Тёмный

New LOVE💔Old Wounds:A Single Father's Journey // Baba Olivia Episode 11 

Henry Mwakajumba
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 405 тыс.
50% 1

Angalia Tamthilia yote hapa. www.pendwa.app...
Katika Kipindi cha 11 cha "Baba Olivia," Athour na binti yake Olivia wako njiani kuelekea kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Janet. Wanapokuwa njiani, wanakutana na wakazi wa kijiji mbalimbali, kila mmoja akiwa na malalamiko na pongezi zao. Miongoni mwao ni mwenyekiti wa kijiji, ambaye anamshauri Athour kwa njia isiyotarajiwa kuhusu siku zake zijazo. Sherehe inachukua mkondo usiotarajiwa pale mgeni wa kushangaza anapowasili, na kusababisha tukio la kusisimua na la hisia kali. Usikose kipindi hiki cha kuvutia kilichojaa hisia na mabadiliko yasiyotarajiwa!
.………………………………………………………………….
In Episode 11 of "Baba Olivia," Athour and his daughter Olivia are en route to Janet's birthday celebration. Along the way, they encounter a variety of villagers, each with their own mix of complaints and compliments. Among them is the village chairman, who offers Athour some unexpected advice about his future. The party takes an unexpected turn when a surprise guest arrives, leading to an intense and dramatic moment. Don't miss this captivating episode filled with emotion and unexpected twists!
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
/ henrymwakajumba
#BusinessTips #FatherDaughterDuo #Entrepreneurship #SmallBusiness #Gabozigamba #BabaOlivia #BusinessLessons #Inspiration #FamilyBusiness #motivation

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 2 месяца назад
Gabo tunakuomba utusikirize watanzania wezako sisi ndo tunakupa sapoti tuomba jambo moja kutoka kwako tunajuwa km hunamambo mengi yakufanya vitu vingi rakini tunamba hii move ya baba oIivia tunaomba ututoree kwa wiki mara2 tunakupenda sana sana km kunawatu wanataman km ninavyotamani mimi nipeni Iike🎉🎉🎉 ata 20 asateni nawapenda
@NishaMussa-os4np
@NishaMussa-os4np 2 месяца назад
Jamani move hiii ninzuri mno tunapendakazi zenu nzuri lakini tunaomba tupochini yamiguu yenu angrau Kwa wiki mtutolee episode mbiriii tafadhari wanaounga mkono gonga like hapa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Yote inapatikana hapa www.pendwa.app
@AbduliMaulidi
@AbduliMaulidi 2 месяца назад
Halifunguki hilo link halifanyi kazi​@@henrymwakajumba
@LovenessMcDonard-uy3xr
@LovenessMcDonard-uy3xr 2 месяца назад
Kabisa angalau ata 2 kwa wiki
@kishanakamendu8160
@kishanakamendu8160 2 месяца назад
Haipo mwisho ilikuwa February 2021​@@henrymwakajumba
@NishaMussa-os4np
@NishaMussa-os4np 2 месяца назад
Kunamaelezomengi hatanamna yakujiunga ngumusana
@faizhassan5029
@faizhassan5029 2 месяца назад
From+254🇰🇪 Nipeni likes zangu Wasee Kutoka Kwa Tamthilia hii pendwa ..... always number one1️⃣
@MERCY254-l3b
@MERCY254-l3b 2 месяца назад
Pokea nimekupa 😂❤
@Hassansadick-pv7tb
@Hassansadick-pv7tb 2 месяца назад
duuuuh wahshen asa nimeona umakin wa gabo zigamba,,,(baba olivia) ok kama mnamkubali gonga like hapa tujuane
@HusseinMsangazi9
@HusseinMsangazi9 2 месяца назад
Leo nasimama kama kijana wa hovyo 🤣🤣🤣🤣🤣 nilivowaza kwa baba Olivia na madam ni vile vile ilivotokea 👍👍 like 💯💯💯💯
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 2 месяца назад
Yaani kuekti kugumu kumbato so mchezo😂😂halafu Janet mzur
@imanibeats99
@imanibeats99 2 месяца назад
Kusubili kwote nimechelewa kuwa wakwanza ila nipen like zangu😊😊
@rajabuhamisi3872
@rajabuhamisi3872 2 месяца назад
olivia aiseeee.. uwe unapiga hodi... all in all BLOCK BUSTER this play.
