Тёмный

Neema Gospel Choir - MWEMA 

Neema Gospel Choir
Подписаться 129 тыс.
Просмотров 3,2 млн
50% 1

God is the original definition of good. He is good in and of Himself.
Jesus said in Mark 10:18 “No one is good-except God alone.
God reveals his goodness to us through giving us his son Jesus Christ, through natural blessings and delivers us from distress, breaks the chains of sin that bind us, and turns the night to day.
Enter his gates with thanksgiving and his courts with praise; give thanks to him and praise his name. For the LORD is GOOD and his love endures forever; his faithfulness continues through all generations.
Psalms 100:4‭-‬5
𝗟𝘆𝗿𝗶𝗰𝘀:
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Lord Jesus you are so good we give you praise
(Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa)
(Lord Jesus you are so good we give you praise)
Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa
What you do is good we give you praise
(Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa)
(Lord Jesus you are good we give you praise)
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Be praised forever and ever we praise you
(Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa)
(Lord Jesus you are good we give you praise)
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Splendor and majesty are yours , glory and power belongs to you
(Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana)
Splendor and majesty are yours , glory and power belongs to you
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
(Usifiwe milele na milele twakupa sifa)
Be praised forever and ever we praise you
Ooooh ooooh oooh oooh
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Lord we love to praise your name
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Lord we have reasons to sing your praises
Umetutendea ukarimu mwingi
You have been kind to us
Umetukumbuka wakati wa dhiki
You have looked back on us in the time of distress
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Lord receive our heart's praises
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Lord you are worthy, only you Lord
Ooooh ooooh oooh oooh
On this very first drop 𝗠𝗪𝗘𝗠𝗔 from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Featured Drummer - Baraka Ngowi, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.
Song Written by Samwel Limbu
Credits:
Video, Directed & Edited by: Johnson Amigo
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)
FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo
#neemagospelchoir #gospelmusic #gospeltanzania
𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
Instagram : Neema Gospel Choir
Fecebook : Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
Whatsapp: wa.me/message/3UP76KFADMY4D1
www.neemagospelchoir.org
©2022

Видеоклипы

Опубликовано:

 

10 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,6 тыс.   
@brendammoji1872
@brendammoji1872 Год назад
the first time I listened to this song I was at my lowest moment seeing my daughter on oxygen but this song taught me to thank God in every situation.after listening to this song on repeat for a week my girl was removed from oxygen and we were discharged from the hospital after spending a month and 2 weeks .for sure wacha Mungu apokee sifa za mioyo zetu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Год назад
Ooh Hallelujah, this God is real🙏🏻🙏🏻 Mathew 19:26
@emmanuelmwangoka1740
@emmanuelmwangoka1740 Год назад
Ameen Glory to God!
@phillynzaro6532
@phillynzaro6532 Год назад
​ o99kj9o,
@Trys6254
@Trys6254 Год назад
God is good all the time
@magogelameck1501
@magogelameck1501 Год назад
Amina Yeremia 33:3
@lowasameliyo4027
@lowasameliyo4027 3 месяца назад
Kama umebarikiwa na utumishi wa Hawa ndugu gonga likes za kutosha mpka shetani akondee
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 месяца назад
🔥🔥💪💪💪🤝
@davidchisata618
@davidchisata618 13 дней назад
Fvnhrgn
@WorshipMusic-ym5xv
@WorshipMusic-ym5xv 6 месяцев назад
I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life... Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God.. Hallelujah.❤❤🙏🙏🙏
@carolinemwazi5583
@carolinemwazi5583 5 месяцев назад
God is beautiful and good like that!
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 месяца назад
God is always faithful 🙏
@gaudenciamaghanga
@gaudenciamaghanga 3 месяца назад
Nimependa sana vile wamepeana muda kwa band na wao wakacheza viombo kwa ustadi,.such a beautiful and well arranged song
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 месяца назад
Amen
@chrisdede5363
@chrisdede5363 2 месяца назад
Kabisaaa👏
@alexyohana4708
@alexyohana4708 2 года назад
Nimekuja kisikiliza hu wimbo usiku huu ndipo nilale. Ganga like za kutosha kama unaipenda neema gospel 💕💕💕💕💕
@mcsmile_events185
@mcsmile_events185 2 года назад
Sasa ndugu zangu #NeemaGospelChoir mnapiga mziki mzuri hivi Huku Duniani🙆🏾‍♂️ Sasa huko mbinguni itakuaje??? Kwa Yesu raha sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@butwawestonmwailubi
@butwawestonmwailubi 2 года назад
yani sipatii picha kwa kwelii ni RAHA ndani ya Yesuu.... sisi twapenda kulisifu jina lako .... utukufu ni kwa Bwana@ Mcsmile events Ubarikiwe
@blackqueen3532
@blackqueen3532 2 года назад
Asikwambie mtu kwa YESU RAHA NYIE.......
