Тёмный

NDOA HIZI HAZIKUBALIKI 

Kishki Online TV
Подписаться 307 тыс.
Просмотров 196 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 202   
@sadaabdallah1641
@sadaabdallah1641 5 лет назад
Shukran sana, Allah akujaalie kila lenye kher nawe sheikh wetu
@nusurakajubu8785
@nusurakajubu8785 4 года назад
Jazak Allah kheir sheikhe kusema ukweli ww ndo ulinifanya kupenda mawaidha nakupenda sana
@nusurakajubu8785
@nusurakajubu8785 4 года назад
Ya raab naomba Allah anipe mume mwema na nisiweze kuomba taraka kwake tuishi vizur mpaka tukutane peponi Ameen
@mursalyyahya846
@mursalyyahya846 4 года назад
Nione
@shabanponera2895
@shabanponera2895 4 года назад
Utaolewa Inshaallah
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 года назад
Aamin yarabi
@sabrinajuma9736
@sabrinajuma9736 4 года назад
Amin
@dagilamkwama9625
@dagilamkwama9625 4 года назад
Mungu atakupa nusra kajubu
@mwarimwasema8267
@mwarimwasema8267 Год назад
Mashallah sheikh we2 nurdhin kishki allah akuongoze n utuongoze n ss inshallah
@masoudomar7576
@masoudomar7576 4 года назад
mashaAllah sheikh nurdhin kishki nakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Allah atupe uvumilivu katika ndoa zetu hadi kufa na kuzikana🤲🤲🤲🇰🇪
@tiphasreal3809
@tiphasreal3809 4 года назад
Mashallah shukran Mwenyezi Mungu akuzidishie kwakuzidi kutupa Elimu inshallah
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 5 лет назад
Shukrani sana sheikhe wetu Allah akulipe kila la kheri la shari Akuepushie tumejifunza mengi ktk mada zako mawaidha unayo tutolea Mungu akuzidishie umri mrefu na afya njema uzidi kutuelimisha
@rossetemasaninga9106
@rossetemasaninga9106 4 года назад
Allah akujalie kila la kher dunian na akhera! Napenda mawaidha yko xnaaa
@halimalikutu3790
@halimalikutu3790 4 года назад
We lv u shekhe kishki una mawaiza mazur allah azid kukupa uhai ili uendelee kutuelimisha inshaallah
@marcoshido6429
@marcoshido6429 5 лет назад
Ahsante Kishki kw kutujuza mambo muhimu ktk maisha ytu, ALLAH akupe maisha ndefu uendeleze ihsani
@allamki2661
@allamki2661 4 года назад
Mmi na mwomba uyu shekh ni mwulize ina chuzu kua siri bila familia ya mwana mke kujuwa
@allamki2661
@allamki2661 4 года назад
Tena ina chuzu kutowa talaka siri bila wa toto wake kujuwa ao familia zao wote kijuwa? Naomba unijibu shekh
@habityyabdallahsaidabdalla9459
@habityyabdallahsaidabdalla9459 4 года назад
Masha Allah sheikh wtu may u live along life full of happiness ❣️
@feisalmohammedalifeisalmoh3194
@feisalmohammedalifeisalmoh3194 4 года назад
Masha Allah
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 4 года назад
Mashaallah tabarak allah mungu akuzidishie
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 года назад
MashaAllah shkh...personality yako mavazi yko unavoongea kiheshma na adabu zadini na wapendeza ukisimama juu ya memba misikitini Allaybaarik Yarrab!!
@biashamwinyi1112
@biashamwinyi1112 5 лет назад
jaza yako iko kwa allah shukrani jazila
@mariammdoe8045
@mariammdoe8045 5 лет назад
MashaAllah sheikh wetyu allah akupe umuri mreff
@aishahindoabdallah3122
@aishahindoabdallah3122 5 лет назад
Kweli ndoa hizi zako nyingi za bwana harusi yupo arabuni nduguyake anamuolea subhanallah 😭😭
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 года назад
😟😟😟
@nuruabdallah9143
@nuruabdallah9143 5 лет назад
Jazak Allahu kheir sheikh.