@TemalwaAllen-m3z
@TemalwaAllen-m3z 2 месяца назад
😂
@YasiniJuma-rc9bb
@YasiniJuma-rc9bb 2 месяца назад
Gabo respect💪🏾💪🏾 Best actor in TZ🇹🇿🇹🇿
@godfreysammy1716
@godfreysammy1716 2 месяца назад
Best Actors who’s Knows to present Their Talents to Us.That’s why i desire to watch this series Everyday🎉🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Thanks ❤️
@YakoboChambo
@YakoboChambo 2 месяца назад
Nimeipenda sana hii baba orivia kumpiga huyu asiye jua mapenzi
@fathymosscooking6755
@fathymosscooking6755 2 месяца назад
Wakwanza naombeni liké leo 🇫🇷
@AsiaHassani-kf8ww
@AsiaHassani-kf8ww 2 месяца назад
Mama tina ww n kiboko haki nakupenda bure😂😂😂😂❤
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 месяца назад
😂😂🎉
@Imahmedseif2806
@Imahmedseif2806 2 месяца назад
Kumbe baba olivia ukija bila gadi anagawa wastan kwa idadi aiseee nomaaaa🔥🔥🔥🔥🙌
@BoniphaceKabenga-yi6lo
@BoniphaceKabenga-yi6lo 2 месяца назад
😅😂😂
@momadbad1992
@momadbad1992 9 дней назад
We jamaaaaa nmechek sanaaaaaaa
@SniperSamson
@SniperSamson 2 месяца назад
Dakika zibaki hivyo hivyo zisije pungua ahsante kwa kulifanyia Kaz tunapenda Kaz yako na tuko pamoja 🇹🇿
@deimer5991
@deimer5991 2 месяца назад
Gabo upo juuu mtoa burudi hii series dah naipenda kwa uhalisia wake
@FrancisTunje-jt4eo
@FrancisTunje-jt4eo 2 месяца назад
Wa Kwanza like zangu😢😢
@anthonylukala3637
@anthonylukala3637 2 месяца назад
Baba olivia nimejifunza kitu kikubwa sna kutoka kwako today mwanzo wa ep mpaka hapa tulipo fika nakukubali sna kaka angu
@Frederick-x2v
@Frederick-x2v 2 месяца назад
jamani baba Olivia hki kipindi kyenu kinaendaswa kwa njia ya kistaharabu sana , kina elimu kuusiana na maisha yote , kutoka utotoni hadi uzeeni, ongereni saaanaaa halafu baba Olivia kwani wewe ni mwana taekwondo? unachapa kijana wa mjini kama stima hatari sana. kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twawapenda sana ♥️♥️♥️♥️ .
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Asante sana tuna wapenda Kenya 🇰🇪❤️
@VICTORMTWEVE
@VICTORMTWEVE 2 месяца назад
Leo msiache kunipa likes hata 50 ❤ kutokea south Africa
@Imahela375.
@Imahela375. 2 месяца назад
12 zinatoshaaa😂
@spanishboi001
@spanishboi001 2 месяца назад
Sauziaaa Sauzia nyooookoo😂😂😂
@OfficialAichi
@OfficialAichi 2 месяца назад
😂😂😂
@MSWAKIMSWAKI
@MSWAKIMSWAKI 2 месяца назад
Weeee mpaka sauz unatufatilia
@YasiniJuma-rc9bb
@YasiniJuma-rc9bb 2 месяца назад
@@VICTORMTWEVE ilibaki moja tu upate likes 50 nimeona nikuongezee hiyo moja
@ShafiiAmisi-h3w
@ShafiiAmisi-h3w 2 месяца назад
Ila uyu mwalimu ananivutia san❤❤
@EmanuelJemus-ce1dd
@EmanuelJemus-ce1dd 2 месяца назад
Mwalimu na baba Olivia nipeni likes zao
@fabricensengiyumva
@fabricensengiyumva 2 месяца назад
Jameni tunawaomba mutowe zingin tum miss sna olivia
@rajabuhamisi3872
@rajabuhamisi3872 2 месяца назад
olivia: dad why are you crying ? dad: onion my daughter .. hahahahaha this man dazzling amazing since from Bado natafuta...