@l.emusickg1230
@l.emusickg1230 2 года назад
Hata Mimi najiuliza kama wewe aisee hawawatu tuwaache tuu
@albertoalbert5409
@albertoalbert5409 2 года назад
raha uende mbinguni yan nkupriase tu paka JEHOVA anakusamee sins zote
@gladnesssanga1601
@gladnesssanga1601 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 Год назад
After struggling with infertility, God has blessed me with a beautiful, bouncy, healthy baby boy. Thank you God. Your love is amazing. ❤
@johnmabula5735
@johnmabula5735 Год назад
👏
@salomemaleko6890
@salomemaleko6890 Год назад
j
@deogracioustemba2702
@deogracioustemba2702 Год назад
@marygitihaable
@marygitihaable Год назад
Praise him!!!🎉
@tabitherrichard4531
@tabitherrichard4531 Год назад
God is good
@abigaelrotich1317
@abigaelrotich1317 3 месяца назад
Mbona ndo Nimeuskia huu wimbo 2024😢. Great song composition and singing unto our Lord.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 месяца назад
Wow Glory to God 🔥
@neemajames5137
@neemajames5137 Год назад
JAMANI WAPIGA VYOMBO!!!!!! MBARIKIWE
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 2 года назад
Jehova take all the glory!! Very powerful song, everything on point Yesu awainue zaidi.
@fredzuma2722
@fredzuma2722 2 года назад
Amen
@rodahjerop4582
@rodahjerop4582 2 года назад
God bless you Rehema Simfukwe. You are a blessing to this generation and beyond
@ev.mhugohantish288
@ev.mhugohantish288 2 года назад
Alipo sema "come on lemme see you dance" nikakukumbuka kwenye NDIO 🤣 but glory to God
@sadikimanirakiza1313
@sadikimanirakiza1313 2 года назад
wujjkjkiii
@sophiatenywa5345
@sophiatenywa5345 2 года назад
@@fredzuma2722 hm; good you biking;;;
@l.emusickg1230
@l.emusickg1230 2 года назад
Najivunia kuwa mtanzania ......you guy's God bles you more and more 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ibrakomba1336
@ibrakomba1336 2 года назад
Kiukwweli unajua kumtumikia MUNGU na barikiwa nanyi
@Princeloma392
@Princeloma392 2 года назад
Mziki imeenda shule..i love the way they play instruments..vocals on top Mungu awainue kabizaa nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rahabgichere6151
@rahabgichere6151 Год назад
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Ooooh ooooh oooh oooh Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako Umetutendea ukarimu mwingi Umetukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako Umetutendea ukarimu mwingi Umetukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Ooooh ooooh oooh oooh
@alexyohana4708
@alexyohana4708 2 года назад
Gonga like kama unaipenda neema gospel
@rabanphotostudionyakanazi_4115
Nimeipenda hyo ladha,,
@cynthiamuriithi4678
@cynthiamuriithi4678 Год назад
So beautiful ❤️
@beatricewangechi3319
@beatricewangechi3319 10 месяцев назад
Xmas
@GiberlighteJdbudod
@GiberlighteJdbudod 9 месяцев назад
So nice
@derrickkiptoo1918
@derrickkiptoo1918 5 месяцев назад
Naipenda. Moto kama ironbox
@eunicegitau8903
@eunicegitau8903 2 года назад
I can't get enough of this song wow God bless you more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏
@marselinadena7618
@marselinadena7618 Год назад
kama duniani ni hivi, mbinguni itakuaje, Acha nikaze mwendo 😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏
@user-mp1ep1en5q
@user-mp1ep1en5q Месяц назад
Jmn wapiga vyombo mnanikosha aise peweni ulinzi Kam unawakubali like zangu plz🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@pandoemmanuel2051
@pandoemmanuel2051 Год назад
Sikujua kama ndo nyinyi mliimba wimbo huu. Leo nimejua na mmepanda viwango vya Juu. Kazi nzuri, inabariki, inagusa na inaamsha amsha.....! f
@pandoemmanuel2051
@pandoemmanuel2051 Год назад
I am happy for you.....!
