Huu wimbo naupenda sana na umebeba historia kubwa maishani mwangu. Popote nitakapousikia utanikumbusha tu yale ambayo Mungu amenitendea. Tunamshukuru Mungu kwa kukuinua tunafarijika sana kupitia nyimbo zako Neema. Mungu azidi kukuinua.
Amen My Beautiful sweet Queen 😍😍😍😍😍anafanya njia pasipokuwa Na njia👐hata Coronavirus itapita ila Yesu Ni iko pale pale kufanya njia yakuondowa Coronavirus 😍our Lion King Jesus christ his in control 😍😓😍😍👐👐👐👐 God Bless you sweet sister princess Neema Cizungu.Love you sweet sister 😍
Aksante kwa Mungu kwa gisi anaendelea ku tumisha watuyake, je suis tellement édifié par cette chanson. Sina machaka na amini na mimi atani tendea, ata fungua jia , na kuleta solution kwa itaji zangu
Nyimbo zako zote zinanibariki mpaka nahisi nguvu ya Mungu ikitenda kazi ndani yangu ! Mungu amekubariki kwa jinsi ya ajabu ! Mungu azidi kukuinua Neema Cizungu !!