@sanamusa2846
@sanamusa2846 4 года назад
mashaallah kishki
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 года назад
Sheikh Nurdeen Kishki Nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH
@swalehabdallah5856
@swalehabdallah5856 2 года назад
Mashaallah Allah atufanyie usikivu.
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 года назад
@@swalehabdallah5856 Amiin
@abdulswamad3999
@abdulswamad3999 5 лет назад
Allah akbar wish you long life kishi
@QueenMuniiza
@QueenMuniiza Год назад
عليه افضل الصلاة والسلام على رسول الله صل الله عليه وسلم
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 года назад
May Allah bless you always Ameen Yarrab
@nafesamohamed7553
@nafesamohamed7553 5 лет назад
MashaAllah jazakAllah kheri sheikh
@rahmaa.naim.9391
@rahmaa.naim.9391 6 лет назад
Manen kuntu shekh kishki nakukubali%♥♥♥
@milajimzalendo698
@milajimzalendo698 5 лет назад
SHEE Wang je mwanaume kafanya zinaa na mwanamke kapata ujauzito na mwanaume kamua kumuoa he ndoa hii inaswihi
@neemamohamedi8267
@neemamohamedi8267 4 года назад
Shukran sana kwa kutuelimisha vingi tusivyo vifahamu....Allah akupe afya njema ili uzidi kutuletea mawaidha
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 года назад
Aamin yarabi
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 4 года назад
Barakaallahu fiyk Shaikh Kishki, Nawaurumia na kushangaa waumini yaani joto jingi yakaa fun hazitoshi au ni chache mbona wasitoe chochote waongeze fun zingine.
@sundusabdi3222
@sundusabdi3222 Год назад
Allah atuongoze in shaa Allah
@machubaby2328
@machubaby2328 5 лет назад
Jazakallah Kheyr Shukran
@HelloHello-yo5jy
@HelloHello-yo5jy 4 года назад
tunakupenda''sana sheikh wets KWa'ajili''ya'Allah
@jamilahhuseni9982
@jamilahhuseni9982 4 года назад
Nomb
@jamilahhuseni9982
@jamilahhuseni9982 4 года назад
Kuroan
@nadyahassan7924
@nadyahassan7924 5 лет назад
shukran shehe wetu asante kwa mawaidha
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 года назад
Mungu akupe miaka mingi utufundishe zaidi unasema ukweli kabisa
@zalhaally9717
@zalhaally9717 5 лет назад
Jazakallah kheir👏🏾👏🏾
@fatmaobo3703
@fatmaobo3703 5 лет назад
Zalha Ally
@fatmaobo3703
@fatmaobo3703 5 лет назад
Zalha Ally
@zalhaally9717
@zalhaally9717 5 лет назад
Fatma Obo naam
@tumumbwana4172
@tumumbwana4172 5 лет назад
Amin
@abassmashua7293
@abassmashua7293 4 года назад
Allhamdu lillah,rabli aalamin
@khamisbakari7252
@khamisbakari7252 Год назад
Natamani ungekuwa Babaangu
@khamisbakari7252
@khamisbakari7252 Год назад
Ningekuwa Binti mwenyebahati
@fasitakhalifa2208
@fasitakhalifa2208 5 лет назад
Mashaalwah baraka lwah fihii
@zainaally8433
@zainaally8433 5 лет назад
Maashaallah maalim wetu pia baaraka Allah fiiq
@pillymrisho4000
@pillymrisho4000 4 года назад
zaina Ally asalam alyum samahann naomba niulize swali eti kumuhimiza mtu kuhuswa swala je huyu muhimizaji anapata ambi na je mwanaume nae anahuzuru ktk swala samahann kama nitoka nje mada
@saumukenga2096
@saumukenga2096 5 лет назад
Mashaalaah mawaidha mema sheikh kweli mimi niko iraq mkenya wa mombasa hawa Shia kweli waabudu hussein na Ali. Sijawasikia wakitaja mohamed wako tofauti sana
@ayshahams7373
@ayshahams7373 5 лет назад
Saumu Kenga eeeh hata ww umeonaeee tena wanajiona wao ndo wako sawa san swala zao pia tofaut adhana yaan we acha tu
@ayshahams7373
@ayshahams7373 5 лет назад
Saumu Kenga hata mm mkenya Mombasa ila niko bahrain mashia huku pia
@zainabuzainabu4372
@zainabuzainabu4372 5 лет назад
Kweli dada mi pia niko iraq naskia Hussein na Alii
@fatmaobo3703
@fatmaobo3703 5 лет назад
