Тёмный

Naweza Kuacha Biashara Zangu Zote Ila Sitaacha FOREX 

SIRJEFF DENNIS.
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 247   
@mcdunstanandrew9455
@mcdunstanandrew9455 4 года назад
Naogelea kwenye pips za blue af napata notification Jeff kapost darasa huko RU-vid.. basi siku yangu inaenda vizuri zaidi. Be blessed Mr Shark 🦈
@gospelthusiast
@gospelthusiast 4 года назад
Forex tamu sana... Niwashukuru Godfather's of Forex TZ kutuexpose vizuri na hii industry @sir_Jeff @Clintz_Travellah @Elkana_fx. Japo bado tunasuasua but after years am sure Big boys/Sharks watashangaa kwanini pesa mingi inaenda Tanzania😅Vijana wa serikali ya awamu ya tano 😅iyo background music yenyewe... Cant wait for the next...
@ramsontv6675
@ramsontv6675 Год назад
Hi mkuu mini nikijana nataka nijikwamue Naomba msaada wake up
@ramsontv6675
@ramsontv6675 Год назад
Kaka nakuomba
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats Год назад
Ahhahha kaka me najifunza kwa nguvu sana hii kitu
@braininc1195
@braininc1195 4 года назад
Nomaaa sanaaa wa kwanza ku watch great content from great mentor and best personel ever in tanzaniaaaa go virall bro much respect ma boy
@mopimanta5250
@mopimanta5250 4 года назад
Nahitaji forex coach Kama Wewe. You are so determined, transparent, self-motivated and willing to disseminate your knowledge to others. Nakupataje mkuu?
@lidasimbababalaoislam2679
@lidasimbababalaoislam2679 4 года назад
Forex najiiunga. Vp
@esterjohn3403
@esterjohn3403 4 года назад
@@lidasimbababalaoislam2679 naweza kukupa muongozo
@geofreykatangamoyo6806
@geofreykatangamoyo6806 4 года назад
nicheki 0674445190 ester john
@dennisdanny5818
@dennisdanny5818 4 года назад
😂😂akireply nishtue
@jamesjjoseph5908
@jamesjjoseph5908 Год назад
@@esterjohn3403 hello habar
@makamemachano1974
@makamemachano1974 4 года назад
You're the best in Tanzania I have dream to be like you. I have dream to be successful trader in Zanzibar
@Aviero_07
@Aviero_07 3 года назад
Brother
@kamanda007
@kamanda007 4 года назад
Nice video, I love forex and I made tons of money too Iakini tukumbushane kidogo forex is very high risk business so be careful
@daudimwashilindi5333
@daudimwashilindi5333 4 года назад
I love what you are doing Sir.! God bless you..
@danleeplatnumz8292
@danleeplatnumz8292 4 года назад
I've always liked your extraordinary contents. Salute bro.
@frank86001
@frank86001 4 года назад
Binafsi bado nasubiria kwa hamu sana ahadi yako ya kutufundisha namna ya kuanza biashara ya FOREX nimeandaa capital kila siku na chungulia RU-vid Please Jeff tunyooshee roho tuanze Ku Trade pia
@brightben4473
@brightben4473 4 года назад
Usianze na ku trade real kwanza ndani ya mwezi mmoja wa kwanza ukisha ona umeanza kuelewa anza kuweka pesa kidgo kidgo hakikisha unapata faida faida katika kiasi kile ulicho kiweka ndio uje u invest ukiweka mtaji mkubwa utakuja kuumia sana cha msingi bro anza kuweka pesa kidgo kidgo usianze kuweka pesa nyingi kwa mara yako ya kwanza mana mwanzoni lazima upate loss kwasababu kuna vitu unakua huvijui
@kwisa4899
@kwisa4899 4 года назад
Ili mtu ajue forex na awe na adabu anatakiwa ajifunze kwene real account kwa micro lot 0.01 hii itamfundisha emotional na kuku push kutafuta Elimina sahihi baada ya hasara
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats Год назад
@@kwisa4899Hahhaha fx sio biashara ya kuvamia lazima ujifunze kwa utulivu