@msmollel
@msmollel Год назад
This song is worthy to have 10 Million PLUS viewers, As Christians, we have to support our gospel Artists. I ♥♥♥ This song
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Год назад
Amen
@miriamelphasy9427
@miriamelphasy9427 Год назад
I'll sponsor this song the whole of Dec insta na FB 🔥🔥🔥 we all need to realize and appreciate what Gods been doing for us wether we asked or not but he still did us good why not praise him and remind others to ... We doing the on Dec 2022 ❤️
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Год назад
Wow. Glory to our good God. Can you please contact us via whatsapp number +255 766 777 288 Thank you and God bless you!
@febianandunguru8054
@febianandunguru8054 Год назад
I like your song but the most is drummer and the base guitar 😃😃😃😃😃😃🖐
@vickyayo8712
@vickyayo8712 Год назад
I love Neema gospel,Ninabarikiwa sana na nyimbo zenu,Mungu awatunze
@lindandyetabula4683
@lindandyetabula4683 4 месяца назад
Manibariki sana nyie watu wa Mungu aiseee wacha nisufu tu💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽Au nije kuimba kabisaaa….mnanifanya nazidi kumpenda Mungu …mbarikiwe mnoo kwa kunibariki na huu wimbo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤝🤝
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@mrrumishasandi8848
@mrrumishasandi8848 Год назад
Top entry ya wedding Song especially pale beats zimeenda kuisha pale anasema one more time
@nassra4400
@nassra4400 2 года назад
Nawpenda Sna Kutokaa 🇴🇲 Mungu wa Mbinguni Awabaliki kila It wapo leo
@felixobare8135
@felixobare8135 Год назад
the musicians are superb i love the music hongera kwenu neema gospel choir ubora wa kazi unajieleza
@dorcasesmeralda369
@dorcasesmeralda369 Год назад
😭😭😭aki huuu wimbo nimeutafuta, I'm happy now🙌🙌🙌
@lukishdasinger6865
@lukishdasinger6865 2 года назад
Ghai watazania muko juu bana that chemistry of instruments is legit🤭🤭👌perfecto listening from Kenya
@nsimiremparanyifrancine1789
@nsimiremparanyifrancine1789 2 года назад
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@lameckjohn4362
@lameckjohn4362 2 года назад
Mungu aendelee kuwainua NGC Kazi nzuri.
@omarylijoro6346
@omarylijoro6346 2 года назад
Nawapenda Sana mpaka naumwa 🥰🥰 mnanibariki sana kwa kila mfanyalo me napenda Mungu azidi kuwainua na kuwabariki kila momaja wa kundi hili
@danielmdm9339
@danielmdm9339 2 года назад
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html 🙏🙏
@mtangag774
@mtangag774 2 года назад
mwezi wa pili kwangu umekuwa mzur huku simfukwe na ndo huku neema gospel na saiz tuko na essence na ipyana soon anatoa we hatar sana mbariikiwe jaman
@simonbilong5013
@simonbilong5013 Год назад
im from malaysia...eventhough i dont understand the language...but i can feel my soul and spirit dancing in joy!!!!