Saumu Kenga on
@jaliashemnyime4870
@jaliashemnyime4870 3 года назад
Shukuran allaah akuhifadhi
@ramadhankatambi5019
@ramadhankatambi5019 4 года назад
Shukrani shehe kishiki
@user412
@user412 6 лет назад
جزاك اللهُ‎ الخیرة
@zahramunir8596
@zahramunir8596 5 лет назад
Jazakallahukheir
@sundusabdi3222
@sundusabdi3222 Год назад
Maa shaa Allah
@zainabnassor1793
@zainabnassor1793 4 года назад
Masha allah umependeza sana cku hii
@muhrajovic752
@muhrajovic752 5 лет назад
Allahu akbar kabiira!!
@JayJay-px6lq
@JayJay-px6lq Год назад
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatu sheikh mimi nilitolewa bila idhini yang mwenyewe na mwanaume nisiye mpenda na wazazi Wang wakanilazimisha kuolewa nae 😭 baada ya mwezi mmoja nilimtoroka yule mwanaume na kutoka kwake lkn wazazi Wang walinirudish tena kwake nilikuw simpendi yule mwanaume hata kidog kbs n wazazi Wang wakawa wananilazimisha kuishi nae n sitaki kuishi nae nakuomba unisaidiy jinsi ya kufanya ss iv mwaka mzima umesha eneya bado t nalazimishwa kurudi kwake lkn sitaki nakuomba unisaidiy je naruhusiw kutafuta mtu mwengine ili aje arudishe mahari yake kwasababu nilikuw sija zaa nae ili anipe talaka 🙏
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 4 года назад
Allah akulipe kwahili unajua kutufundi mpaka tunaelewa
@fatumambwanahamad2309
@fatumambwanahamad2309 6 месяцев назад
Sheik mimi nauliza mumewangu alisafiri kwwnda saudia lakini alipfika huko akaowa nilipomuuliza akasema ameshindwa kujizuiya nitatulie hili swala sheik je ndoa yao imeswii
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 года назад
Mashallah umeelwweka shekhe.
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 6 лет назад
Mash'Alla shukran
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 4 года назад
Mashaallah shekhe wetu kipenzi chawatu yani mm Nakupenda sn namuomba Allah anikutanishe nawe nikuone tu Anko
@bitumusaid6798
@bitumusaid6798 3 года назад
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh...sheikh, je yafaa asoswali kumuoa anaeswali
@msfatma946
@msfatma946 5 лет назад
Mashaallah alhamdullahi
@swafiyamohammad2956
@swafiyamohammad2956 3 года назад
MashaAllah
@QueenMuniiza
@QueenMuniiza Год назад
الله اكبر ولله الحمد
@hassanabdihassanabdi393
@hassanabdihassanabdi393 4 года назад
Man sha Allah
@aminajuma1477
@aminajuma1477 4 года назад
Mashaalla
@fatmasaid5255
@fatmasaid5255 6 лет назад
Allah aKuweke inshaallah
@ahmedally1191
@ahmedally1191 5 лет назад
Shukran Sana shekheee kwa kutufunza
@rauphyasin6020
@rauphyasin6020 4 года назад
Jazzakallah khaira
@rahmanassoro814
@rahmanassoro814 3 года назад
Mashalah shukulani shekhe
@FatmaFatma-kt1or
@FatmaFatma-kt1or 5 лет назад
Shukran shekh
@halimaali1985
@halimaali1985 4 года назад
Assallam allaykum naomba namb ya shekh Nurdin
@suezzylove6495
@suezzylove6495 4 года назад
Allah akuongze sheikh
@massoudsleiman8934
@massoudsleiman8934 4 года назад
H
@fazzufa2two566
@fazzufa2two566 4 года назад
Yarab mwenzi mngu anijaalie ndoa ilio y kheri inxhaallah
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 5 лет назад
Asalam Aleikum.Ramadhan Maqbool...Shekhana Baarakallahu fikum
@shanishany8041
@shanishany8041 5 лет назад
Mashaa Allah
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 5 лет назад
@@shanishany8041 Afwan😊
@nuiasadiki6342
@nuiasadiki6342 5 лет назад
mashaallah shukran shekhe wetu
@ashasimba9437
@ashasimba9437 5 лет назад
Mashallha
@ashasimba9437
@ashasimba9437 5 лет назад
Nuia Sadiki
@rashidmasoud2700
@rashidmasoud2700 4 года назад
Sheikh ivi kuzini na mwn mke thn ukamuowa injuzu ?