@SulemaniMbedule
@SulemaniMbedule 2 месяца назад
Mapema kabisa naomba likes from tz
@KenyanRapper-lo6fb
@KenyanRapper-lo6fb 2 месяца назад
Ukweli hii movie na series za huaga za uhakika na uhakika timu yote inaupiga mwingi xnaaah 🔥🙌 nmetulia huku🇰🇪🇰🇪 nikiitizama pole pole haya Karibuni wenzangu🤝
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
🙏🏾🙏🏾 Asante sana!
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
San tena san
@SangaliPower
@SangaliPower 2 месяца назад
Bonge la series daadeq hongereni timu nzima
@JaredErnest
@JaredErnest 2 месяца назад
Gabo upo on time. Uko vzuri sana na unatutendea haki sana
@Eri-khan26
@Eri-khan26 2 месяца назад
Nipe mauwa yangu✍🏿✍🏿
@RachelMbwambo-t8s
@RachelMbwambo-t8s 2 месяца назад
Wangapi wanalike kabla hata video haijaanza
@HAMSOMGIRIAMA
@HAMSOMGIRIAMA 2 месяца назад
watu hawachelewi kweli na like
@asantechota8974
@asantechota8974 2 месяца назад
Baba olivia kapiga jebu moja matata inaitwa Kamkune israeli afu kamalizia na Kalia mchanga moja afu. Mbelee hebu ngonga. Like hapa
@shehakudura3243
@shehakudura3243 2 месяца назад
😂😂😂 atar na nusu aisee
@KmbalphaniMoradj
@KmbalphaniMoradj 2 месяца назад
Eeeeeeeeh leo niko kwa wakati 🇨🇩🇨🇩akuna kuchelewa 💥💥💥🇨🇩🇨🇩
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
❤️❤️
@prettyrida8305
@prettyrida8305 2 месяца назад
Uyu olivia anafel amuache baba na me naomben hat like 5❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
❤️❤️❤️
@zeraBarnaba
@zeraBarnaba 2 месяца назад
❤❤
@ifumedia390
@ifumedia390 2 месяца назад
Naona mgetoa episode 2 kwa wiki jumatano na ijumaa 🙏kama unakubaliana na mimi gonga like hapa
@MbaroukMbaruk-t3d
@MbaroukMbaruk-t3d 2 месяца назад
ni kwely kbx yan tunakaa board sana kuisbr hiii burudani yetu pendw kbx
@jessicajackson4993
@jessicajackson4993 2 месяца назад
Kwakweli
@RizikiMrina
@RizikiMrina 2 месяца назад
Kwel
@MartinaNgera
@MartinaNgera 2 месяца назад
Kweli kabc tunaomba plzzz
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Angalia yote hapa www.pendwa.app
@RansMasangwa
@RansMasangwa 2 месяца назад
Yhizi episodi no nzuri xana Ani mungu awabaliki wote pamoja na watazamaji Kama unaamini gonga like ndugu yangu
@kelvinthomas1901
@kelvinthomas1901 2 месяца назад
JAMAN TUNAOMBA MUWE MNAWEKA HATA VIPANDE VIWILI BRO🙌
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Angalia yote hapa www.pendwa.app
@MaryAddam-lq3yt
@MaryAddam-lq3yt 2 месяца назад
😂😂 Baba Olivia ni Nona Angerudia ngumu ya pili angeua😂😂😂😂
@Hemed-mv3eu
@Hemed-mv3eu 2 месяца назад
Nimewah leo naomb like 🙈🙈❤❤
@bongolyricszone5715
@bongolyricszone5715 2 месяца назад
Nipo hapa since day one team Baba Olivia
@neemanyansuku
@neemanyansuku 2 месяца назад
Leo nimeisubiri niwe wa kwanza hadi MB zikaisha jaman 😢
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Weka Notifications on huta sumbuka ❤️🙏🏾
@irankundarogers6698
@irankundarogers6698 2 месяца назад
Baba Olivia marry mwalimu she loves you and u love her also
@Magesa-bv1ib
@Magesa-bv1ib 2 месяца назад
❤❤❤
@LovenessMsangi-u7r
@LovenessMsangi-u7r 2 месяца назад
Ni me like wote please na mimi😢
@frankmaligo5749
@frankmaligo5749 2 месяца назад
Hivi like waga mnazipelekaga wapi?