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir Год назад
Amen 🙏🏻
@perfectkadewele312
@perfectkadewele312 Год назад
wow
@bhokemkami4901
@bhokemkami4901 2 года назад
Umetundea ukarimu mwingii umeyukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu😍😍
@gracejoy8358
@gracejoy8358 2 года назад
I can't get enough of this song! It's on replay mode, Yesu asifiwe. receive all the love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 года назад
Amen... Thanks for the love ❤️
@danielmdm9339
@danielmdm9339 2 года назад
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html 🙏🙏🙏
@TapuwaAlishdamba
@TapuwaAlishdamba 3 месяца назад
same here
@vickymoshi6038
@vickymoshi6038 5 месяцев назад
Bwana Pokea Sifa na Shukurani zetu..❤
@magogelameck1501
@magogelameck1501 Год назад
Asante Mungu Kwa kunikumbusha kulisifu Jina lako Ahsante Mungu Kwa kuendelea kunibariki ntakuwa Mwaminifu kwako kupitia Jina la YESU KRISTU MWANA WA MUNGU ALIYE HAI Amina
@israelthomas8621
@israelthomas8621 Год назад
TANZANIA My homeland nakupenda nalikutukuza kina la bwana kwa sababu yako Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@geofreyjoseph5723
@geofreyjoseph5723 2 года назад
Nyimbo inautukufu miziki Imelia aisee Hakika utukufu kwa Mungu aliwawezeshaa kufanyaa hii kitu❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 года назад
Amen
@maureentum6957
@maureentum6957 7 месяцев назад
I first heard this song on TV one sunday when I was prepping to leave the house for the hospital, as usual. Mama was admitted at St. Luke's Hospital and I had taken leave from work to take care of her. I remember I didn't know what day of the week it was coz my head had been all over, I was super stressed and had no one to talk to. Anyway, listening from 2:12 had been my get away... reminds me of St. Luke's, along the river down there, I used to go there and cry out loud, the river would always mask my cries. She passed on. I'm still confused. I'm still crying.
@ronniemalima6325
@ronniemalima6325 5 месяцев назад
Dont be confused ,this song is a reminder that in every circumstance that we are passing through good or bad our Hearts should be grateful to GOD for HE knows whats best for us ,PRAISE GOD and may HE heal your heart from the pain your passing thru concerning the passing of your mother,it is well dear!! Romans 8:28 [28]And we know that all things work together for good to them that love God, to them who are the called according to his purpose. @maureentum6957
@FrestersRecords
@FrestersRecords 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥 Thank you Neema Gospel Choir for working with Frester's Records
@odykajura8624
@odykajura8624 2 года назад
Unatisha sana mkuu
@exaudkasegezya3564
@exaudkasegezya3564 2 года назад
Mmeleta Mapinduzi ya Mziki wa Injili. Tulidhani quality music ni kwenye secular tu. Now Iko ndani ya Yesu. Mungu awatie nguvu sana Frester's Record ⏺️
@DrNeemaBalige
@DrNeemaBalige 2 года назад
Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yako kaka yangu🙌🏾🙌🏾
@lawrencegeorge2986
@lawrencegeorge2986 2 года назад
Frester record management mko vizuri......Masanja ubarikiwe Sana kazi ya mikono yako inaonekana katika ubora na viwango vingine
@ishallazachary2099
@ishallazachary2099 2 года назад
Kazi nzuri Frester,nawarecommend worldwide in gospel production,we are proud of you guys-Zack from Mombasa Kenya
@user-dw4td9ci1s
@user-dw4td9ci1s 6 месяцев назад
Nawa penda sana toka Bunia D.r congo Bunia.
@user-sl4hy9jl1w
@user-sl4hy9jl1w 5 месяцев назад
Mungu azidi kuwainua sana Salaam kutoka AIC Central Choir Igunga Tabora
@zaramusic1161
@zaramusic1161 2 года назад
OMG!!!🔥🔥🔥 I don't want to miss heaven if this is just a snippet of the joy we will have in heaven ❤️❤️❤️ God help me this is faiyaaa guys🔥🔥
@hellenlugomi5016
@hellenlugomi5016 2 года назад
😍😍😍❤️
@teddierich1900
@teddierich1900 Год назад
🥰🥰
@jaynewangui5055
@jaynewangui5055 Год назад
& it will b singing, praising and worshipping God with the heavenly hosts through out...Glory be to God. Let me practice while in my youth 🔥
@nimocarol6335
@nimocarol6335 Год назад
This was my exact thought while I was listening to this song
@tabithasusan1271
@tabithasusan1271 2 года назад
I am so blessed by this choir. Tz nyinyi mumebarikiwa kuimba nyimbo za ibaada zenye upako.
@naumibrown5130
@naumibrown5130 2 года назад
Kazi yenu njema mungu awakumbuke mimebwrikiwa kupitia wimbo huuu mbarikiweee Sanaa tena sanaaa
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 года назад
Amen... Ahsante sana.. na Ubarikiwe pia
@danielmdm9339
@danielmdm9339 2 года назад
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html 🙏🙏🙏
@ngarukiyeeveque8881
@ngarukiyeeveque8881 2 года назад
Hallelujah nimebalikiwa sanaaaaa....