@khalidjuma4455
@khalidjuma4455 3 года назад
shukran jazeeerah
@Mariam-tx5pu
@Mariam-tx5pu Год назад
Mashallah 🙏❤️❤️
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 года назад
Maashaallah tabaraqallah
@ramadhanmussa6318
@ramadhanmussa6318 5 лет назад
Ma sha allah shekhe kishki
@fatmaobo3703
@fatmaobo3703 5 лет назад
Ramadhan Mussa is a steve Clarke
@mbapperonaldo9015
@mbapperonaldo9015 2 года назад
Sheikh naitwa rukia nataka kukuuliza je km mwanaumke alieachika Mara Kwanza na tena anataka kuoleka Ni lazima babake hatoe ruhusa ama n yy mwenye anaweza ama Ni mpka ethini ya baba ten na ameachika 🙏🙏 jibuni tathafadali sababu ukuna shida hapo
@MalachilaKavuruzi-xu9zh
@MalachilaKavuruzi-xu9zh Год назад
Mashallah
@WendoJuma
@WendoJuma 5 лет назад
Swadaqta
@abdallahissa2617
@abdallahissa2617 4 года назад
Jazakallah
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kusoma kuandika gusa pich yang hapo kama hautojali
@asmahyahya841
@asmahyahya841 2 года назад
Alhamdulillah
@altafabdulla7742
@altafabdulla7742 5 лет назад
Mashaallah jazakallahlkher
@shahirakhamis7315
@shahirakhamis7315 5 лет назад
Allh Akbar Allh Akbar❤❤❤
@zaidatuurashidi2972
@zaidatuurashidi2972 3 года назад
Ostadh naomba kujua taratibu zakuanzishwa mtoto school ya AL hekma na nikuanzia umri gn? 🙏
@bitumujuma5383
@bitumujuma5383 4 года назад
Nina miaka 27nliolewa na mume wangu wa kwanza tukaachana lkn akakataa kunipa talaka Nina miaka sita sai.. nkapata mume mwengine akataka kuniowa lkn nkamwambia mm sjaachwa akasema ntakuelezea kadhi.. Basi alikaa akasema kadhi kakubali lkn kusema kweli hakumwambia kadhi ndoa ikapangwa tukaenda kuozeshwa lkn katika Ile married certificate ikaonesha kuwa mm sjawai kuolewa kusema kweli alimdanganya kadhi .Je ino ndoa yaswii .. Wallai Sina Raha naona Kama namkosea mola wangu.. jmn nielimisheni
@tvstation6472
@tvstation6472 2 года назад
Smamia lako ujue 'kabla ....