@issiket
@issiket 4 года назад
Jeff is unasoma hizi comments? Pls andaa darasa la beginners for few days. Hizi tunaziona you tube always but we are not able to enter the market. Think about it. Naona wapo wahitaji humu nawasoma
@amosimichael208
@amosimichael208 4 года назад
Kweli
@frank86001
@frank86001 4 года назад
Kwel kabisa
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
Bro sidhani kama Jeff anaeza soma ila sikwambii kwaubaya m mwenyewe nimwanafunz wake ila msg yawhatsap Leo sku yatatu. Labda uwe unamfatilia kwenye page yake Instagram kama atapost tena maana juzi kamaliza training ilivoanza j3 namm nilihudhuria
@mopimanta5250
@mopimanta5250 4 года назад
@@meddy_upette9511 tuwasiliane mkuu 255768407977
@gabrielgabito4197
@gabrielgabito4197 4 года назад
Broo nimefatilia video zako almost zote,,i've deducted you got high iq and almost genius.Salute you broo
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
Am so excited to be among your student bro.....Mungu akubariki sana 🔥🔥🔥
@bonifacemutisya3272
@bonifacemutisya3272 4 года назад
Ningetaka kuwa student pia,nitafanyaje
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
@@hackersforex Mi Najua bro Sihitaji vitu vingine
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
@@bonifacemutisya3272 nipigie 0746117909 nikueleweshe kitu kinagaubaga bro
@makamemachano1974
@makamemachano1974 4 года назад
Sirrjef you're the best nataman kupata angalau siku moja kuzungumza nawewe
@lifeinspiration9726
@lifeinspiration9726 4 года назад
Nakukubali brother Sirjeff I am from Udsm, pamoja sana
@daudidaudi4077
@daudidaudi4077 4 года назад
Bro imekaa poa sana! Nko nahitaji kujua zaidi about fx na naamini siko peke yangu so,ningeomba uone utaratibu ambao utaweza kutusaidia bro tunataman sana nasi siku moja tuwe watu wa kutoa ushuhuhuda abt fx confidently kama wewe🙏🙏
@faustineluswetula2778
@faustineluswetula2778 4 года назад
Sirjeff ubarikiwe Sana mkuu kwa madini mazito...📈📉💰✍️🌍
@lonsmanempire9627
@lonsmanempire9627 4 года назад
Brother nashukuru sana, umenifanya nipate motivation zaidi ya kujifunza forex
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 года назад
Kijana upo vizuri, umeni inspire. Everything is possible under the sun
@madindangonde4044
@madindangonde4044 4 года назад
ILIVONGUMU FOREX KAMA HUNA UTAYARI WA UHAKIKA TAMAA ATAKUNYEMEREA LKN NI TAMU UKISHAIFAHAMU
@emmanuelmmasi7283
@emmanuelmmasi7283 4 года назад
Oi sir jeff tifanyie mwelekezo jins ya kujifunza ayo mambo maana bado sielew nahis wengi tumejaribu ila hatuelew profit ipoje wala loss
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
0746117909 nikupe ushauri ntakueleza vtu vyamsing ili viweze kukusaidia kama mbeleni utapenda kuwa trader....Free sihitaji chochote
@mohamedimbaga6583
@mohamedimbaga6583 4 года назад
Tuko pamoja kila wakati, #tunaendelea kujifunza
@sibtainvisram
@sibtainvisram 4 года назад
I LOVE YOU BRO I UNDERSTAND YOU WELL I HAVE BEEN IN THIS GAME FOR 5 YEARS NOW LET'S MEET JEF AND WE ARRANGE THE DARASA KWAAJILI YA WATU WASIOJUA FOREX KAKA NAOMBA NA NUMBER YAKO KABISA KAKA
@jamesmoricmsa9003
@jamesmoricmsa9003 4 года назад
Kaka afanya muandae darasa Nahitaji sana kujifunza
@officialshabashytrader8085
@officialshabashytrader8085 4 года назад
@@jamesmoricmsa9003 ishu kubw nikua na simplied ways of trading ..soko la forex halihitaj maneno mengi.
