Тёмный

NDOA YA SHILOLE NA ROMMY YAVUNJIKA, ROMMY ATHIBITISHA "NAMUACHIA KIJANA MWENZANGU AENDELEZE GURUDUMU 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@Zenny89
@Zenny89 4 месяца назад
Tunamshuku Mama yetu mpendwa Samia..kwa kutupatia sisi vijana wadogo Gurudumu la kupokezana na kulisukuma mbele
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 4 месяца назад
Ndio shida yakuwa namwanamke mwenye jina kubwa
@Mgema001
@Mgema001 4 месяца назад
Ila uchebe alisemaga haya
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 4 месяца назад
Si walimuona ...mchawi muongo
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 4 месяца назад
Si walimuona ...mchawi muongo
@lenniefei6710
@lenniefei6710 4 месяца назад
Wapumbavu tu ndio waliamini ndoa hiyo....Shishi alitaka kumkomoa Uchebe tu ila mwisho wa kwisha kajikomoa wenyewe....Kuwavulia wanaume chupi imekua kawaida sana kwa Sishi, Ushenzi mtupu !
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Kwa shishi wala hakuna kiki yoyote. Shishi akikochoka anakutua tu. Ila Rommy asingemwacha mama watoto wake kutegemea mwanake mwenye mia mbili yake.
@JosephDamasimushy
@JosephDamasimushy 4 месяца назад
Romi mpuuzi kabisa kwaiyo shishi ni gurudumu
@youarehammmi2757
@youarehammmi2757 4 месяца назад
😂😂😂
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 4 месяца назад
Kabsa mashaangaz hawa
@Mgema001
@Mgema001 4 месяца назад
Wapi b levo ba BABA LEVO msemaji wa shishi gang
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 месяца назад
Romy kumbe ulimuacha mke? Haya sasa laana imekupata umetapikiwa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Shishi inakuwaje tena jamani
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 месяца назад
Huyu kaka na nuhu mzuwanda wanatafauti gani? Huyu kaka atapita na mtoto wa shangazi mtakuja kunimbia rommy alikuwa anajiheshim San
@themanofgod7562
@themanofgod7562 4 месяца назад
Hii ndio tabu ya wanawake wenye vipato vikubwa.
@emmadora7848
@emmadora7848 4 месяца назад
Tafuteni Hela wanaume nani kawaambia mwanaume analelewa?
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 4 месяца назад
Jamanieeeeh Kunachai. Shauriyako
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 4 месяца назад
Atafute lishangazi lingine
@FaridaFarida4
@FaridaFarida4 4 месяца назад
Kiki hiyo
@AshaMwamba-v2o
@AshaMwamba-v2o 4 месяца назад
Shishiii utaolewa ndowa ngapiiiiiii
@thamani5842
@thamani5842 4 месяца назад
Wakati
@rehemaomary6631
@rehemaomary6631 4 месяца назад
Kk
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 4 месяца назад
Mkataba Umeisha 😂😂😂😂 Wanawake wa mikoani ndani ya Dar + Umaarufu wa Mchongo mmmh
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 месяца назад
Makubwa haya nyie wadada wabongo wapo vizuri kubadilisha wakaka khaaa 😂😂😂🙌🏻
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 месяца назад
Hakuna kupumzisha moyo😂
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 месяца назад
@@teddygabriel5662 yani utapumzika tukifa kwakweli aisee 😂😂
@youarehammmi2757
@youarehammmi2757 4 месяца назад
😂😂😂
Далее
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
Просмотров 4,5 млн
I Built a SECRET Lamborghini Dealership!
33:02
Просмотров 12 млн
Moving in(II)-PROGRESS ON MY NEW APARTMENT❤️
16:30
Njeri WA muigai WA Njoroge Kumbura ndeto nditu...
3:08
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
Просмотров 4,5 млн