Тёмный

Neema Gospel Choir - Tubariki leo (Lyrics Video) 

Neema Gospel Choir
Подписаться 158 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

"Na Mungu anaweza kukubariki kwa wingi, ili katika mambo yote, kila wakati, ukiwa na kila kitu unachohitaji, utapata kwa wingi kufanya kazi njema zote." "Bwana alikaa juu katika gharika, na Bwana anakaa kama Mfalme milele. Bwana atawapa nguvu watu wake; Bwana atawabariki watu wake na amani."
"And God can bless you abundantly, so that in all things at all times, having all that you need, you will abound in every good work." "The Lord sat enthroned at the flood, and the Lord sits as King forever. The Lord will give strength to His people; the Lord will bless His people with peace."
Songwriter & Composer: Samuel Limbu
Leader: ⁠Glorie Kazadi Mutombo 🇨🇩
Video Editor: Enock Magwesela
Song lyrics
Ulisema hautatuacha kamwe
Ulisema hautatuacha kamwe
Hadi mwisho wa dahari
hautatuacha kamwe
Ulisema hautatutupa nje
Ulisema hautatutupa nje
Kila ajae kwako eeh hautamtupa nje
Baba tunaomba utubariki Leo
Tumeng'ang'ana nawe utubariki Leo
Hatuna mashaka na wewe
Mungu unafanya mambo yote
Kwa Utukufu wako,
Kwa Utukufu wako
Twatazamia baraka za rohoni na mwilini.
Hazitakawia twazingoja,
Baraka zi malangoni
Malangoni
Baraka zi Malangoni.
Hatuna mashaka na wewe
Mungu unafanya mambo yote
Kwa Utukufu wako.
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org
©️2024

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@NaomRaphael
@NaomRaphael 3 месяца назад
MUNGU awabariki nyote kwa kazi nzuri🥰❤️❤️❤️
@beblessedwithgospellyrics1
@beblessedwithgospellyrics1 4 месяца назад
❤❤❤❤
@andrewhilary4380
@andrewhilary4380 5 месяцев назад
Mbona odiva hamjaindikaaaaa
@angelwilly-go8td
@angelwilly-go8td 4 месяца назад
Hadi mwisho wa dahar hautatuacha kamwe❤❤❤❤❤
@MarcoMasabo-nd2wp
@MarcoMasabo-nd2wp 5 месяцев назад
Unayesoma comment hii ubarikie AMINA
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 5 месяцев назад
Amen
@mixbytamie
@mixbytamie 4 месяца назад
🔥🔥
@RebeccaNiji
@RebeccaNiji Месяц назад
Dsosiiep😅t😂 I quite literally just e 😂
@masebomusic
@masebomusic 5 месяцев назад
aloo🥰
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 5 месяцев назад
🔥🔥🔥
@paulolupaso8054
@paulolupaso8054 5 месяцев назад
Hilo neno analosema hapo mwanzoni.. sijui oliva😊 nisaidieni
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 5 месяцев назад
Neno ni "On y va" Asili yake ni kifaransa likiwa na maana ya 'Let's Go' au 'Here we go' kwa lugha ya kingereza na kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Twende" 🤝
@paulolupaso8054
@paulolupaso8054 5 месяцев назад
@@NeemaGospelChoir asanteee.. *on y va*🤩
@perisnafulawanyonyi8737
@perisnafulawanyonyi8737 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 5 месяцев назад
Brilliant ❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 5 месяцев назад
❤️🙏
@NaftaliKalimwayaofficial
@NaftaliKalimwayaofficial 5 месяцев назад
Hawajamaaa hataru sana❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 5 месяцев назад
🔥🔥🔥🙌🙌Utukufu kwa Mungu
Далее
Neema Gospel Choir - Tubariki Leo (Live Music Video)
5:58
NIKUREJESHE Lyrics-NGC 🇹🇿
9:54
Просмотров 80 тыс.
КАК БОМЖУ ЗАРАБОТАТЬ НА ТАЧКУ
1:36:32
Neema Gospel Choir - Temporary
8:39
Просмотров 2,2 млн
TUBARIKI LEO LYRICS -- Neema Gospel Choir
5:52
Dr Tumi__WAKUABUDIWA__ ( lyrics) video _-_live
10:19
EPAFRODITO KECHEGWA-uinuliwe Lyrics Video HD 720p
5:06
Bado Ninakuamini
11:23
Просмотров 26 тыс.
Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)
7:41