Njoo Dsm ufanye sanaa..... barikiwa uende mbali zaidi ya makirikiri na uipeperushe bendera ya Tanzania....sisi tumekukubari kupitia sanaa yako umetuunganisha....one love br.
Ni mara mbili hata na zaidi kwa siku nakusikiliza uzuri mzee makula namjua na nilikuwa nanunua sabuni kwake wakati huo na mimi ni mtu wa kahama hongela ndugu yangu
Mdau shuhudia ngoma kali Sana hii iliojaa ujumbe mkali na majonzi makubwa kwa wote tuliopitia Maisha magumu Kama Haya MDAU... usisahau kubonyeza neno (SUBSCRIBE) lililoko chini ya video hii ili tuendelee kua pamoja katika burudani hizi Adimu kutoka kwa MUHA WA MAAJABU KUTOKA KIGOMA maarufu Kama... NYAMIHINDO. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gPc6vGP1co8.html
unakipaji cha pekee sana kaka yangu, sijaona mwingine kuanzia sauti nzuri mashairi pia yamepangika vzr, Mungu akupe miaka mingi hapa duniani.penda sana ww