@nnbb8402
@nnbb8402 5 лет назад
Mashaallah shukran sheikh Nurdin
@mtiramohammed8370
@mtiramohammed8370 5 лет назад
swadakta
@aniaashroff9095
@aniaashroff9095 6 лет назад
Manshallah 💜💗💞
@ABAboy-gw7bg
@ABAboy-gw7bg 5 лет назад
Uko sahihi shekh
@NasmaahMahadhi-k6x
@NasmaahMahadhi-k6x 2 месяца назад
Je ndoa ya bila sheh nimeolew kwaanzima mahali yangu sjapew ndoa kafungish Babu kamuulz mwanamme umekubal kajibu ndiy kaulizwa mwanamk kajibu ndiy akasema ndoa imeshapita hakun shehe pesa ya Mahal sijapew hakun Chet Cha ndoa he it nindoa kwel au sikwel
@SalimChikolo
@SalimChikolo 4 месяца назад
Shehe mimi nilibadilisha din kwaajili ya mume wangu tukafunga ndoa sasa kuna ndugu yake hataki mimi niishi na ndugu yake huyo anamtuma mpe talaka huyo mwanamke je nielimishe hapo maana siijui din vizur hichi kitendo kinafaa kweli
@walidhabshy1776
@walidhabshy1776 2 года назад
Aslam aleikum maalim mm nko nji ya Qatar Niko na mwanamke aliye Kenya jee wazekana nkafungiwa ndoa Kwa niaba yangu
@khadijanyambikiye783
@khadijanyambikiye783 5 лет назад
Masha allah
@albertanania3379
@albertanania3379 4 года назад
Mashallhaaa
@khalbabaadan1558
@khalbabaadan1558 4 года назад
We are muslim allhamdullah
@maulidkhamis9017
@maulidkhamis9017 4 года назад
A.aleykum shekhe mm nna swali nataka nikuulize lkn private
@queenfatmaali2142
@queenfatmaali2142 2 года назад
Je ndoa ya wali mkristo ila msichana ni muislamu ina swi
@pikimkapitv5774
@pikimkapitv5774 4 года назад
Maboeluae
@HajraMoses-nj6kr
@HajraMoses-nj6kr 23 дня назад
Shekh kama mtu kaslimu na wazazi wamefariki ndugu waliobaki wakagoma kutoa ridhaa je inaswihi?
@mwajabumatange1477
@mwajabumatange1477 4 года назад
Mashalaa
@aiymahafwah3307
@aiymahafwah3307 4 года назад
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatu samahani naomba kujua mwanamke aliyevunja eda ya kuachwa aeza kuolewa ama mpaka arudie eda yake upya licha ya miaka kadhaa kusonga
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 2 года назад
Waaleykum salaam salaam warhmatullah wabarakatuh haiswih ndoa mpaka amalize Eda ya kuachwa
@rossetemasaninga9106
@rossetemasaninga9106 4 года назад
Assalamu Aleykum. Naomba unisaidie jambo, kuna rafiki yngu kaolewa ndoa ya kiislamu ila walipo pata mtoto mume akataka mwanae awe mkristo je? Hapo kuna ndoa kweli au.
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Shukran shekhe
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 лет назад
Subhallah
@jumakhamis226
@jumakhamis226 5 лет назад
subhanallah allah
@anitaciza7660
@anitaciza7660 5 лет назад
Subuhanallah Shukurani
@fatmaobo3703
@fatmaobo3703 5 лет назад
Anita Ciza the
@fatmaobo3703
@fatmaobo3703 5 лет назад
Anita Ciza ..
@shemakoko7622
@shemakoko7622 6 лет назад
jazak allah kheir
Далее
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 132 тыс.
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
ZINAA NI DENI LA AJABU. SHEIKH KISHK.
39:14
Просмотров 236 тыс.
NDOA BAADA YA ZINAA
11:14
Просмотров 101 тыс.
Sheikh Nurdin Kishki - WASIA KWA BIBI HARUSI 3/3
28:02
KISA CHA WATU WA NABII LUTWI. SHEIKH NURDEEN KISHK
50:40
Jinsi ya kudumisha upendo Katika ndoa Othman maalim.
50:47
UZITO WA SIKU YA QIYAMA | SHEIKH NURDIN KISHKI
46:40
Просмотров 111 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 132 тыс.