Bro kazi nzuri unafanya naomba nishauri kidogo ...content zako changanya sana swahili na Englsh ili ata watu wa uku nyumbani waweze kuelewa vzr na kufuatilia... Pili base sana kwa wabongo kuanzia life styl yao,mikasa pmj na misukosuko ya uko,beach boys n.k