Тёмный
No video :(

NDOTO NA TAFSIRI ZAKE || UKIOTA NDOTO YA MTO || HIZI NDIO NEEMA UTAKAZO ZIPATA || SHEIKH KHAMIS S. 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 426 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#Nasaha_Tv
NDOTO NA TAFSIRI ZAKE || UKIOTA NDOTO YA MTO || HIZI NDIO NEEMA UTAKAZO ZIPATA || SHEIKH KHAMIS S.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@mahmudumsuya3831
@mahmudumsuya3831 7 месяцев назад
MASHAALLAH MOLA akujaale heri
@omanruwi5501
@omanruwi5501 2 месяца назад
Masha Allah
@user-kw7uj3hx2m
@user-kw7uj3hx2m 4 месяца назад
Nimeota nipo nafamilia yangu tunavuka mto mkubwa sana kwa kutumia mtumbwi na tulipo fika ng'ambo tukawaona samaki wengi wa kukaanga
@rashidsaid696
@rashidsaid696 7 месяцев назад
Mashallah
@fatmahussein2146
@fatmahussein2146 4 месяца назад
Shekhe mm nimeota mwanamke kapelekwa na mafuriko mtoni watu wakawa wanamkimbilia kumuokoa.lkn hawakumuona Ina maana gani
@AnnaAmosi-i3l
@AnnaAmosi-i3l Месяц назад
Mara nyingi naota mtoto wangu kasimama kwenye maji maana ake nin😢
@MwasitiOmary-h7b
@MwasitiOmary-h7b 2 месяца назад
Mm nimeota sijajua ayo ni mabwawa au ni madimwbwi maana cijaielew kuwa kulikua na watu weng wanaoga na mm nikawa nachezea tu ya maji baada ya apo wote wakaondka mala kaja kijana moja akasema nikoge nayeye akakoga basi namm nikafanya ivyo gafra tu maji yakakauka nikadumbukia kwenye matope yakanipata mkononi kwenye kiwiko pekee sasa sijui inamaana gani
@KhadijaAbdulySuleiman-su9nr
@KhadijaAbdulySuleiman-su9nr 3 месяца назад
Mimi nimeota mto umepita ndani kwangu unamaji meupe
@SolmSwaleh
@SolmSwaleh 2 месяца назад
aslam aleykum shehe mm nimeota naendesha gari halafu ile gari ikadondoka kwenye mto
@HashimMilanzi-q1i
@HashimMilanzi-q1i Месяц назад
assalaam alaykum mimi shekh niliwai kuota nimetokezea kwenye mto maji yake ni meupe yatiririka na mle ndan yake nkawaona samaki wanakimbia huku na huko maama yake nini?
@FaiYasin
@FaiYasin 16 дней назад
Nini maana ya kuota upo mazingira ya chooni , tena hicho choo kishafu sana tena mirango yote hipo wazi na arufu Kali sana ndani ya hicho choo. Pia Nini maana ya kuota uliefuatana nae unamtuma achukue maji hayo Kwa kutumia dumu.
@user-fe6cw1nt3k
@user-fe6cw1nt3k 5 месяцев назад
Mtomukiwa umejaa nakisha mtu akakuvusha nini maana yake
@SalomeOchala
@SalomeOchala 3 месяца назад
Je Kama mm hapa nliota MTO lakin nliona watoto wakiogelea lakin Maji hayo yalitaka kuwachukuwa uzuri wakatoka Na kuelekea sehemu nyingne huku mwanamke mwngne akiwa anawafuta kuwachukuwa lakin hakuwafkia
@Naju645
@Naju645 2 месяца назад
Hawajibu hata nilitaka kuuliza
@MwanaidyMgonja-ek5ls
@MwanaidyMgonja-ek5ls 4 месяца назад
Shekhe asalam aleikum. Mm nimeota nimetaka chukuliwa na maji lakini nilipambana nikatoka baada yakutoka yalikuja maji mengi sana yakapita kias kwamba nngkuwepo ningechukuliwa maana ya hii nn????
Далее
TAFSILI YA NDOTO YA MTO! Ibn sirin
6:36
Просмотров 10 тыс.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,2 млн
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Просмотров 8 тыс.
ndoto hizi ukiota utapata pesa na mali
27:00
Просмотров 374 тыс.
KISA CHA MFALME NA MCHAWI. SH. MUHARAM MZIWANDA
13:50
Просмотров 129 тыс.