@asilithemuhamikaelmikael8936
@asilithemuhamikaelmikael8936 3 года назад
0762233591 namba
@tumainigodfrey1565
@tumainigodfrey1565 3 года назад
Kuwa na kijana kama ww katika taifa letu,, is the blessing brother
@lydiahkgospel3216
@lydiahkgospel3216 14 дней назад
You're the best mentor
@awanfx5281
@awanfx5281 4 года назад
hi from dubai..like your content...would you mind introducing weekly chart analysis...ningependa kuona unavyotrade
@joerfamednoag7458
@joerfamednoag7458 4 года назад
I love so much forex trading. Napenda Sana videos zako. Kwasasa naweza ku trade without stress
@CM-sf8lb
@CM-sf8lb 4 года назад
Big up Bro Jeff...ila unazungumzia sana kuhusu kupata.......nahivyo unaweka ushawishi mkubwa wa watu kudhani swala la kutrade na kupata ......kuwa more transparent.....hii Forx trading ni sawa na betting au kamali yoyote zinavyochezwa......Risk ni kubwa lakini na faida pia nikubwa ukipata halikadhalika hasara nayo nikubwa ukikosa.......waeleweshe viajana wenzako wasije wajue yote ili waamue kunyoa /kusuka....hata palle lasvegar dar upanga unaweza cheza hizo na ukakopa kudabo pesa yako halafu ukapata pesa kubwa na kurudisha......USHAURI WANGU TU>>>Kama unamtaji wa kuazima au mdogo uliobaki dont risk kufanya hii Foex trading fanya kitu kingine kwanza halafu mega kidogo ujaribu na hii ya FD......ili ukipigwa ucife kifo cha mende....
@shadrackkamugisha4481
@shadrackkamugisha4481 2 года назад
@@CM-sf8lb forex sio kubeti na wala haifanani na kubeti kwa sababu ukibeti unapoteza kila kitu tofauti na forex
@Kaka-qj3iv
@Kaka-qj3iv 4 года назад
Sir jeff si bora ungeanza topic one ya forex hadi topic ya mwisho. Na utupe softcopy books maana bro tumeshagundua forex ni bomba ila hatuwez kuifanya hatuna mtu wa kutuongoza . So ni bora tumalize forex kabisa bro kisha uende mada nyingine . Tujaze material za kutosha bro kuhusu iyo forex
@irenetarimo1162
@irenetarimo1162 4 года назад
watu wangejua forex ilivyo ngumu,kama unatamaa achana nayo,
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
Ila tamaa kila mtu anayo hata hao wanaotrade walkuwa mwanzon kama sisi tu but walisoma jinsi yakukabiliana nayo. Kitu chochote ukijifunza bila pupa tabia huwa inabdilika. Huitaji kuogopa
@kwisa4899
@kwisa4899 4 года назад
😂😂😂😂😂 FX is for strong people people no weak one
@mwanailumwanailu4658
@mwanailumwanailu4658 4 года назад
@@meddy_upette9511 samahami kaka upo forex?
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
@@mwanailumwanailu4658 0764151030
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
Don't feel shy to Express yourself you can talk to me
@braininc1195
@braininc1195 4 года назад
Jeff kama jeff ani we jamaa ujui tu venyewee unathaman kubwa kwa vijana kwa content zako
@isaacnyawasi2734
@isaacnyawasi2734 4 года назад
nashauri utengeneze video ukielezea watu kwanini uli fail mwanzo, na elezea margin call pia sio leverage maana leverage kubwa kwa new forex trader sio nzuri, forex inataka uzoefu pia sio elimu tuu
@cloudmwikuna1911
@cloudmwikuna1911 4 года назад
Brother unaachia vitu Nondo sana. Big up to you. Naisubiri kwa ham sana video ya uchambuzi wa brokers. Kip it comming bro!!