@MugishakennyAdonai
@MugishakennyAdonai 2 месяца назад
😂😂😂😂😂Baba orivia nakukubali sana wachape hawo watoto wamjini hawana adabu kweri.Burundi bujumbura tupo nanyinyi
@user-chaliboy
@user-chaliboy 2 месяца назад
Single father oyeeee🎉🎉
@abuukisauji6520
@abuukisauji6520 2 месяца назад
mi ndio sijawah pata like hata moja😢
@estherjoseph7409
@estherjoseph7409 2 месяца назад
Mh mnamambo jmn haya hyo hapo nimekupa ingawa cjuag maana ya hzo likes
@MinnahRaj
@MinnahRaj 2 месяца назад
Ila familia ya luca jamn khaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kazi kula tu kwa watu kupika kwenu aaaaaaah😂😂😂
@SalmaRandu
@SalmaRandu 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
😅😅😅
@GeorgeCharo-b3k
@GeorgeCharo-b3k 2 месяца назад
😂😂😂😂
@AnethNiyonzima
@AnethNiyonzima 2 месяца назад
Baba orivia nakupenda San mungu akupe afya njema siku zote za maisha yako na madam nyote kwa ujumlaaa🎉🎉🎉🎉
@DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz
@DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz 2 месяца назад
If Janeth couldn't be there then the series wouldn't be as sweet as it is
@Denis_prudence
@Denis_prudence 2 месяца назад
This is true, very very true
@santodelove4351
@santodelove4351 2 месяца назад
I agreed
@AminathaSalim-zt6pm
@AminathaSalim-zt6pm 2 месяца назад
Mm nipeni ata like 5
@Masoudsultan
@Masoudsultan 2 месяца назад
I do appreciate for what my roll model Gambo zigamba Doing ........ madame ur ur Good actress I real love you ❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Thanks for watching
@dullywa9973
@dullywa9973 2 месяца назад
hio alopiga Gabo ndo inaitwa “UBAYA UBWELAAA”
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
😅😅🥋🥋🥋
@AminaHassan-mn4hl
@AminaHassan-mn4hl 2 месяца назад
Oliver mbna hivyo unaharibu😢😢😢😢😢
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 2 месяца назад
Kama una amini mungu mwema gonga like😂😂
@SarafinaNyamvula
@SarafinaNyamvula 2 месяца назад
Wapenzi naomba like zenu ❤❤🎉🎉hata kama 50 ..mm natazama kutoka Kenya ❤nawapenda ❤
@qaccimdikei
@qaccimdikei 2 месяца назад
sijawai comment lkn hii ya Leo imenigusa.....hii NI muotoo🔥🔥🔥 KAZI nzuri ndugu zangu. BABA OLIVIA 💯
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Asantee🔥🔥🔥
@alexandersangi1724
@alexandersangi1724 2 месяца назад
Mwenyekiti yupo sahihiiii sanaaa haiseeeeee
@HamzaNgozi-ur1lu
@HamzaNgozi-ur1lu 2 месяца назад
Kuna Siri gani kwenye like namimi naomba
@zeraBarnaba
@zeraBarnaba 2 месяца назад
❤❤
@nickojamsen5149
@nickojamsen5149 2 месяца назад
Wangapi mmekeleka Na Olivier kualibu falagha ya babaake na Mwalimu🥱🥱
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 месяца назад
Weeeeeeeee
@MariamngakondaNgakonda
@MariamngakondaNgakonda 2 месяца назад
Mimi nimekelekwa saana
@AthumaniAlly-t7x
@AthumaniAlly-t7x 2 месяца назад
Si mwenyekit alimwambia basi ,lakin mkubwa ni mkubwa hata shindwa kitu,sikia hayo maneno matamu ya mwalimu haswa ingekuwa mm pangechimbika niokote taulo ama niokote mtoto.
@AthumaniAlly-t7x
@AthumaniAlly-t7x 2 месяца назад
Wewe mke wa dude utanaswa tu nawew utafia kwa muuza supu,chezea mdhungu wewe
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 месяца назад
@@AthumaniAlly-t7x kaaaah
@Mussa-m4I
@Mussa-m4I 2 месяца назад
Leo naomba like MOJA tu
@ImamBukhari-v1y
@ImamBukhari-v1y 2 месяца назад
Brother ww ni bonge la director sema unajificha umejua kutengeneza kazi hii ni nzuri hatari, tunakuomba ikiisha tengeneza story yenye mafunzo komedi drama, love story nzuri zaidi ya hii sisi tupo kwaajili ya kutazama kazi nzuri. Tena kama unaweza kuingiza katika mashindano ya tamthiliya nzuri ya mwaka, we ipeleke tu sisi tutapiga kura itashinda
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 2 месяца назад
Dah hamu imekolea na ijumaa ni mbali sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🫡 Asante zimefika!
