Kwaya ya Uinjilisti Forest wakiimba LIVE (Mubashara) wimbo Nentula Nongwa, hilo jina wa lugha ya Kinyakyusa, maana yake Mimi Mkosaji, Wimbo uliimbwa tarehe 15/2/2020 tukiwa na wageni toka Dar es salaam Kwaya ya Efatha. Siku hii ilikuwa ni ya kuazimisha miaka 13 ya Uinjilisti Forest choir iliyofanyika tar 16/2/2020. Tarehe 15 ilikuwa ni siku ya uimbaji tu kuelekea tarehe 16
4 мар 2020