@ramadhanhamisi3397
@ramadhanhamisi3397 3 года назад
Skills ya kununua bando umenichekesha sana broo
@mkulimamjasiriamali2621
@mkulimamjasiriamali2621 4 года назад
Motivational speakers Wa Bongo huwa wanaassume kila kitu kiko straight hakuna changamoto kitu ambacho siyo kweli, wakubwa fanyeni business hakuna kitu rahisi hiivyo, jamaa hata hii anayofanya anatumia flip chart, camera na You Tube Chanel zote hizo ni gharama, hakuna mtelezo, unaeza kukuta hata jamaa hafanyi yote hayo, msihadaike na lugha za kigeni mara Forex, Mara stock hivyo vyote ukivibadilisha katika kiswahili mambo ni yale yale... Tafteni pesa, no thing easy
@MICHAKATONOAH
@MICHAKATONOAH 4 года назад
Forex ni biashara nzuri Ila nyuma yake Kuna brokers, wanaliza watu
@traderdan7707
@traderdan7707 4 года назад
Thank you so much Jeff Can't wait for the next video, bless up
@janecknziku9779
@janecknziku9779 3 года назад
Samahani unaweza ukanifundisha namba yakutumua traderdan
@happymahega2000
@happymahega2000 4 года назад
I love this guy wallah
@ibrahimshauri9467
@ibrahimshauri9467 4 года назад
Yesss sir nipo mkao was kula ili tuchimbe elimu
@boniphacejoseph3985
@boniphacejoseph3985 4 года назад
Tupe kaka vitu konki😂😂🔥🔥imekaa poa Sana
@amiesanzie7390
@amiesanzie7390 4 года назад
Nice Bro. Am motivated through yuh
@yusuphmkenza3019
@yusuphmkenza3019 4 года назад
kaka wewe ni zaidi ya genius nakukubali sana yani
@leonardemmanuel6376
@leonardemmanuel6376 2 года назад
Big up bro 👍👍
@benedictmsami4966
@benedictmsami4966 4 года назад
Yes nakupata kk kama kubeti tu
@josephleonard2735
@josephleonard2735 4 года назад
Nice lesson Sir
@matelainnocent8350
@matelainnocent8350 4 года назад
Brain food thanks Man
@AlexKAudax
@AlexKAudax 4 года назад
Nice presentation 👏
@Man-B4Real
@Man-B4Real 3 года назад
Sirjeff nimekupata hapo kwenye leverage swali langu n hili inakuaje sasa mpaka mtu anachoma acc ikiwa ame deposit 100usd kwa leverage ya 1:300 ambayo n 30000usd?
@julianmsele3880
@julianmsele3880 4 года назад
i love it my self tooo,
@eunicemwikali3068
@eunicemwikali3068 3 года назад
very good teacher
@kwisa4899
@kwisa4899 4 года назад
Fx is not for a weaker person need strong 💪 people
@dhodlex_
@dhodlex_ 4 года назад
Kaka Je! na hii volatility index ni nzuri kutrade.
@josephthomas7456
@josephthomas7456 4 года назад
Kaka nakukubali sana mungu akuzidishie hekima mara dufu
@allydady3409
@allydady3409 4 года назад
Asante kwa icho kitu bro ila bado tunaitaj tujifunze tuwe kama ww au Zaid yako
@emotional_feelingsfeelings5780
@emotional_feelingsfeelings5780 2 года назад
Moto Uendeleeee Kaka Coz Kimya Kwa Mda Hadi Sasa
@thedeucesfam7261
@thedeucesfam7261 4 года назад
You r doing a great job bruh...but can you teach how to enter into a market and buy or sell
@colethakahemela3713
@colethakahemela3713 2 года назад
Be blessed brw,ungefungua darasa ingekaa poa sn, km lipo toa maelekezo na moungozo kwa watakaohitaji plz
@boscolupenza5965
@boscolupenza5965 4 года назад
Thank you
@maishayahaya7449
@maishayahaya7449 4 года назад
JAH BLESSING YOU BROTHER.
@raphaelbruno2743
@raphaelbruno2743 4 года назад
Naitaji siku nyingi kujifunza hii biashara na hasa kutoka kwako je wawezaje kunipatia vipindi!?ninafanya kazi kiwandani
@notoriousstan2961
@notoriousstan2961 4 года назад
We can make a deal, unafanya kaz kiwanda gan?! Chek me whatsp: +255753466878
@annachales9623
@annachales9623 4 года назад
Ila wewe kaka unavutia unavyo toa elimu mchangamfu sana😂😂😂😂
@AIG7187
@AIG7187 4 года назад
Hongera sana bro #Shukrani kwa kutuelimisha
@innocentshao8291
@innocentshao8291 4 года назад
Uelewek brother naona umefungua kupiga pesa tuuu maana kila siku unafundisha kipya umalizi. Ingia kwa walim wanaofundisha elimu ya ujasiriamali ujifunze
@bashiralihassan8240
@bashiralihassan8240 4 года назад
Si rahisi kama unavyosema, levarage hiyo uliyoigusia hapo ni upaga wenye ncha mbili, inakupa fursa ya kupata faida maradufu, na pia incase of a loss, inakuwa maradufu vile vile waeleze watazamaji uwezekano wakupoteza pesa zote na hiyo levarage upo.
