Wow so amazing song all always ni mungu TU mtumishi wa mungu yohana mungu haendele kukupigania hili huendele kumtumikia hangaza neno lake ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
good job brother kwa kazi nzuri mungu na akupe malipo saidi na milango yako izidi kufungunga napendeswa na kazi yako ❤❤❤❤❤ Nikweli tulianza na mungu kenya twa kupenda saana saidi ya utupendavyo❤❤❤❤
Jamani yoane mungu akujalie umu juwe zaidi n'a akutakase kwa uruma yake. Mina pendant nyimbo zako sana n'a minazidi kuku fatilia kwa sauti Yako nzuri. Mi nimu kongo mani Ila naishi dar . Una kama wapi