@Ezekielgeorge-zp5pl
@Ezekielgeorge-zp5pl 21 день назад
Me nawakubali sana jana kwamkapa mkutanoni mlitubaliki sana❤
@dinamalicegs5675
@dinamalicegs5675 2 года назад
Siishiwi hamu yakusikiliza. Na kinanda kimekolea haswa. Hakika Bwana pokea sifa. Love yu Jesus❤
@samuelkamotho4958
@samuelkamotho4958 4 месяца назад
The drums, the voices, the soloist, the singers , the crowd and all the instruments. Zote ni stima
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 месяца назад
Amen
@samuelkamotho4958
@samuelkamotho4958 4 месяца назад
God help me not to rush my preparation and maturity season and when I go the marketplace help me be valuable fruitful, nutritious and most importantly glorify your name
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 4 месяца назад
Amen
@abigaelkiprop8960
@abigaelkiprop8960 2 года назад
Aki Mungu! najua umetabasamu tu....hii sifa yoote ni yako tu, chukua! This is wonderful worship worshippers of God! Your synesis was perfect.
@alexyohana4708
@alexyohana4708 2 года назад
Neema gospel mnanikosha mbaka naogopa 💕💕💕💕🇿🇲🇿🇲
@dianaminja3175
@dianaminja3175 Год назад
Asante Yesu kwa kunifikisha 2023 naomba ukajibu ombi langu nafuta kila kizuizi kinachozuia.Bwana Yesu wewe ni mwema
@bettymlaki9669
@bettymlaki9669 2 года назад
Nimepita tena leo, Bwana ni mwema. I can't have enough of this song
@Aggrey2107
@Aggrey2107 2 года назад
Wow... Kila Kitu Hapa Ni World Class Standard. Huchoki Kungalia, Kusikiliza Na Kupata Burudani Ya Aina Huku Ukitafakari Ukuu Wa Mungu. Production Team Imetupaisha Kwa Viwango Vingine. Ni Sehemu Chache Unaweza Kupata Live Performance Ya Aina Hii. BARIKIWENI Sana. Camera Setting, Lighting Ana Above All Sound I Love Every Bit. Huu Ndio Uzuri Wa Kuwekeza Na Kugawana Vipaji Kwenye Team. Heshima Kwenu Nyote Hii Kwangu Imelipa
@DrNeemaBalige
@DrNeemaBalige 2 года назад
🥺🥺🥺how glorious is this??? Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is blessed!! Glory to God
@frankdassa882
@frankdassa882 8 месяцев назад
haleluyaaaaa
@senior_m
@senior_m Год назад
Gospel ya Tanzania iko level 1,000 out of 10 ...much love from 🇩🇰
@vicentmeshack7612
@vicentmeshack7612 Год назад
BWANA sisi twapenda kulisifu jina lako,umetutendea ukarimu mwingi,umetukumbuka wakati wa dhiki,BWANA POKEA SIFA ZA MIOYO YETU,mashiri yenye mguso wa ROHO WA MUNGU.
@zakdiscoveries
@zakdiscoveries 11 месяцев назад
This is what we call real praising and worship the king of kings(Jesus christ)
@josephatmasela7480
@josephatmasela7480 2 года назад
Wow i like this choir and i vote them as the best choir in East Africa iam in Nairobi Kenya
@jescacheyo1329
@jescacheyo1329 2 года назад
Hii kwaya na huu wimbo mtapata special performance mbinguni Hallelujah I can't wait to see you in Heaven💃💃💃.. Mbarikiweee sanaa
@evodiaaloyce3670
@evodiaaloyce3670 2 года назад
Naunga mkono
@leahjamess9359
@leahjamess9359 2 года назад
Huuu uimbaji wa level nyingne aisee,God bless you Neema
@annasilayo1405
@annasilayo1405 Месяц назад
Mimi jana niliusikia kwenye gari leo nimeupata nimeinjoy sana mungu awabariki
@MiriamSagini
@MiriamSagini 2 года назад
Amazing voices! Amazing musicians! What a groovy bass player! What a song! You are all blessed! Love from 🇰🇪.
@israelthomas8621
@israelthomas8621 Год назад
You're welcome our dearest neighbor
@davidmulandi3448
@davidmulandi3448 2 года назад
Awesome!! Great music 🎵🎵🎵🎵🎵... Tanzania is blessed 🙏🏽 love from 🇰🇪🇰🇪. Oh oh oh oh!