@danleeplatnumz8292
@danleeplatnumz8292 4 года назад
Bro, can you make a video about QNET!
@heriaminimakyao9360
@heriaminimakyao9360 4 года назад
Sure
@bodybreading7778
@bodybreading7778 4 года назад
@danlee Why him thou? Just curious... Ana uhusiano wowote na hiyo kampuni?
@chriskazaula3401
@chriskazaula3401 4 года назад
What is QNET?
@danleeplatnumz8292
@danleeplatnumz8292 4 года назад
@@bodybreading7778 Sijui kma ana uhusiano lkn kwa mtu kma Jeff nina uhakika atakua kufuatilia kwa undani na ameshapiga hesabu zake kma zina make sense and kwa uchambuzi wake nina uhakika tutajifunza mengi. Kilichonifanya niulize ni kwasababu nmeskia ametaja kuhusu multi level marketing (MLM) kwenye video.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 года назад
God bless you bro hapo kwenye kuwafundisha wanao nme papenda san
@S.A_thebeatmaker877
@S.A_thebeatmaker877 4 года назад
Hello kaka Naitwa said mhangwa Natokea morogoro Kiukweli naitaji msaada maana Nimepoteza sana pesa mpaka sasa
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 4 года назад
Bro SirJeff kamaliza mentorship jana ilikuwa ni lakimoja tu
@elishaalex1747
@elishaalex1747 4 года назад
@@meddy_upette9511 aise huwa anafanya tu dar bro @menipo Arusha naomba akiwa na plan ya huku unichek boss
@rahelmashamba1890
@rahelmashamba1890 4 года назад
Sir GOD bless You
@jumalihumbo8937
@jumalihumbo8937 2 года назад
Upo vzr sn mzee
@shiftleader5553
@shiftleader5553 4 года назад
How do you deal with taxes. ? How do you claim and pay taxes in Tanzania for trading Forex and other financial market? Thanks.
@NEWMOVIES-ln3gg
@NEWMOVIES-ln3gg 4 года назад
am so excited...brooo
@sebastianikoles3618
@sebastianikoles3618 4 года назад
Bro mimi naisubiri sana hyo video kuhusu ma brokers natamani kujua ni broker gan mzur ambae hana limitation nyingi
@malinarda3873
@malinarda3873 4 года назад
Your good brother
@halifa2599
@halifa2599 3 года назад
Upo vinzuri mungu akulinde maadui
@issabazir
@issabazir Год назад
daah nakubali sana kaka angu issa kutoka bukoba natamani sana kunifunza kuusu forex
@michaelalbertus8672
@michaelalbertus8672 4 года назад
Nawashangaa sana,ukweli ni kwamba jamaa anaeleza yake maana yy ameshafanikiwa,kasoma mjauu awez toa anavyotrade kamwe,ndo tatizo ya walioendelea awez kukwambia anavyopata profit,tunamwona mjanja
@joshuamallya811
@joshuamallya811 3 года назад
great bro.. natamani kukutana na wewe once,,,
@praygodmunuo862
@praygodmunuo862 4 года назад
bro you are nice aisee nakubali kazi zako
@paulntulo4512
@paulntulo4512 4 года назад
Bro asante Sana kwa elimu ambayo unatupatia kila siku.....naomba uweze kuwazungumzia "brokers" ni wapi wazuri na ambao hawafai
@PrinciaEmerusabe-km5mb
@PrinciaEmerusabe-km5mb Год назад
Thank you so much bro
@twahaally1969
@twahaally1969 4 года назад
Imekaa poa sana...
