Тёмный

NDOTO Ukiota UNATEMBEA BILA VIATU (peku) au Umeazima VIATU. 

Godfrey Mwalongo
Подписаться 2,2 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

NDOTO Ukiota UNATEMBEA BILA VIATU ( peku) au UMEAZIMA VIATU.

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@faridaiddi104
@faridaiddi104 10 месяцев назад
Ahsantee mtumishi wa mungu mungu atustili Kwa sote 🙏
@fwambamarkd5735
@fwambamarkd5735 2 месяца назад
Mimi niliona ningo nda ya lori nyuma na mwanangu wa kiume lori likasimama tukashuka na ikaonekana kiatu changu kimoja nimekisahau pale na likaondoka
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 4 месяца назад
Amen
@MaryMchome-tn2mi
@MaryMchome-tn2mi 4 месяца назад
Mtumishi wa mungu naomba unisaidie niliota nipo kanisani miguu yangu michafu na nimevaa ndala moja nyingine imepotea.
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 4 месяца назад
Utayari wako kwa mambo ya kiroho hayako vizuri,Miguu ni utayari, ndala ni kuwa safi kwa utayari
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 2 месяца назад
Unashambuliwa utayari wa kumtumikia Mungu ukiwa kanisa ni ili ujione duni Kuwa na utayari mwenyewe kwa kazi ya MUNGU.
@agathemichelle238
@agathemichelle238 6 месяцев назад
Amen amen Asante Mtumishi niliota naona viato vingi mahali pana wene wanavaa zakwao ila mimi nikawa natafuta namba yangu si kupata yaku nienea mana yake nini Nisaidie ili ni elewe
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 6 месяцев назад
Kuna utayari unautafuta kwa eneo au kazi au urafiki kati ya watu ili uwe na watu wengi,au uwe miongoni mwao. Unajulishwa sio sehemu sahihi kati ya hao watu au marafiki kufanana na wewe hapo wanachokifanya au (kukivaa kiatu ni utayari.
@agathemichelle238
@agathemichelle238 6 месяцев назад
@@GodfreyMwalongo-yg7tq Bwana Yesu asifiwe Mtumishi kutokea na iyi tafsiri nikifatilia ndoto ilio Fata nimeona mwenzangu kwa kazi kataka nikojolea ila mukojo wake hukunipata Badae aka kuwa jiwe kunirushia kwa kicwa nikaona nikajiwe kadogo sana hata akawezi ni fanya kitu mana ake nini Nisaidie Mtumishi
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 6 месяцев назад
Kukukojolea, alitaka afanikiwe kinyume kwa kukufanya upoe au upooze usiwe bora kuliko yeye, akaanza kutupa kajiwe, jiwe ni maneno ataanzisha ila wewe utaona ni madogo nguvu yake.
@agathemichelle238
@agathemichelle238 6 месяцев назад
@@GodfreyMwalongo-yg7tq nashukuru sana Mtumishi 🙏
@amanichilemile-fz4dh
@amanichilemile-fz4dh 2 месяца назад
Mtumishi nimeota kwamba nilikuwa nipo na wanafunzi wenzangu,kuna mahali tulitakiwa kuingia ila tulitakiwa kuvua viatu,wakati wa kutoka sikuviona kbsa Kwa sababu ya giza,basi kuna watu wakaniazima viatu sandros chakavu nikavaa na kuondoka,ila moyon nikiwa nasema nitarejea kivitafuta tena kesho, hii ndoto ina maana gan
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 2 месяца назад
Umebadilishiwa utayari ili usipende tena kuendelea na masomo kwa sababu ya mambo ulokuwa huyaelewielewi(giza,na watu walokubadilishia viatu vibovu, ila Mwombe Mungu utapata viatu vyako.
@amanichilemile-fz4dh
@amanichilemile-fz4dh 2 месяца назад
@@GodfreyMwalongo-yg7tq nashukuru mtumishi
@OlivreKimario
@OlivreKimario 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe kuhani wa bwana,nimeota mwanaume ameingia dukan kwangu akaiba hela eti nikamkimbiza nikachukua jiwe kubwa nikampiga nalo lkn hakunirudishia pesa akakimbia,maana yake ni nn mtumishi
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 4 месяца назад
Kuibiwa ni roho za kupoteza kipato au mapato na jiwe ni neno au maneno utashinda kwa NENO la MUNGU mtu anayetaka kukufirisi kukopa,au chuma ulete.
@OlivreKimario
@OlivreKimario 4 месяца назад
@@GodfreyMwalongo-yg7tqasante mtumishi
@mercymjunior9684
@mercymjunior9684 3 месяца назад
Mimi mume wangu alichukuliwa nikamuacha sasa nimeota nimepata mwingine lakini nikiwa natembea nae mimi sikua na viatu maanake nini mtumishi
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 3 месяца назад
Mwingine hatakufaa ndio kutokuvaa viatu. MUNGU anakuonya.
@doreennabwele8612
@doreennabwele8612 11 месяцев назад
😢🙏🙏
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 11 месяцев назад
Barikiwa,!
@kaliminwalukas2966
@kaliminwalukas2966 6 месяцев назад
Mtumishi mi nimeota kunawatu flani wenye wadhifa wamekuja mchungaji anahofu akaitajika mtuwakuongozana na mchungaji kwenda kwenye hicho kikao mimi nika chaguliwa nimejiandaa navaa viatu vinakaa vibaya vingine havinitoshi nimejalibu kuazima havinitoshi naangaika kutafita viatu na mdaunaenda mpaka naamka sjapata viatu naomba nisaidie maana yake nini?
@JasmineDaha
@JasmineDaha 4 месяца назад
Naomba nisaidie mtumishi,nmeota kama mara mbili naota natembea nkiwa na usingizi nmefumba macho hii maana yake nin
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 4 месяца назад
Kutembea umefumba macho, ni hali ya kutotambua mambo yalombele yako na yatakayoupata ulimwengu alosema BWANA YESU mwe macho ni kukesha au kujiombea YESU anasema maana hamuijui siku wala saa ya kujiliwa kwenu, pia kufumba macho ni sawa kwenda gizani. Unakumbushwa uwe unaomba kimoyomoyo hata kama anatembea.
@gracemathias-ub1dj
@gracemathias-ub1dj 7 месяцев назад
Mm naota nimekua kiopofu et nini maana yake
@GodfreyMwalongo-yg7tq
@GodfreyMwalongo-yg7tq 7 месяцев назад
Kuna mambo makuu ya Mungu anakutaka unayoyaoma na anayokutendea maishani usiyapuuze
Далее
Aliyeona viatu Buti/Sandroz kwenye ndoto
10:25
Просмотров 23 тыс.
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
🧙‍♀️☃️💥 #ice #icequeen #winter
00:14
Просмотров 44 тыс.
Добрая весть 😂
00:21
Просмотров 536 тыс.
NDOTO MTOTO UNANYONYESHA MAANA YAKE KIBIBLIA NI Hii.
9:19
KUOTA UKIWA SOKO INA MANISHA NINI?
1:32:44
Просмотров 4,9 тыс.
MAANA YA KUMUOTA TEMBO NDOTONI
13:40
Просмотров 4,4 тыс.
KUOTA NA SHIMO INA MAANA GANI?
26:03
Просмотров 5 тыс.
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24