Тёмный

News : Kalonzo amkana Raila 

KTN News Kenya
Подписаться 2,9 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on www.ktnkenya.tv
Makubaliano yanayodaiwa yameafikiwa kati ya chama cha wiper na ODM, yamepata pigo kubwa hii leo, baada ya makamu wa rais kuyapuuzilia mbali. Musyoka ambaye alikuwa nje ya nchi, wakati makubaliano hayo yanadaiwa kuafikiwa, amepasua mbarika akisema wanaodai ameridhia kuwa mgombea mwenza wa waziri mkuu Raila Odinga wanawahadaa wakenya. Ilidaiwa kuwa odm na wiper watafanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa tononoka mjini Mombasa kuunadi muungano wao hapo kesho. Na huko Kapkatet diplomasia ya kupata baraka za jamii ya wakalenjin ilioendeshwa na kinara wa urp william ruto ilifika kileleni.

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@fanueltarimo509
@fanueltarimo509 3 года назад
Vp huyu baba?
@gladysjosephmacharia3250
@gladysjosephmacharia3250 6 лет назад
kalonzo musalidi kanunuliwa auze wakenya
@sequenced
@sequenced 12 лет назад
Peter Kenneth is a favourable choice for kenya at this time. That's just my opinion, Kenyan majority voters will decide and hopefully the losers will accept the outcome.
@janenanjala8918
@janenanjala8918 6 лет назад
wallace Gathungu
@robertwafula1945
@robertwafula1945 6 лет назад
wallace Gathungu b , One
@thevineyard7149
@thevineyard7149 6 лет назад
Your view can't be objected, because all of us have views too.
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 6 лет назад
NDIO UMEMALIZIKA RAILA POLE SANA
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 6 лет назад
SORRY NOT RAILA KALONZO FINISH WATER MELON HAKUNA MTU ATAKUPATIA WW KURA KAKOJOE ULALE
@maureenchole4117
@maureenchole4117 6 лет назад
old news
@johnnykimani7768
@johnnykimani7768 6 лет назад
Old news, still the same watermelon 🍉
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 6 лет назад
Ya kitambo mm
@ireenkin308
@ireenkin308 6 лет назад
Msaliti traitor
@emmanuelndoro3832
@emmanuelndoro3832 6 лет назад
old news
Далее
Jeh Naibu Rais Rigathi Gachagua alijua hatma yake ?
3:46
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
Просмотров 3 млн
SIRI YA KUCHAGUA BIBI NI MOJA! BY: MCA TRICKY
11:06
Просмотров 1,3 млн
Raila Odinga aongoza kampeni za Azimio Kakamega
2:51