Hongera NGELELA Shilunguja . Nimeangalia kwa ukaribu na utulivu kazi hii na nyigine mbalimbali ulizofanya.Una Kipaji cha aina yake HASA SAUTI. Mimi Ni Msukuma niliyekulia Dar ila nakifanhamu Kisukuma na Ninapenda sana Nyimbo na Utamaduni wetu. Nilikuwa sijaona kazi zako na za wengine RU-vid. Ni Nzuri Mnooo. 'Ja wiza Sanaaa..." Pia Kwa STUDIO ya BLACKBOYS Mnafanya vizuri Sana kwa kazi za hawa wasanii wa Kizazi Kipya cha ASILI hasa huku Kanda ya ZIWA. Kazi ziko Digital. Mnafanya Video katika ku-rekodi katika maeneo ASILI. Nashauri kwa huyu NGELELA Msibadilse Mapig (beats) ile sauti na ughani/uimbaji wa awali ni MZURI Sana Kwa kipaji chake huyu Msanii. Msisizidishe sana uchezaji wa kuiga mitindo isiyo ya Kisukuma na Kitanzania. Kwa Huyu Hongereeni Sanaaaaa...... Facebook #PiusJoseph