@biawadionisio895
@biawadionisio895 2 месяца назад
❤like jamani nawatazama kotoka msumbiji
@JilaxBrown
@JilaxBrown 2 месяца назад
Makini sana.. hii movie nimeipenda bure..
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Asante
@iddynovo6219
@iddynovo6219 2 месяца назад
OLIVIA MJINGA KWELI HUO MUDA WOTE MBONA HAKUTOKEA ATOKEE KWENYE KISS😂😂
@SulemaniMbedule
@SulemaniMbedule 2 месяца назад
Why between the kiss ur passing around😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
😅😅😅😅
@saidkabwana1831
@saidkabwana1831 2 месяца назад
​@@SulemaniMbeduleI hate you 😑 😅
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 месяца назад
​@@SulemaniMbedule mbona kama inekuuma wewe 😂😂😂😂😂
@ElizabethMakuke
@ElizabethMakuke 2 месяца назад
Mama Tina na kingereza chako me hoiii unanipa raha sana
@shadhilmakame
@shadhilmakame 2 месяца назад
Naomba likes zanguuuuu Wa MWISHO MIMI 😂😂😂
@Oficialcamavinga
@Oficialcamavinga 2 месяца назад
This is the best series I've ever seen but plz make it a little bit quick much love from🇪🇸🇰🇪
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Gracias amigo 🙏🏾🙏🏾 Asante!
@emmanuelmbele3030
@emmanuelmbele3030 2 месяца назад
Hii series nzuri sana, based on real life situations, kama unanielewa,..umefanya kazi njema sana Mr producer. Ningefurahi sana ufanye kila episode angalau mda mrefu kiasi kama 46-50mins. Naomba urekebishe tu hapo maybe kwa series zijazo .
@absoirahmed5302
@absoirahmed5302 2 месяца назад
Just wow!
@Justin_Nano
@Justin_Nano 2 месяца назад
Tulikuwa naisubiri kwahamu sana❤❤❤
@joelimujaro2542
@joelimujaro2542 2 месяца назад
Leo nipeni likes zangu❤❤ baba Olivia anampenda sana mwanae
@jensennashon6147
@jensennashon6147 2 месяца назад
nimeisubiri kwa Ham sana
@NailaMickey
@NailaMickey 2 месяца назад
Daaah maskini mwalim Janet mwishon wamemwaribia birthday yake
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 2 месяца назад
ila jaman mwalimu wa olivia nampenda sana niongee ukweli2
@SuiMlozi-ye1cr
@SuiMlozi-ye1cr 2 месяца назад
Aiseee hiii nikali kuzidi zote ninazo zijua kwasasa kama unamini gonga like apa
@Luvingadecoration
@Luvingadecoration 2 месяца назад
Mwakajumba unajua Sana weka episode 2 Kwa wiki bas jaman Ila daaaa nzur Sana ❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
🙏🏾🙏🏾 asante, angalia zote hapa boss www.pendwa.app
@yorkshan
@yorkshan 2 месяца назад
leo nimewahi naombeni likes 😁
@Malangalusaede
@Malangalusaede 2 месяца назад
Tanzania 🇹🇿
@SUZANASUZANA-ku3jk
@SUZANASUZANA-ku3jk 2 месяца назад
Hongereni Kwanza picha IPO Safi Sana Alaf mi napenda wanaongea taratibu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Asante sana!🙏🏾
@JujuShabani-y7t
@JujuShabani-y7t 2 месяца назад
Wa kwanza leopard 🎉🎉🎉 mm sipendi likes sijui zina maana ngani😂😂
@OfficialDanny-p7w
@OfficialDanny-p7w 2 месяца назад
Duuh mimi nishakua mtoroo.duh
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 2 месяца назад
Wewe baba olivia kapiga mtu kaleti😅😂😂woooooo amazing 👏
@NuhuHamisi
@NuhuHamisi 2 месяца назад
Nakubali kazi nzuri
@BritonOyenje
@BritonOyenje 2 месяца назад
🎉atlist nimefika nimechoka naomba likes pia
@RamadhanJuma-l8z
@RamadhanJuma-l8z 2 месяца назад
Woow IPO vizuri sana ila kama mwenzangu alivyo sema kwa wiki muwe mukitua vipande viwili angalau
@RamadhanJuma-l8z
@RamadhanJuma-l8z 2 месяца назад
Leo ndio baba Olivia sasa anaanza kuingia kwenye mfumo Halafu Mzee kasema kweli angalia Olivia kaharibu ila yaleo nikali hakika tumeinjoi
@Onlinegossip201
@Onlinegossip201 2 месяца назад
Hivi nyie mnaomba omba like huwaga mnalipwa au 😂😂😂
@Jr23802
@Jr23802 2 месяца назад
Congratulations muongozaji wa movie hii nataman niangalie kila muda bila kujari bando langu aiseeeh🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Asante, ume subscribe lakini??