@bahatimasawe704
@bahatimasawe704 2 года назад
Safi sana vijana wa Yesu mpo vizuri sana Mungu awaweke sanaaaa
@mil-gospormd8lk
@mil-gospormd8lk Год назад
Mubarikiwe watumishi wa Mungu 👏📖 comment from Zimbabwe-Harare 🇿🇼
@joshuamwasuluka1469
@joshuamwasuluka1469 2 года назад
Drumist was on point 1000%. Glory be to thy Lord🙌
@huberthendry1953
@huberthendry1953 2 года назад
Tanzania is blessed ... Mungu endelea kutumia watu wako 🇹🇿🇹🇿
@hellenlugomi1403
@hellenlugomi1403 2 года назад
🥰🤗
@joasitz9559
@joasitz9559 2 года назад
Fantastic 🤗 🤗 🥰🥰🍒🍒🍒🍓
@marymatenga4038
@marymatenga4038 2 года назад
Indeed
@pastorcj8481
@pastorcj8481 2 года назад
I’m proud of TZ
@agneskisoma8924
@agneskisoma8924 Год назад
♥️♥️♥️♥️♥️
@faithmusyoki5998
@faithmusyoki5998 Год назад
This is so me..🙏🙏🙏Wapi likes za wakenya kwa amani tuliyo nayo...Tuna sababu ya kumshukuru hasa wakati huu tulikua tunasubiri kuapishwa kwa rais wa nchi....Peace..Peace..Peace 🙏🙏🙏
@joshuawenceslaus2466
@joshuawenceslaus2466 2 года назад
Umenitendea ukarimu mwingi🥺😭🥰 I feel like crying..
@athertonwisdom5442
@athertonwisdom5442 2 года назад
something about Tanzania oh my goodness you people are blessed the quality coming out of this nation woow....much love from Kenya
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏🙏
@princessdiana1078
@princessdiana1078 Год назад
Atherton wisdom we are humbled
@adhaerongo
@adhaerongo 2 года назад
Drum Drummer Drummest... Big up man.. Kazi safi..
@rahabumwakagugu8024
@rahabumwakagugu8024 Год назад
Napenda Sana huuu wimbo Mungu awabariki
@jacklineshomari7625
@jacklineshomari7625 2 года назад
Oooh nice nice jina la bwana litukuzwe milele
@mamapraise9382
@mamapraise9382 29 дней назад
Bwana pokea sifa za mioyo yetu maana ni wewe tu wastahili!!! Halleluyah
@livalinkulola2782
@livalinkulola2782 Год назад
hakika wewe BWANA YESU ni mwema ninakupa sifa daima na milele
@sanggroupofcompanylimited.
@sanggroupofcompanylimited. 2 года назад
Aiseee mungu wa mbinguni awabariki nyie mnajua sana
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏
@peaceglorynaaman1472
@peaceglorynaaman1472 2 года назад
Kila nikiingia RU-vid lazima niusikilize huu wimbo Mungu awabariki it's my favorite song
@AshubweChelsea
@AshubweChelsea 2 года назад
What the Lord is doing in Tanzania's Churches is beautiful to see
@denisfabianmboya6326
@denisfabianmboya6326 2 года назад
Bwana Umetutendea ukarimu mwingi, i love the solo, drums na taraumbeta a best song live performed so blessed
@petermlapa8746
@petermlapa8746 2 года назад
Yan ad wasauz wenyew hawaon ndan,, Hii ni kali haijawah kutokea bongo,,,,,,
@oliverkindole8529
@oliverkindole8529 Год назад
Hivi viwango ni vya kimataifa, mnaimba vizuri sana mbarikiwe
@sellystalkshow7499
@sellystalkshow7499 Год назад
Looking for something like this in Kenya, somewhere you just go and lose yourself before the Lord and let it flow, may the Lord bless you Neema choir, you are doing an amazing job
@shikumunyoro5566
@shikumunyoro5566 Год назад
The singers, dancers, soloist and the band the whole set is a master piece. Can't get enough of this Song. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@carolmwangi1957
@carolmwangi1957 2 года назад
This is a foretaste of what will be happening in heaven ,oh how glorious is you our Lord 🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ianmarangu3233
@ianmarangu3233 Год назад
I surely don't wanna miss heaven if this is a snippet of what to get there
@IANDEZ585
@IANDEZ585 6 месяцев назад
The instrumentalists🔥🔥
@NumberOneProductions
@NumberOneProductions 2 года назад
Haya mambo tuliyasubiri siku nyingi
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
@khadijajuma2629
@khadijajuma2629 2 года назад
Big up Neema gospel much❤️❤️❤️❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PLUGTVKENYA
@PLUGTVKENYA 2 года назад
Huu wimbo una upako wa ajabu.. Tanzania is blessed indeed
@alicesika8843
@alicesika8843 2 года назад
Wow...!!! A glorious dance, glorious voices, glorious vocals , glorious words to the glorious holy one of Israel....pokea sifa Baba. 👏👏👏 Tanzania. Lot's of love from 🇰🇪.