@erisonguonahom6984
@erisonguonahom6984 4 года назад
Nice
@ahmadseki4000
@ahmadseki4000 4 года назад
My kid is 5 na nimeanza kumpigisha Forex at the time ana fika 7 yrs anakua mentor mzuri tu.. hhhahahaa
@Fredrick_Libena
@Fredrick_Libena 4 года назад
Imekaa poa sana shaaaaka Zuluu
@donaldndesaiya6587
@donaldndesaiya6587 Год назад
Great explanation,nakupataje mwanangu?
@edwardgodfrey5665
@edwardgodfrey5665 4 года назад
Asante kwa Video nzuri inayotupa maarifa,Je nawezaje kuanza ku trade ikiwa sijawahi kufanya trading
@kcpokepher5481
@kcpokepher5481 4 года назад
JEFF! How do you do? I had bean studying forex in you tube but till now! I'm not understanding! How I can start to entering to the forex market then! So my brother i have a some request for you! I need your help to teach me! This is my request for you my brother i hope you will! By your friend (KENT)! APPRECIATE TO YOU BRO!
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 4 года назад
Search Channel jamaa anaitwa Nick Shaw kaelezea vizuri Forex how to entry mm nimekuwa profitable kwaajili yake
@kcpokepher5481
@kcpokepher5481 4 года назад
Sawa! Ngoja nimtafute! Thanks Bro!
@kamanda007
@kamanda007 4 года назад
Don't focus on studying forex, just open demo/fake money account then start trading and that's how you are going to learn forex
@ibrahimsabri9437
@ibrahimsabri9437 Год назад
Hii no kweli laki kuwa million
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 года назад
Kizazi
@damaspeter5010
@damaspeter5010 4 года назад
Your so inspiring brother God bless you
@beatricemwita3451
@beatricemwita3451 4 года назад
Kaka jeff naomba msaada wako, nahitaji kujifunza forex na ninataka kumiliki biashara ya forex, naomba unisaidie kwenye mafunzo ili niweze kuanza kumiliki biashara, msaada wako tafadhali
@tawfiqhhgunhbcthabdu8034
@tawfiqhhgunhbcthabdu8034 4 года назад
Akikujibu npitee twend wote
@willyelia820
@willyelia820 Год назад
Naomba mawasiliano yako Boss
@sekigosi4902
@sekigosi4902 3 года назад
Wow👏👏👏👏👏
@happyobeth8599
@happyobeth8599 4 года назад
Hili somo ni somo pana saana wachache ndo wataelewa mie najitahidi kufatilia saana hapa cjaelewa
@henerikos.muhagaze4967
@henerikos.muhagaze4967 Год назад
Hii kitu ilipostiwa around 2yrs ago. Vp kwa sasa as we speak 2023 ikoje, any update please
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 4 года назад
imekaa .poa sana imekaa vizuri sanaa
@tzchannel6314
@tzchannel6314 2 года назад
Nifundishe vizuri
@thomasmathias9204
@thomasmathias9204 Год назад
Good unatisha kiongozi
@josephdamian8743
@josephdamian8743 4 года назад
sir jeff unafikilia nn kuusu future ya biashara ya forex, ? can forex trade jam kama ikiwa na watumiaji wengi?
@susankariuki449
@susankariuki449 4 года назад
I think it can!
@TheHybridTz
@TheHybridTz 4 года назад
FX haiwezi ikafail. Kutokana na watu kuongezeka ,kuongezeka kwa watu ndo kunazidi kuongeza mzunguko wa fedha kwenye forex trading
@leonardmadelemo9104
@leonardmadelemo9104 4 года назад
Nc bro get u well
@Savvyclips7
@Savvyclips7 4 года назад
Uko powa xan bro.....
@yonaeckzaudy9858
@yonaeckzaudy9858 3 года назад
Nakukubali sana bro
Далее
Nilikata Tamaa ya Maisha, FOREX Ikanitoa Mavumbini
23:01
Jinsi ya Kumshawishi Mtu Aliyefanikiwa Awe MENTOR wako
19:28
Mbinu Rahisi za Kutajirika Katika Nchi Maskini
16:00
Просмотров 43 тыс.