Mimi nashidwa hadi kucoment kwanza nimalize hii story 😅😅😅lakini kama umewahi sikia story kaa hii na mkuru......roho safi pitia hapa 👍...hizo vitu zilifanya my aunt akonjolee ndoo for 2weeks ....alipelekwa hadi rwaraka mungu moja ..hii pesa ya haraka aki🙆♂️
Wweeshe papasi nilifunikwa 180K aty ni agent wakupeleka watu canada jobs , kai gukunikuo ni real very real in kenya I like your show papasi nice move great achievement
Exactly what happened to me 2010 aki Muiruri Mungu anakuona u made me sell my tv na kukopa ndio pesa itoshe,finally kukupigia simu uliniambia "mbwa hii usiwahi nipigia" I thank God nili recover after soo long,niliachwa bila ata food ya mtoi kwanza tuoshe pesa.
Woi after kutoka Saudi na nilikua nimekaa three years my real Frind akaniambia story kama hii tuu na akaja na noti ya laki moja akaeka the kwa chupa na dawa ikatoka 1k real akanipa niende nayo nikabuy nijue ni real,,,kwake alikua amezijaza kwa sealing eti hazivai kukaa place kuna baridi,,,,God is Good sikuingia kwa hio mtego
Iyo Deal Nzawai Patana Nayo But I Was To Clever To Lay,Juu Nlimuuliza Wakioza Izo Kindogo Wabuy Iyo Mafuta And So On,lol Uyo Arif Alinichukia But After Alichezwa Ananiheshimu lots
I knew some people from Nigeria and Cameroon doing the same thing. Let me tell 2013 they were caught on the scene they were shot all of them 9 people. Reke ngwire Ngai nimwega ndiahenite mbia iria manjitagia