@benmparanyiofficiel9988
@benmparanyiofficiel9988 2 года назад
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html God bless you more!🙏🙏
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 2 года назад
My Tanzania kuna vipaji jaman asante Mungu.
@phrankonyango4895
@phrankonyango4895 2 года назад
The joy is overwhelming,waimbaji wako sawa kabisaa, instumentalists are all experts. Big love from Kenya
@titopg5299
@titopg5299 2 года назад
Echoing “Bwana pokea sifa za mioyo yetu,” in profound gratitude🙏🏽😭😭
@elidaalex5371
@elidaalex5371 2 года назад
Ad nakosa cha kucomment ..Mungu awabariki sana watumish ...nmebarikiwa sana pia
@ishallazachary2099
@ishallazachary2099 2 года назад
Kazi nzuri Freddie Masanja,Kepha,Quilian and entire Neema Gospel choir...kasalsa kameweza tena sana
@ishallazachary2099
@ishallazachary2099 2 года назад
@@danielmparanyi kazi nzuri,ujumbe mzito i liked how you started then song,ukapanda na tones,great work...keep the fire burning...i've liked,shared to friend as well as subscribing,keep the fire burning br!
@phiniasshadrackl9601
@phiniasshadrackl9601 2 года назад
Wimbo mzuri sana, Mwenyezi Mungu aendelee kuwatumia kwa viwango vya juu kabisa, Mbarikiwe sana.
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 2 года назад
Kwa Mara ya Kwanza nmewaona na kuwasikia live mbez Luis kkkt sifa langon we are 🔥 Mungu aendelee kuwatumia
@gracekwadhi6991
@gracekwadhi6991 2 года назад
🙏 Pokea sifa ya Mioyo yetu Bwana,,,nabarikiwa Sana ninaporudia rudia kuitazama
@danielworshiper6002
@danielworshiper6002 2 года назад
😭😭😭😭 MUNGU NI MWEMA SANA KWANGU .... NGC MUNGU AWATUNZE NA KUWAINUA
@olesterleonard9737
@olesterleonard9737 2 года назад
Utukufu wote ni kwa Baba...hatuna neno zaidi ya Asante na kurudisha sifa katika kiti chake cha Enzi. GOD bless you 🙏
@norahphilemon9555
@norahphilemon9555 Год назад
Mungu azidi kuwainua wimbo umenibariki hakuna kama wewe Mungu unanikumbuka nyakati za dhiki na maumivu asante Yesu wangu 👋
@iammichaellukindo
@iammichaellukindo 2 года назад
I saw this for the first time and my soul enjoyed alot.
@danielmdm9339
@danielmdm9339 2 года назад
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-9uJYAtHEXR8.html 🙏🙏🙏🙏🙏
@josephzacharia129
@josephzacharia129 Год назад
Wangapi tunatamani wimbo ufunge mwaka ukiwa na viewers two million ???
Далее
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir - Temporary
8:39
Просмотров 1,9 млн
НЕ ПОКУПАЙТЕ ЭТО!
00:29
Просмотров 32 тыс.
Как выжить на 1000 рублей?
13:01
Просмотров 544 тыс.
Unaweza - Neema Gospel Choir
8:19
Просмотров 709 тыс.
Essence Of Worship ft Gladness Siyame -Wewe ni Baba
9:55
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 138 тыс.
Janona
4:09
Просмотров 676 тыс.
Асфальт
2:51
Просмотров 681 тыс.