назад
We me kwanza sitaki kumuona niko na forbea yake me wata ni koma 😂😂😂😂😂me nilikuwa nafkiria wanaleta pesa kumbe ni bala tupu😂😂😂
@HolloSayi
@HolloSayi 12 дней назад
Naomba hasara yakula mende
@liliannawanjaya2784
@liliannawanjaya2784 16 часов назад
Mm mende napiga naua
@FestoMajiyakunde
@FestoMajiyakunde Месяц назад
Ndiyo nipo tayari kula
@malkiawafizi2394
@malkiawafizi2394 Месяц назад
Mimi sipotayari kula mende😮😮
@makayistevenmusso1520
@makayistevenmusso1520 Месяц назад
Siwezi kula mende😅😅😅
@MohamedHalake-cy8bh
@MohamedHalake-cy8bh Месяц назад
Siwezi kula bro
@FrankKipoi
@FrankKipoi 28 дней назад
Aaa, me sipo tayari kula mmmhh
@mwanaidisimoni79
@mwanaidisimoni79 Месяц назад
@zulekhaboy
@zulekhaboy Месяц назад
Si kweli kula mende 😂😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Месяц назад
✌️👊👍.
@Officialpackyshujaa
@Officialpackyshujaa Месяц назад
😂😂😂 mzee mimi sili kabisa wadudu wachafu sana hawa, 🤮🤮🤮
@user-rn2dl1rg8b
@user-rn2dl1rg8b 25 дней назад
Mmmm siwezi kula Mende ety
@hadijachambuso2390
@hadijachambuso2390 Месяц назад
😂😂yni nimewamwagia sumu saiz nakutana na hii
@jacksonbeluga2918
@jacksonbeluga2918 Месяц назад
hapa tz kuna dada yupo kigamboni anafuga mende na ndo chakula chake pendwa serious
@mwemajulius5036
@mwemajulius5036 Месяц назад
🎉
@user-lp4jj6uu1r
@user-lp4jj6uu1r Месяц назад
Mm chitakura mende
@Eliroster
@Eliroster Месяц назад
Mende naeza mula Mimi nitajaribu ikiwa tamu...kwangu zitaisha
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame Месяц назад
Naomb leo nijue sir y mende haw man mlipo panga wapo weng San ten wanakat chooni IL utakut wanaingia ndan na ni mbali na choo kil mahali kumezibwa IL cjui wanaingilia wap n siwapend
@zulfajuma8394
@zulfajuma8394 Месяц назад
Sitakula mende hata kwa vboko, na nitawaua mpaka waache kuzaliana apa kwangu
@MyahudiMgalilaya-vh6ss
@MyahudiMgalilaya-vh6ss Месяц назад
Kumbe Nikolea na China.. Ila tz chao nikifo tu.. We unasimulia uku akipita pembeni yako Unamsigina afe. Wewe Kwanza unaweza Kula tangu umejua
@user-gb6ut9qe4e
@user-gb6ut9qe4e Месяц назад
Mmmh siwezi hata kujalibu
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 Месяц назад
Lol kwanza nikimuona mende tu naanza kusikia kichefchef
@MarthaLungwa-sr4er
@MarthaLungwa-sr4er Месяц назад
Kama mtu anaweza kula kumbikumbi basi hata mende atakula😂
Далее
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28
Biashara ya mende yashamiri Tanzania
4:50
Просмотров 3,1 тыс.
Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI
8:02
Мама звонит, когда я гуляю
0:40
Просмотров 878 тыс.
Мама звонит, когда я гуляю
0:40
Просмотров 878 тыс.
Помог🤣#сериалы #фильмы
0:28
Просмотров 2,1 млн