@omarhussein-iq7yg
@omarhussein-iq7yg 2 месяца назад
Hadi mwenyekiti amejua wazi Gabo amatuchelewesha😂😂
@Aloycelalika
@Aloycelalika 2 месяца назад
daaah movie inahaki ya kutumia MB zetu
@donlule7752
@donlule7752 2 месяца назад
ila baba olivia nae ananibwaga sana unashindwa ata kumshika kiuno mwalimu apo wewe unzuia bakuli la kachumbari tu🤦
@SalmaRandu
@SalmaRandu 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@mariamfeisal5104
@mariamfeisal5104 2 месяца назад
😂😂
@mariamfeisal5104
@mariamfeisal5104 2 месяца назад
Yeye nakula2😂
@azizayousuph6617
@azizayousuph6617 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 Aki anafeli pakubwa
@PriscaKituku
@PriscaKituku 2 месяца назад
Ila olvia mh kanishinda tabia 😅😅😅😅😂😂
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 месяца назад
Baada ya kumaliza kuangalia sasa ndo natoa comment GABO leo nimeona ule mkanda mweusi uliosema
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 2 месяца назад
Very excited
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 месяца назад
Mwenyekiti bana ndege utamkosa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
😅😅😅😅
@rehemachizi-sd2ge
@rehemachizi-sd2ge 2 месяца назад
Mm pia mnipe like jaman nmewahi
@ummyidrisaummyidrisa-ls2vm
@ummyidrisaummyidrisa-ls2vm 2 месяца назад
Jamani Mwalim Janet unamfundisha tabia mbaya Baba Olivia wetu
@spanishboi001
@spanishboi001 2 месяца назад
Turkey 🇹🇷 we locked in
@butogwareuben266
@butogwareuben266 2 месяца назад
Mbn ijumaa mbali😢 jmn mwalim kanifurahisha
@MustyNgongo
@MustyNgongo 2 месяца назад
Mwalimu upo vixur xnaa
@PhonexPhonex-u8e
@PhonexPhonex-u8e 2 месяца назад
Wenye mnatazama mara tatutatu naombeni like 😂😂😂😂
@Tedy-bx4pl
@Tedy-bx4pl 2 месяца назад
😂😂😂
@SalmaRandu
@SalmaRandu 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@PhonexPhonex-u8e
@PhonexPhonex-u8e 2 месяца назад
@@SalmaRandu mpaka saa hiii still natazama
@jessicajackson4993
@jessicajackson4993 2 месяца назад
Tupo wengi😂
@PhonexPhonex-u8e
@PhonexPhonex-u8e 2 месяца назад
@@jessicajackson4993 😃😃😃😃
@rechokizumbe7314
@rechokizumbe7314 2 месяца назад
Baba olivia unanifanya nizidi kumpenda single Dady wangu yuko serious na bint yake sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Kabisa ❤️
@SalmaRandu
@SalmaRandu 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@jumaaabdillahi4534
@jumaaabdillahi4534 2 месяца назад
Amejiongeza baba olivia ❤ n mwalimu❤
@EmanuelJoseph-s5q
@EmanuelJoseph-s5q 2 месяца назад
Sema madam mzuri kinoma
@DonDaniel-nn3ks
@DonDaniel-nn3ks 2 месяца назад
Anachelewa sana kutoa adi inakera..adi tunaisahau..mnakeraaa
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
Angalia yote hapa ili usi kereke www.pendwa.app
Далее
Пряный осенний баббл чай
00:44
Просмотров 261 тыс.
Baba Olivia The Best Series 2024.
0:23
Просмотров 1,1 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 702 тыс.