Kazi nzuri Big up Mh. Mama kwa kubuni namna ya kuongeza kipato cha nchi yetu. Tutumie fursa hii kuongeza tija badala ya kutafuta ubezaji, hakuna jambo litapata 100% kukubalika au kuwa na manufaa, ni kujua tu namna kila familia kufunda watoto wake na kuweka makatazo ya kiimani badala ya kujenga hoja pingamizi.
Nashangaa viongozi wa tz ndege moja ikitua wanaona ni big deal wanatangazaaaaaeeeee mpaka inakera,kwani hamna nambo ya maana zaidi ya kufanya,ujinga huo.
Akili za watz wengi zimeganda maisha yamepanda mitaani huku Hali ngumu umekuja ndege ya mabeberu mtu anakuambia Asante mama akili za kuku hizi anaamka asubui lakini kufunga mlango hawezi Hadi beberu aje kumfungulia 😄😄
@@maryamalli9090 Kwani hao walioleta taarifa wamesema shirika hilo la ndege halijawahi fika hapo znz??,,,kama walishawahi fika kabla kuna kosa lolote wakitangaza kuwa wamekuja tena!!!anatoa komenti kana kwamba hao waliotoa taarifa wamesema hilo shirika halijawahi kabisa kufika znz kabla!!!
Siku hizi utamaduni wa mzanzibari umepotea haswa ni masikitiko kwa kweli hatukatai utalii ila ilikua ziwekwe Sheria za kumdhibiti utamaduni lakini wapi
Haya mlekuwa mnabeza Royal Tour endeleeni na Majungu yenu, Mimi kwa Ushauri wangu achaneni na Chuki na Mh.Mama Samia kwani sisi tunaeona mbali tushaliona kuwa atafanya Mengi sana huko mbeleni hivyo na Nyie mtaendelea kutesa mtajitafutia Maradhi makubwa bila sababu.