Dada Teddy popote ulipo nakusalimu kwa jina la Bwana 😀😀😀 Shimanyi wewe tulishakubaliana pale mbinguni lazima upate chumba chako special! Duke kionee huruma kinanda kinateseka jamani! Binti Kidaluso wewe ni mtoto wa nyoka lazima ung'ate kam babaako! Huyu mwenye moka zinazonata na bit😀😀😀 ubarikiwe sana! Funga kazi huyu mmasai wa mchongo anayewafungilia geti huyu kitengo chake huko mbinguni ni hichohicho!😀😀😀
Ni heri nyoyoni mwetu,Yesu Mfalme ameshinda mauti,tumkaribishe kwa maisha yetu aweze kutuongoza katika maisha ambayo Yana milima na mabonde.Nawashukru wanakwaya kwa nyimbo nzuri.
Na nikasema umbali tumetoka na umbali tuanaenda kama CGen Pro watu wangu... Tunapaa mawinguni... Kazi safi kweli kama Kawa... Keep up the Good Job dears... Kaka Shimanyi never disappoint ❤🎉 Wanakwaya nao ni Malaika kweli. Yesu amefufuka Kweli... Happy Easter watu wangu
Kazi moja kubwa sana tena ya moto. Hongera Kwa wote waliofanikisha kazi hii ya #muziki_mtakatifu #Mungu awabariki mzidi kumtumikia katika #Roho na kweli. Kaka #Shimanyi kwako sina deni kabisa kazi nzuri umeifanya. #Mungu azidi kukubariki ili utuletee vitu #vitamu na #adimu kama hivi. Hakika kumbe #NI_BWANA_KAFUFUKA.
HONGERENI SANAAA KWAYA YA KRISTU MFALME KIZOTA CHINI MWAMBA MWENYEWE shimanyi na pascal duke kweli hii inatosha Kwa kweli pascal hiyo sauti yako bna ni bombaaa sanaaaa myself naomba sauti ya 4 nataka niimbe kama wewe .....any way mbarikiwe nyoteeeeeee
Hongera sana ndg yang Shimanyi Mungu aendelee kukubariki kwa utunzi mzuri wa asili...na pia hongereni wanakwaya na wote walioshiriki kuandaa kazi nzuri hii...nawapongezi soloists wote kwa kuimba vizuri pia...